kanisa katoliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Bila uimara wa Kanisa Katoliki Shetani angetawala dunia kwa kiasi cha kutisha

    Kwa zaidi ya miaka 2000 kumekuwa na vita kubwa na kali sana kati ya utawala wa giza na utawala wa Mwanga, Mbinu nyingi zikitumika na tawala na falme za giza katika kuuondoa na kuitawala dunia kwa nguvu zote. Shetani aliibua na anaendelea kuibua mbinu chafu za kuiteka dunia lakini uimara wa...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Kanisa katoliki: Maarifa, imani na sayansi – hadithi inayoendelea

    Unaposikia kwamba Papa Leo XIV alikuwa na shahada ya hesabu, alifundisha fizikia, na aliandika tasnifu kuhusu uongozi wa kitawa, inaweza kukushangaza. Lakini kwa Kanisa Katoliki, hilo si jambo la ajabu. Kwa karne nyingi, karibu kila Papa tangu enzi ya Renaissance amekuwa na kiwango cha elimu cha...
  3. Pendaelli

    JamiiForums Tanzania Pope Benedict wa 16 ana salia kuwa Pope bora kuwahi kutokea katika Kanisa Katoliki

    Awali ya yote shukrani kwa mwenyezi Mungu kwa kujalia makadnali kumchagua kiongozi mpya wa kanisa kwa muda mfupi kuliko ilivyo dhaniwa. Shukrani na pongezi kwa Pope mpya kwa jina la Leo wa 14, matarajio kama kanisa chini ya uongozi wake ni makubwa sana haswa wakati huu dunia ikikabiliana na...
  4. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Dkt Nshala afafanua hukumu ya kesi ya Tundu Lissu, Kanisa Katoliki kupokea pesa za damu "hela ya mafuta ya gari ya Askofu"

    https://youtu.be/VTSdE_xlvxs?si=_ba2CV49hgNedyAF Huyu ni Dr Rugemeleza Nshala, mwanasheria mkuu wa chama - CHADEMA.. Kuhusu uamuzi wa mahakama kesi ya TL kuendelea kusikikizwa kwenye mahakama ya wazi, anasema; ➡Uamuzi wa kususia kesi kwa kutokwenda mahakamani, usingekuwa uamuzi wa busara hata...
  5. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Nchi hii bila Kanisa Katoliki tungekuwa wapi?

    Wasalaam Juzi nimeona Kanisa Katoliki wamepeleka huduma za afya Kisarawe kupitia Caritas eneo ambalo asilimia kubwa ilionesha lina waislam wengi...walishukuru wanasema tangu uhuru hawakuwa na huduma za afya Wahudhuriaji wengi walikuwa waislamu pamoja na kuwa viongozi wa mradi alikuwa Askofu...
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ampokea Makamu wa Rais Dkt. Mpango Jijini Roma

    WAZIRI KOMBO AMPOKEA MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO JIJINI ROMA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amempokea Makama wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango jijini Roma, Italia ambapo atamwakilisha Rais wa Jamhuri ya...
  7. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lawamani kupokea pesa milioni 20 zinazoitwa "za mafuta ya gari la Askofu wa jimbo jipya la Bagamoyo kwa kazi zake za kichungaji

    Hii haina tofauti na ile iliyoitwa zawadi ya TZS 150,000,000 kwa Askofu Shoo wa KKKT - Dayosisi ya Mount Kilimanjaro (iliyolifikia kanisa kwa mkono wa Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA by then) kwa ajili ujenzi wa kanisa huko Machame - Hai - Kilimanjaro kwa Freeman Mbowe.. Hiyo pesa iliyoitwa...
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kanisa katoliki hatarini kuingia mikononi mwa mayahudi. Papa mtarajiwa ni adui kwa wapalestina na rafiki wa Isaac Herzog

    Ule uchuro wa rais Donald Trump wa Marekani wa kuvaa mavazi ya papa wakati wakristo wakiomboleza unaonesha aliufanya kwa malengo maalum kwani unaonekana kujidhihirisha katika ukweli. Kwa mara nyengine mafunzo ya kanisa katoliki yanaelekea kuvurugwa na mafunzo ya kiyahudi na huenda ikawa ndio...
  9. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Jasusi alijipenyeza Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Tanzania kwa Miezi Miwili akiwa anapanga Shambulio dhidi ya Padre Kitima

    BADO kuna maswali mengi kuhusu tukio la kuvamiwa, kupigwa na kujeruhiwa kwa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima. Wakati majibu ya maswali hayo yakiendelea kutafutwa, Pambazuko lina taarifa za kina kuhusu jinsi sehemu ya njama za kumdhuru kiongozi huyo...
  10. funaku

    JamiiForums Tanzania Katika Historia :Sakata la padre Tweve na uasi dhidi ya kanisa katoliki Tanzania

    Miaka kadhaa nyuma aliwahi kutokea padre muasi wa imani ya kanisa katoliki Tanzania. Padre huyu alikuwa na wafuasi wengi waliomkubali kwa mahubiri yake na hakika alileta changamoto na taharuki kubwa sio tu kwa waumini wa kanisa katoliki lakini pia kwa nchi nzima. sakata hili lilipelekea...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki undeni (Parallel) tallying centre ili kujiridhisha na matokeo ya Tume Huru

    1. Kwa hali ilivyo Katoliki ni kama hawana Imani na Tume Huru. Pengine ni wakati sasa na wao wakaunda (parallel) tallying centre ili kujumlisha Kura katika kila kituo. Zambia na DRC kanisa lilisimamia haki hadi leo Jenerali Joseph Kabila kastaafu huko DRC bila hivyo angekua bado madarakani. 2...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Ni ujumbe wa kanisa Katoliki kwa Rais Samia na serikali yake?

    Baba Padre anasema hii itume kama inavyotoka. Video inajitosheleza kabisa.
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Nimeamini Kanisa Katoliki lina nguvu. Wengi wamefanyiwa uovu, ni kawaida. Kaguswa Padri Mkatoliki moto umewaka

    Wanabodi Naomba kuuliza,ni mimi tuu au na wenzangu mnaona hili tukio la kushambuliwa kwa Father Dr Charles Kitima,Katibu Mkuu wa TEC, lime draw extra ordinary attention,limeleta mshtuko mkubwa na kuzua taharuki,ni moto wa statements zinamimika kutoka kila sehemu,what is so special? Nimeamini...
  14. funaku

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki Tanzania lina ushirikiano mkubwa na Serikali kamwe hawatafarakana!

    Wapo wahuni wanaotaka ku-spin na kuzua dhana ya hovyo kabisa kuhusu ushirikiano uliopo kati ya Serikali na Kanisa Katoliki. Jambo hili haliwezi kufanikiwa kamwe na wanaofanya hivyo watashindwa. Hivi karibuni Mhe.Rais Samia alipokea barua(memo) kutoka kwa hayati PaPa fransisko ikimtakia heri ya...
  15. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki liitishe maandamano nchi nzima siku ya jumapili baada ya misa kupinga ukatili aliofanyiwa Rev. Kitima

    Ukitaka kujua nguvu ya kanisa ni pale itakapoatangazwa rasmi kanisani kuwa jumapuli baada ya ibada kuwe na maandamano ya amani kupinga ukatili aliofanyiwa Rev Kitima Kuna chawa ni popo,ni waumini watiifu wa kanisa na ni waumini watiifu wa utawala yaani hapo watashindwa wasimame wapi Kanisa...
  16. Leonce jr

    JamiiForums Tanzania Kanisa katoliki ni kubwa kwa Nchi ambazo hazifungamani na upande wowote duniani.

    Kanisa roman catholic ni kubwa kuliko serikali ya Kenya na nchi zingine matumizi ya nguvu bila akili kitaonekanan kinachotafutwa kila mtu atakuwa anaongea lake kwenye serikali yake.
  17. D

    JamiiForums Tanzania Mwanzo wa taarifa za kukamatwa padri Kitima unaviashilia vya kumchafua na kuchafua taswira ya kanisa katoliki

    Taarifa ya awali ya jeshi la polisi kuhusu kushambuliwa kwa padri kitima ina viashiria vyote vya kumchafua na kuchafua taswira ya kanisa katoliki. Wanadai alikuwa katika kantini akipata vinywaji (Wakiwa na maana akilewa na kuwayawaya) HAKUNA SEHEMU WAMETAJA KWAMBA Alishambuliwa akiwa katika...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki sio sawa na CHADEMA, kulishambulia ni kuishambulia Vatican

    Siasa za Tanzania ziishie Tanzania zisivuke mipaka. Chuki za serikali kwa Chadema zisiliingize Kanisa. Kanisa ni kubwa kuliko chama chochote cha siasa nchini, kiwe CCM au CHADEMA kimuundo, kiuchumi, kiuwezo, idadi ya wanachama. Lipo dunia nzima. Ili Kanisa lijiendeshe duniani kiufasaha...
  19. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Memo za Kanisa Katoliki huwa Zinaandikwa kwa Ustadi Mkubwa Sana

    Huwa nikiona Memo zao zinakuwa zipo smart sana . Ni.nadra sana kuona memo kama hizi hapa Tanzania. Imagine hata memo kutoka ikulu huwaga nyepesi sana haitoi attention ya kusoma Tuna la kujifunza hapa. Memo za namna hii nazionaga kwenye nchi zilizoendelea mfano cheki hii hapa kutoka Bukoba.
  20. hamis77

    JamiiForums Tanzania Kuuziwa Msamaha (Indulgence) Katika Historia ya Kanisa: Asili, Matumizi, na Mapinduzi

    Kuuziwa Msamaha (Indulgence) Katika Historia ya Kanisa: Asili, Matumizi, na Mapinduzi Katika historia ya Ukristo, jambo lililozua mabishano makubwa na kuchochea mageuzi ya kidini ni biashara ya indulgence — kuuziwa msamaha wa dhambi. Kitendo hiki kilibadilisha mwenendo wa Kanisa la Magharibi na...
Back
Top Bottom