kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. fact only

    JamiiForums Tanzania 85,000 tu unapata Fremu ya biashara Kariakoo

    Habari wana JF. Thread hii inahusu KARIAKOO. Kwanza kabisa naomba nianze Kwa taarifa kutoka EACLC UBUNGO. "Uongozi wa kituo Cha biashara Cha kimataifa Ubungo umetangaza Kodi ya duka EACLC UBUNGO inaanzia shilingi milioni moja za Kitanzania(1M Tsh)". Hivyo Sasa Ndugu zangu naona Kuna Story...
  2. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Wako wapi wachezaji hawa? Hawaonekani tena tangu Kariakoo derby

    1. Hussein Kazi mbovu 2. Kelvin kijilimo cha mbogamboga 3.Aishia hewa Manula . . . NEXT ; Kisia nani?
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Pato la China ni dogo sana ndio maana Wachina wanakuja Tanzania kufanya biashara ndogondogo

    Pato la China la mtu mmoja mmoja ni USD 12,614 kwa mwaka. Hiyo ni sawa na Tsh 32,333,075 kwa mwaka. Pato la mchina kwa mwezi ni Tsh 2,694,422. Tunaweza kusema pato la asilimia kubwa la wachina kwa mtu mmoja mmoja ni Millioni 2.69 ambapo kila siku pato lake ni Tsh 89,814. Ukipiga hesabu za...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Kariakoo: Jengo lililoanguka Kariakoo halikubeba tani 850. Hii inamaanisha Rais alipewa taarifa zisizo sahihi?

    Wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo wamehoji juu ya usahihi wa takwimu alizopewa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa jengo la ghorofa lililoanguka Kariakoo Novemba 16, 2024 lilikuwa limebeba mizigo ya tani 850. Akizungumza leo Februari 04, 2025 katika uzinduzi wa Balozi Jengo, Fredrick Lutindi...
  5. fact only

    JamiiForums Tanzania Mnaohitaji fremu Kariakoo karibuni

    Kwa wale wote wanao hitaji fremu Kariakoo karibuni sana {Hakuna kulipia kilemba wala ujanja ujanja mwingine hivyo msijali kabisa kabisa}. MFANO (Kuna video Hapo chini). Hii ipo mtaa wa msimbazi/muhonda jirani na makao makuu ya Club ya Simba/Sandaland the only one kariakoo. Bei...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Utamsikia mgeni anasema: "Yani mjomba, sisi wakati wa Nyerere tulikuwa tunatembea kwenda shule usawa wa Kariakoo hadi Kibaha. Nyie vijana namna gani."

  7. K

    JamiiForums Tanzania Ili kudhibiti upotevu wa mapato, Kariakoo ifanywe SPECIAL BUSINESS ZONE

    Kwako Rais wa JMT Mhe.Samia Suluhu Hassan Waziri wa biashara Dkt. Suleiman Jaffo Nawasalimu kwa jina la JMT, Awali ya yote nachukua nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na huruma kwa kutujalia kufika muda na wakati huu tukiwa wazima wa afya na kujaliwa amani na usalama wa...
  8. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Dar Es Salaam: Huduma zote zilizokuwa zikitolewa ofisi yetu ya Kariakoo sasa zimehamishiwa kwa muda jengo la Diamond Plaza

  9. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wafanyabiashara mlichoma moto Soko Kariakoo sababu nilizisema changamoto za uongozi uliokuwepo

    Wakuu, Alaaaah, kumbe wafanyabiashara walichoma soko la Kariakoo wenyewe? Hii ndio sababu hatujui ndani ya kilichokuwemo kwenye ripoti rya tukio la moto ule? ====== Moja ya mambo aliyosema mwenyekiti wa kariakoo katika risala yake ni kuhusu ziara ya Samia Kariakoo, ambako alisema Rais Samia...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kariakoo ivunje na ijengwe upya ili pawe 'Guangzhou' ya Tanzania na Afrika. Kitovu Cha biashara, uchumi na uwekezaji.

    Moja ya maombi ninayoomba kila Leo kwa Mungu ni kuipa nguvu kamati Mhe. Rais aliyomwagiza waziri Mkuu kuundwa ili kuchuguza uimara na ubora wa majengo ya kariakoo na Mhe.Rais aligusia kwamba hawatasita kubomoa majengo yote kariakoo kama kamati ikishauri hivyo. Ombi hili kwa Mungu linatokana na...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PICHA: Hali ilivyo mjini kuelekea mkutano wa Nishati Dar

    Ukienda mjini leo, unaweza kuhisi ni sikukuu au mwisho wa juma (weekend), baada ya barabara kufungwa kutokana na ugeni wa marais na viongozi mbalimbali wanaoshiriki mkutano wa kimataifa wa Nishati unaoanza leo, Januari 27, 2025 jijini Dar es Salaam. Ilivyozoeleka siku ya Jumatatu katikati ya...
  12. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi wa RITA waibua ufisadi wa zaidi ya shilingi Bilioni 2 katika Msikiti wa MANYEMA, Kariakoo

    Taasisi ya Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) imebaini ubadhirifu mkubwa wa mali na fedha zinazozidi Shilingi bilioni 2 katika Msikiti wa Manyema uliopo Kariakoo, Dar es Salaam. Matokeo haya yamepatikana kupitia ukaguzi wa kina wa mali na mapato ya msikiti huo, kama ilivyotangazwa na Mkurugenzi...
  13. ngara23

    JamiiForums Tanzania Derby ya Kariakoo kupigwa tarehe 8 March

    Bodi ya ligi imepanga maboresho ya ratiba ya ligi kuu NBC, huku ikiipa Derby ya Kariakoo tarehe 8 March Simba pia atarudiana na Azam tarehe 24 March katika Mzizima derby, huku Yanga wakirudiana na Azam tarehe 10 April Usiku wa deni hauchelewi Kumbuka Simba alipigwa ataingia kwenye record ya...
  14. John Sin

    JamiiForums Tanzania Wakuu naweza pata feni la panga boi panasonic Kariakoo 56E

    Wakuu za asubuh Nilikuwa napenda kuwauliza kwa maeneo ya Kariakoo wapi naweza pata FENI kubwa la panga boi la kuliweka sebuleni kampuni ya Panasonic au asha care ikiwezekana hata high class. Msaada wenu wakuu
  15. Mayala B

    JamiiForums Tanzania Usije Dar Es Salaam niagize hasa hasa soko Posta na Kariakoo, kwa uaminifu mkubwa sana

    Natanguliza shukran zangu kwenu Kama una kitu unataka kununua kutoka dar na kukisafitisha bas niagize usiogope , tutafanya kazi hiyo kwa uaminifu mkubwa sana Kikubwa tu tupendane Nashughulikia kila aina ya jambo na kila aina ya bidhaa, hasa hasa soko la posta na kariakoo Pia na kwa wale...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TP Mazembe rasmi waaga mashindano ya Klabu Bingwa CAF, Yanga SC na hesabu za Calculator kufuzu Robo Fainali

    Klabu ya TP Mazembe imeshindwa kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF) mwaka huu baada ya kufungwa bao 1-0 na MC Alger katika mchezo uliochezwa usiku wa Januari 10. Timu hiyo ya DR Congo kwa sasa ina alama 2 baada ya mechi 5, na haina nafasi yoyote ya kusonga mbele hata...
  17. SIPENDI SIASA

    JamiiForums Tanzania KARIAKOO DERBY: Mechi baina ya Simba na Yanga, waamuzi watoke nje ya Tanzania kwa usalama wao pamoja na familia zao?

    Oya wadau wa kandaa, leo nimewaza tu kwa sauti kwa maana nimeona unazi wa Simba na Yanga unazidi kuongezeka kadri siku zinavyoenda hivyo kufanya usalama wa waamuzi pamoja na familia zao kuwa mashakani. Kama mtu anaweza kujiua kisa tu Simba kamfunga yangu au Yanga kamfunga Simba, wewe unafikiri...
  18. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania TCRA wafungie ama wasifungie Simu Feki? Kariakoo na Makumbusho imejaa Simu za "kimarekani" na "Korea" feki!

    Wauza simu wa Kariakoo mtaa wa Aggrey , Makumbusho na Mwenge wanaongoza kwa kuuza "copy" ya simu halisi! Hawa wauzaji wanachanganya na simu original na feki kuhadaa wanunuzi ambo wengi wanatoka mikoani na kuamini ni original. Simu yeyote ukikuta ina ki-dude kama maskini tape na haipo kwenye...
  19. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Majengo ya Kariakoo yanavyo jaza watu yanatia wasiwasi kuhusu uimara wake endapo litatokea tetemeko maeneo hayo watu wengi watakufa

    Nilitembelea maeneo ya kariakoo juzi nikaona mazingira yaliyopo yale majengo ya maghorofa yalivyo kwa kweli yanitia wasiwasi kuhusu uimara wake kwamba huwenda yakaja kudondoka zaidi na kuuwa watu ukiachana na umri wa majengo yale na jinsi yanavyo lemewa uzito na wingi wa watu wanao yatumia...
  20. crome20

    JamiiForums Tanzania KARIAKOO, LANGO LA KIUCHUMI LINAOENDESHWA KAMA GULIO VIJIJNI

    Kariakoo ni fursa kubwa ya kiuchumu kwa Tanzania. Soko hili linazihudumia nchi jirani za EA na za kanda ya kusini kam Congo, Zambia, Rwanda, Malawi, Zimbabwe n.k Kama tungekuwa tunaliona hili kwa mtazam8 mpana, soko la Kariakoo lisingekuwa linaendeshwa kama gulio tu. Matokeo ya uendeshaji na...
Back
Top Bottom