kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Nawashauri wahanga wa janga la Kariakoo waishitaki serikali badala ya kupongeza

    Kazi ya kwanza ya serikali ni kulinda uhai wa wananchi. Pili ni kulinda mali zao. Ibara ya 14 ya katiba ambayo ndiyo sheria mama inasema "kila mtu anayo haki ya kuishi na kupata kutoka kwa jamii hifadhi ya maisha yake, kwa mujibu wa sheria." Ni kwa mujibu wa sheria tu uhai wa mtanzania unaweza...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Uokoaji ajali ya jengo Kariakoo umekamilika

    Msemaji Mkuu wa Serikali Thobias Makoba amesema zoezi la uokoaji kwenye eneo la ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa Kariakoo mkoani Dar es Salaam limemalizika. Akizungumza na waandishi wa habari Makoba amesema hatua zinazofuata baada ya kukamilika kwa zoezi hilo ni kukaa na wafanyabiashara...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kama jengo la Kariakoo ni miongoni ya yaliyosemwa kujengwa kinyume cha kanuni na Tume ya Lowassa, serikali ishitakiwe ili ifidie wahanga mabilioni!

    Kamati iliyoteuliwa mwaka 2006 na Waziri Mkuu wa wakati huo Edward Lowassa, ilibaini kuwa majengo 147 kati ya 505 yaliyokaguliwa jijini hayakuwa nyaraka na vibali sahihi vya ujenzi. Yalijengwa kiholela na bila viwango na kuwa hatarishi kwa uhai wa watu. Mnamo mwaka 2008, Waziri Mkuu, Mizengo...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Vifo Kariakoo vyafikia 29, zoezi la uokoaji lafikia tamati

    Idadi ya vifo vilivyotokana na kuporomoka kwa jengo la ghorofa, Kariakoo jijini Dar es Salaam vimefikia 29, baada ya miili mingine tisa kupatikana. Jengo hilo liliporomoka asubuhi ya Jumamosi Novemba 16, 2024 na kusababisha vifo, majeruhi zaidi ya 80 na uharibifu wa mali za mamilioni ya fedha...
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa jengo la Kariakoo tayari amekamatwa. Kwanini anafichwa?

    Wakuu, Ukurasa wa X wa East Africa TV wamepost kuonesha kuwa mmiliki wa jengo la Kariakoo amekamtwa Msemaji Mkuu wa Serikali, Thobias Makoba, ametangaza kuwa mmoja wa wamiliki wa jengo lililoporomoka katika eneo la Kariakoo, na kusababisha vifo vya watu 29 pamoja na majeruhi kadhaa, tayari...
  6. mjenziwakale

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Kariakoo nilitegemea kusikia speech ya namna hii toka kwa viongozi wakuu wa nchi ila imekuwa kinyume chake

    "Naagiza jeshi la polisi mhandisi ujenzi wa manispaa awekwe ndani kwa ajili ya uchunguzi zaidi ili kubaini kama ujenzi ulikuwa ukifanyika kwa kufuata taratibu sahihi. Mmiliki wa jengo tiyari yupo chini ya vyombo vya usalama kwa ajili ya mahojiano zaidi ili kubaini chanzo cha tatizo ni nini. Cha...
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kukaa kimya Kariakoo unakuta frame kubwa imejaa Kufuli tupu

    Nimewaza sana hili jambo Kariakoo sijui wanaingizaje faida ama kuna mengineyo Unakuta frame kubwa kalii hatareee Ndani imejaa nguoxa ndani ii tupuuuu Nje kuna BMW...CX5 KAMA ZOTEE V8 JE HAWA WOTE Wanaenda kununua nguoo za ndani ama kuna mengineyoo Kama wanapata faida kila la kheri
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 RC Chalamila azindua Bata la Disemba, kujipoza na majanga ya Kariakoo "Usije kwenye Bata kama hujapiga Kura Novemba 27"

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amezindua rasmi "Bata la Disemba - End of the year Carnival," akisisitiza kuwa hafla hiyo ni ya kipekee kwa wananchi wa mkoa huo, na inalenga kujipongeza baada ya changamoto mbalimbali zilizojitokeza, ikiwemo ajali ya jengo lililoanguka Kariakoo...
  9. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Majengo yenye nyufa Kariakoo yanayokaribia kudondoka

    1. Congo Tower 2...... 3......... Tuendelee kuyataja hapa chini
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa azindua Tume Maalum ya Wajumbe 21 kuchunguza ajali ya Jengo Kariakoo

    Kwa mujibu wa maelekezo ya Rais Dkt. Samia, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua Tume maalum ya wajumbe 21 ambao wamebobea kwenye masuala ya ujenzi kuchunguza chanzo cha tukio la ajali ya jengo lililoanguka Kariakoo, pamoja na kufahamu ubora na uimara wa majengo yote yaliyoko Kariakoo. Tukio...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kuunda Tume ya Kariakoo ni uongo mwingine!

    Kuna njia rahisi sana za kujua kimetokea nini Kariakoo na majengo yamejengwa vipi na yapo kwenye hali gani. Serikali ingetakiwa kutangaza tender kwa kampuni zenye utaalamu wa uchunguzi wa aina hii na waje na ripoti. Badala yake tunaweka Tume hizi fake ambazo zitaleta ripoti za kisiasa ambazo...
  12. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Duka la waarabu Alwasif lanunua kipande cha lami Kariakoo, parking system wamuuzia parking 3 ila hapaki hata gari

    Hili ni duka la waarabu la kuuza vitambaa Kariakoo, mtaa wa Ndanda na Narun'gombe, anamikiki duka moja tu ila amenunua maeneo ya frame mbili zingine pembeni ya duka lake , Lengo lake la kununua kipande cha barabara ni kuzuia harakati zozote za watanzania wengine kujitafutia kipato, Hizi ni...
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mara: Lissu akosoa uokoaji wahanga wa Kariakoo

    Wakuu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara Tundu Lissu akizungumzia zoezi la uokoaji wahanga wa ghorofa lililoporomoka Kariakoo November 21, 2024 mkoani Mara amesema anashangaa kuona watu hawajiulizi maswali haya muhimu; Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 -...
  14. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Uchunguzi kuporomoka kwa jengo Kariakoo yazinduliwa

    Wakuu, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezindua Kamati ya Wataalamu ya Uchunguzi wa Jengo lililoporomoka katika eneo la Kariakoo ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Rais Samia ya kuchunguza chanzo cha tukio hilo pamoja na kufahamu ubora na uimara wa majengo yote yaliyoko Kariakoo. Pia, Soma...
  15. Magical power

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa kijana anayetafutwa baada ya ajali ya jengo la Kariakoo

    Kaka habari za leo? Huyu ndugu yetu anaitwa Issa Issa, ni bodaboda hapa Kariakoo opposite na Msimbazi police. Siku ya jumamosi aliacha pilipiki yake kijiweni akaaga kuwa anaenda kuchukua nguo kwenye maduka yaliyopo kwenye jengo lililodondoka. Hata hivyo hakurudi. Tumemtafuta kupitia simu zake...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Sijawaona Mwamposa na wenzake pale katika janga Kariakoo

    Hawa jamaa nadhani walitakiwa pale ghorofani ili wafanye jambo la muhimu sana, sijawaona, au ratiba zimewabana?
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wamekaa eneo la ajali Kariakoo wakiamini kwamba wanaweza "kuokota" Mauzo ya wafanyabiashara waliokuwa jengoni

    Haya ndio maneno, kwamba kuna watu wanauza mamia ya mamilioni na kwamba bado yako humo. Hii inachangia wingi wa watu hapo saiti. Jamani, tutumie digital payments, hata likitokea janga, fedha inabaki hewani tu
  18. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa serikali kuhusu ukaguzi wa majengo Kariakoo, nimenusa harufu kubwa ya Rushwa

    Rais naskia ametangaza majengo yote ya eneo la Kariakoo yafanyiwe uhakiki. Japo sijaithibitisha hii habari niliisikia tu juu juu kwenye mitandao. Uhakiki wa majengo ni jambo zuri mno kwasababu itatuhakikishia kupungua kwa majanga ya aina hii - majengo kuporomoka. Kwahiyo kama hili zoezi...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Majengo ya Kariakoo hayavutii kuwepo mjini, panatakiwa pabaki peupe pyee

    Wakuu Baba Levo anaiota Times Square huku! Mtangazaji wa Wasafi Media, Baba Levo, ametoa maoni yake kuhusu majengo ya eneo maarufu la Kariakoo jijini Dar es Salaam, akisema kuwa hayafai kuwepo katikati ya jiji. "Majengo ya Kariakoo, asilimia kubwa, kama kweli tunataka haki, eneo hilo...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Nabii Mtalemwa alitabiri kuhusu ajali ya Kariakoo. Kuna haja ya kuanza kufatilia tabiri hizi au alibahatisha?

    Katika nyakati tofauti Apostle Mtalemwa alitoa unabii juu ya maafa yanayoweza kutoka Kariakoo na ilikuwa 21/ 1/ 2024 na alisema hivi kutakuwa na dibeti wakandarasi wafanye hivi wafanye vile is matter of prayer na kumuuliza Mungu turehemu. Niliona ramani ya Nchi imezungukwa na waganga wa...
Back
Top Bottom