kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wajasiriamali wanaofanya biashara pembezoni mwa msikiti wa Mtoro Kariakoo watimuliwa

    Wajasiriamali wanaofanya biashara pembezoni mwa msikiti wa Mtoro wameitaka serikali kuingilia kati mgogoro unaoendelea kati yao na uongozi wa msikiti huo ambapo umewataka wafanyabiashara kuondoka eneo la barabara ambalo wanafanyia biashara kabla na baada ya matengenezo ya barabara. Akizungumza...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania DC Mpogoro, nilidhani ni habari njema kwa wenye maghorofa chakavu kariakoo kuyavunja, huyu kaamua kuvunja, wewe umemkasirikia na kumuweka ndani saa 48

    Hii habari inashangaza, mtu kaona ghorofa lake ni chakavu, lina nyufa, na linatumiwa na watu na juu ni stoo ta mizigo. Kaamua kulivunja pengine ajenge lililo imara zaidi. Mkuu wa Wilaya wa eneo ambalo yalitokea maafa ya ghorofa kuanguka, anamkamata na kumuweka ndani. Ebooo! Kwa hiyo Mkuu wa...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Jengo lililopo mtaa wa Msimbazi na Agrey Kariakoo wameamua kuchukua hatua la kulibomoa

    Kiukweli nawapongeza wamiliki wa jengo hili kuona umuhimu wa kuliboboa jengo ambalo ni la muda mrefu tena limeshaanza kuonyesha ishara mbaya. Bila shaka wamejifunza pakubwa baada ya kuporomoka kwa jengo la kariakoo na kusababisha vifo kadhaa vya watanzania na hata biashara zao kuharibika...
  4. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Ni kweli watoto wa English Medium wana IQ kubwa kuliko wetu kayumba?

    Kazi ya elimu sio kumuingizia mtu vitu kichwani, kazi ya elimu ni kumsaidia mtoto kuugundua na kuufanyia kazi uwezo alionao. Shule zetu za Kayumba hazimpi mtoto nafasi ya kuuonyesha na kuuvumbua uwezo alio nao bali mazingira yanamfanya awe mjinga zaidi hata kama anatapa A. Mazingira ya Shule...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Siku ya tatu leo, kariakoo katikati na sina umeme, tanesco wanasema wanakuja na hawafiki

    Ninazo claim report number inne tofauti, kila nikiulizia napewa number ila kuja hawaji kushughulikia tatizo na ni dharura Sasa sijui emergency kwa tanesco ni siku inne? Kama kariakoo tu ni hivi huko vijijini ikoje? Hawajawahi kuwa serious
  6. Kitomai

    JamiiForums Tanzania House4Rent House4Sale Nyumba inauzwa kariakoo

    . Ina vyumba viwili vya kulala ( kimoja kinajitoshereza), subule na jiko. Ipo ghorofa ya nne (4). Bei 65mil. Maelewano yapo. Tuwasiliane 0784225000
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Mteule Kariakoo, Mushi: Nikipewa ushirikiano na Serikali migomo itaisha Kariakoo

    Mwenyekiti Mteule wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo, Severin Mushi ameahidi kuhakikisha anatatua changamoto za wafanyabiashara hao akishirikiana nao pamoja na serikali jambo litakalosaidia kuondoa kabisa migomo ambayo imekuwa ikitokea. Mushi ameyasema hayo leo Disemba 11,alipokuwa akitoa...
  8. B M F ICONIC

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Kariakoo Jiandaeni kwa mabadiliko haya

    Kama ilivyo kariakoo wafanya biashara wengi wanafanya biashara ya B2B yaani Busness to bussness ( mtu ununua bidhaa na kuiuza hio bidhaa iliapate faida/profit. Wa China na watu wenye viwanda wao ufanya B2C yaani Busness to consumption ( uunda bidhaa kiwandani kisha kuiuza kwa mlaji, ndo...
  9. JourneyMan

    JamiiForums Tanzania Ni wapi Kariakoo Wanahifadhi/laza Mizigo uichukue siku nyingine?

    Nimezoea kununua bidhaa, baada ya hapo nakusanya shop flani hivi then nikimaliza nachukua Usafiri napeleka dukani. Sasa kuanzi J3 mpk J5 kuna manunuzi nitafanya, Mzigo utakua mkubwa kdg siwezi kujaza pale ofisini ni kero lakini pia huu unatakiwa uende Mkoani sio hapa Dar, Hivyo nilikua nataka...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mama awashinda watoto wake Kesi ya Mirathi ya Nyumba Kariakoo

    Fatma Awadh mkazi wa Kariakoo amemshukuru Rais Samia na aliyekuwa waziri wa Ardhi Mhe. Jerry Silaa (sasa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari) baada ya kushinda kesi ya Mirathi ya Nyumba dhidi ya watoto wake. Kesi hiyo iliyoanza 2006 imepata majibu baada ya kudumu mahakamani...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kariakoo ukiondoa Wakinga, Wachaga na wenye asili ya nchi za nje, panabaki patupu

    Ukitaka kupunguza tatizo la msongamano Kariakoo ondoa wakinga, wachaga na watanzania wenye asili za kihindi, kiarabu, kisomali, kichina, n.k.. hawa ni almost asilimia 70 ya biashara za Kariakoo Wanaobaki kwa mbali labda ni waha na wapemba kwa makadirikio ni asilimia 20 wanaobaki asilimia 10...
  12. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Kariakoo wampiga chini Mwenyekiti wao zamani. Wamchagua Severin Mushi kama kiongozi wao mpya

    Wakuu, Wafanyabiashara wa Kariakoo wamemchagua Mwenyekiti wao mpyA anayeitwa Severini Mushi aliyepata kura 229 akimshinda, Martin Mbwana aliyekuwa akitetea kiti hicho ambaye amepata kura 12. Soma pia: Kariakoo: Kiongozi wa Wafanyabiashara azomewa Uchaguzi huo umefanyika Alhamisi Desemba 5...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kariakoo yote sasa kufungwa kamera ili kudhibiti uhalifu na kuwezesha biashara kufanyika kwa saa 24

    Sasa ni rasmi serikali inakusudia kufunga kamera za ulinzi (CCTV), katika eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam, ili kudhibiti uhalifu na kuwezesha biashara kufanyika kwa saa 24. Mkurugenzi wa Jiji la Ilala, juzi alitoa taarifa ya kumtafuta mzabuni akayetekeleza kazi hiyo na jana ilikuwa ni...
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania Je, ajali ya kudondoka gorofa Kariakoo imetupa funzo lolote?

    Hii ajali imetupa majonzi makubwa Ajali hii imetupa funzo kuanzia kwenye chanzo, Kwa maana ujenzi na mamlaka zake Uwajibikaji, hapa nazungumzia vibali vya kujenga majengo marefu, Ya nazingatia vigezo Wakati wa ajali, Watu kujaa kwenye majengo Uzembe wakati wa uokoaji Uokoaji ulitumia siku 8...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Nimefatilia wote waliofariki Kariakoo wanatoka Kilimanjaro na Iringa, mikoa mingine haijaona umuhimu wa Kariakoo?

    Hili swali nimejiuliza muda mrefu, mwenye jibu anipe
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Shuhuda anashuhudia jinsi ilivyokua chini ya kifusi baada ya ghorofa kuporomoka Kariakoo

  17. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wawili wa Ghorofa lililoporomoka na kuua watu 29 Kariakoo wamepelekwa Mahabusu, mmoja apata dhamana

    Wamiliki wawili wa jengo la ghorofa lililoporomoka Kariakoo, Dar es salaam wamepelekwa mahabusu baada ya kukosa dhamana huku mmoja wao ambaye ni Leondela Mdete (49) akipata dhamana katika kesi ya kuua bila kukusudia inayowakabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Waliokosa dhamana ni...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Maisha lazima yaendelee: Maduka jirani na jengo lililoporomoka yafunguliwa Kariakoo

    Maisha lazima yaendelee. Ni kauli za wafanyabiashara kwenye maghorofa mawili yaliyo pembeni ya lile lililoporomoka katika soko la Kariakoo ambao sasa wanaendelea na shughuli zao za kibiashara. Majengo hayo mawili yalitakiwa kuchunguzwa usalama wake, mara baada ya ajali ya kuporomoka kwa jengo...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Hesabu ndogo sana; Kwanini Serikali iliwaamuru Polisi wasimtaje mmiliki wa jengo lililoporomoka Kariakoo hadi uchaguzi wa serikali za mitaa uishe

    Ndivyo watawala wa chama tawala wanavyoendesha nchi hii. Makosa yanayofanywa na watu wao huwa kila jitihada itafanywa kuyafunika. Na hawaoni aibu juu ya hili, huwa wanasema waziwazi ukiwa mtu wao watakulinda. Kwa maneno mengine kuwa mtu wao kunakufanya uwe juu ya sheria. Na kibaya zaidi, Polisi...
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Talimba Abbas hahojiwi kutokana na Gorofa lililoporomoka na kuua Kariakoo?

    Mbunge wa jimbo la kinondoni kupitia CCM Mheshimiwa Talimba Abbas, alitakiwa ahojiwe japo Kidogo asaidie Polisi wajue sehemu ya kuanzia kutokana na kuporomoka kwa Gorofa la kariakoo lililoua Watu 29 Tofauti na kuwa mwanasiasa, Abbas ni mfanyabiashara pia zikiwemo za Michezo ya kubahatisha, pia...
Back
Top Bottom