kanisa katoliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima karibuni sana Kanisa Katoliki kusali tunawapenda sana hapa ndio nyumbani kwenu hasa, msiogope sanamu mnazoziona

    Sanamu zilizopo makanisani kwetu ni picha tu, ni kama zile zilizopo maofisini za Nyerere, Samia, n.k. kwani mnaziabudu? Hapana ni vielelezo tu na sisi hatuwezi kuwa wajinga kiasi hicho cha kuabudu sanamu! Tunajua kuwa Mungu ni Roho na anabudiwa katika Roho na Kweli. Sisi Wakatoliki kama Kanisa...
  2. English Learner

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Kanisa Katoliki kwa Kusimamia Kidete Msimamo wa TEC

    Katika picha mjongeo inayoonekana hapo chini, aliyekuwa Mkurugenzi wa Mbalali ambaye sasa ni Mgombea ubunge ndani ya CCM, Jimbo la Kyerwa, Karagwe anaonekana akizuiwa kutumia jukwaa la Ibada ya mazishi ya Padre Vitalis huko Karagwe kupiga siasa. Nalipongeza kanisa Katoliki kwa kwa kuwa firm...
  3. BarakaMkekusi

    JamiiForums Tanzania Vita kati ya freemason na kanisa katoliki

    June 24 mwaka wa 1717 kundi la freemason walifanya kikao sehemu iitwayo Gridion ambayo ilikuwa katikankiwanja cha mtakatifu paulo huko wingereza.. Kwenye kikao hicho moja ya ajenda kubwa ilikuwa ni kuunganisha kundi la freemason liwe moja, kwa maana kipindi hicho walikuwa wamegawanyika bila ya...
  4. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki kutoa hifadhi kwa waumini wa Gwajima

    Kufuatia kufungwa kwa kanisa la Glory of Christ (Ufufuo na Uzima), viongozi wa kanisa hilo sasa wamesema wamepata hifadhi katika Kanisa Katoliki kigango cha Bikira Maria Kimara Dar es Salaam. Akizungumza leo Julai 27 katika ibada iliyofanyika katika ukumbi wa Kilato uliopo Kimara Stop Over...
  5. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki Lawapa Mahala Pa Kuabudia Waumini wa Gwajima

    Katika hali ya kuonesha mshikamano Kanisa Katoliki Limeamua kuwapa sehemu maalumu ya kuabudia waumini wa kanisa la Ufufuo Na Uzima lililochini ya mchungaji Gwajima ambaye pia alikuwa mbunge wa Kawe. Kanisa la Gwajima lilifungwa kwa kukosa vigezo na hii ni baada ya Gwajima kuhoji kuhusu utekaji...
  6. ibrah0102

    JamiiForums Tanzania IDF yashumbilia kanisa katoliki Gaza

    Jeshi la Israel (IDF) lashutumiwa kwa kulenga kanisa kwa makusudi Kardinali Pierbattista Pizzaballa amesema: “Tunachojua kwa hakika ni kwamba tanki — IDF wanasema kwa bahati mbaya — lakini sisi hatuna uhakika, lilipiga moja kwa moja Kanisa la Familia Takatifu, Kanisa la Kilatini.” Kanisa...
  7. Just Pray

    JamiiForums Tanzania DRC: Kanisa katoliki lapinga waliopata ujauzito kurudi shule

    Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, limepinga agizo la serikali, kuwataka wasichana waliopata mimba kuendelea na masomo. Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki CENCO, limesema Shule zake hazitatekeleza agizo hilo la serikali. Kupitia barua ya wazi, walioijibu serikali...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia achangia Tsh. Milioni 50 ujenzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Nyalikungu Maswa

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa Tsh. Milioni 50 kuchangia ujenzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Nyalikungu wilayani Maswa Mkoa wa Simiyu. Akiwasilisha mchango kwa niaba ya Rais Samia, wilayani Maswa, jana, Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira alisema Dkt. Samia anatambua...
  9. Mkyamise

    JamiiForums Tanzania Hivi kumbr ule utaratibu wa kanisa katoliki ulikuwa serious!

    Jana nimeshirki misa katika mojawapo ya kanisa katoliki. Nilikaa benchi la nyuma. Mbele yangu alikuwepo mbunge wa zamani wa jimbo ninalolifahamu. Mpaka misa inamalizika hakupewa air time kusalimia kama ilivyokuwa siku za nyuma. Aliondoka kama mimi nilivyoondoka baada ya misa kumalizika! 💪💪
  10. S

    JamiiForums Tanzania Samia katika hotuba yake, amepuuza madai ya CHADEMA, maoni ya Kanisa katoliki na ushauri wa PM mstaafu jaji Joseph Warioba. Tunatokaje hapa?

    Kuyapuuza makundi haya mawili (CHADEMA na wakatoliki) pamoja na waziri mkuu mstaafu jaji Joseph Warioba, ni wazi kuwa taifa linaenda kigawanyika mapande mapande Mapande haya yakianza kuhasimiana na uhasama ukakomaa, tutaingia kwenye shimo ambalo hatutaweza kuondoka humo tena. Kufuatia hotuba...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hongera kwako Baba Askofu Mkuu Jude Thaddeus Ruwa'ichi kwa kuteuliwa na Papa Leo XIV

    Baba Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam ameteuliwa kuwa mmoja wa wajumbe wa wizara (Dicastery) ya Mashirika ya Kitawa ya Maisha ya Wakfu na Mashirika ya Maisha ya Kitume Ulimwenguni kote ofisi zikiwa makao makuu Vatican. Ni miongoni mwa wa Afrika watano walioteuliwa katika...
  12. ommytk

    JamiiForums Tanzania Eneo linauzwa makongo mwisho kuelekea kanisa katoliki karibu na josam apartment

    Wadau eneo linauzwa lipo makongo mwisho njia kwenda kanisa katoliki lina ukubwa sqm 2231 lina hati ya wizara.halina shida yoyote ni tambalale na bei ya kutupa linuzwa kwa ajili ya shida tu bei ni 300m Karibu
  13. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kanisa katoliki linahitaji reforms

    Hili kanisa linalotajwa kama kanisa katoliki takatifu la mitume linahitaji reforms ili kwenda sawa na amri ya upendo iliyoamriwa na Yesu Kristo. Viongozi wa kanisa wapunguze chuki dhidi ya kiongozi wa nchi ambaye wanaona haendi vile wanavyotaka wao. Tunajua huu mwongozo wao wa kutaka viongozi...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Marufuku ya kanisa katoliki kwa wanasiasa kutoa salamu kwa waamini kanisani ni kama ile habari ya kutengeneza tatizo wenyewe na kulitatua wenyewe

    Kutafuta ushujaa wa kinafiki namna hiyo kwa taasisi kubwa kama Roman Catholic ni fedheha kubwa sana, licha ya kua marufuku hii ya kisiasa kanisani pamoja na mambo mengine inalenga kudhibiti upendeleo wa wa baadhi ya makasisi waandamizi wa kanisa hilo kwa viongozi wa kisiasa, hususani wa...
  15. evangelical

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki limepiga Marufuku Viongozi wa Serikali/Wanasiasa kuhutubia/kusimama mbele ya madhabahu na kutoa neno

    Kanisa Katoliki latoa tangazo la kuzuia wanasiasa kuhutubia makanisani.
  16. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Kanisa Katoliki kufanya ‘sala maalum’ kuombea uwepo wa Haki na Amani katika nchini

    Huu ndo mwongozo maalum umetolewa leo
  17. J

    JamiiForums Tanzania Je, Kanisa Katoliki hawachanganyi dini na siasa? Au wao ni untouchable!

    Amani iwe nanyi waungwana wa jukwaa hili pendwa kabisa! Moja kwa Moja niende kwenye mada au swali langu kwenu wakuu, kufuatia press iliyofanywa na mbunge wa Kawe na kiongozi wa kanisa la ufufuo na uzima Hon.Dr.Bishop Josephat Gwajima kuhusu Hali ya kisiasa nchini imepelekea kufutwa kwa kanisa...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi Songwe: Mauaji ya Katekista wa Kanisa Katoliki yametokana na wivu wa mapenzi, alituhumiwa kutembea na mke wa mtu

    Jeshi la Polisi limesema linamshikilia Mtu mmoja kwa tuhuma za mauaji ya Katekista wa Kanisa Katoliki, Vincent Mwenda ambaye alifariki Mei 10, 2025 kwa kushambuliwa na kitu chenye ncha kali. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa, Augustino Senga amesema wanamshikilia Lameck Mwamlima (29), Fundi...
  19. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Siri ya chumba cha Amani kilichombeba kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani, Papa Leo XIV ipo parokia ya mahanje Ruvuma

    Katika kijiji kidogo chenye utulivu wa kimungu kilichopo Mahanje,Halmashauri ya Madaba Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma, kuna chumba cha kawaida – lakini historia yake si ya kawaida hata kidogo. Ndani ya chumba hiki, miaka 22 iliyopita, alilala mtu ambaye hivi sasa ni Kiongozi Mkuu wa Kanisa...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Songwe: Katekista wa Kanisa Katoliki auawa kikatili nyumbani kwake

    Katekista wa Kanisa Katoliki, Vincent Mwenda amepoteza maisha kwa kushambuliwa na watu ambao utambulisho wao haujajulikana Mjini Tunduma. Diwani wa Kata ya Kaloleni, Mji wa Tunduma, Mkoa wa Songwe, Hamis Chuma amesema kiongozi hiyo wa Dini alifariki Mei 10, 2025 baada ya kushambuliwa akiwa...
Back
Top Bottom