Wana bodi poleni kwa msiba mkubwa.
1.Pamoja na kuwa uapisho halamu wa tarehe 03.11.2025 uliwakilishwa na padre na siyo ASKOFU.
2. Pamoja na kuwa Padre aliyewakilisha hakutia baraka na hakumbariki Rais wala makamu wa wake(DR. NCHIMBI alikuwa FRATERI WA SEMINARI KUU YA PERAMIHO )alielewa...
Zipo taarifa kuwa huenda kanisa katoliki nchini likajitenga mbali na shughuli zozote za kiserikali katika taarifa nilizopewa ni kwamba kanisa hilo kupitia Bazara lake la maaskofu wako mbioni kutoa tamko rasmi kabla Damu za watanzania zilozamwagwa na CCM hazijapoa.
Kanisa katoliki sio wanafiki wamenyooka hii ni leo kwenye UAPISHO wa mchongo Mwenyezi Mungu,"Tunawaombea wotewaliopoteza Maisha Yao Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Huu Wa 2025 Uwapokee kwako Mbinguni.
Pia wale wote Walioumia au Kupoteza Mali zao wapone Haraka, Tunaomba hayo kwa Njia ya kristo...
Huyu mwandishi Uchwara ,aliyefeli Kidato Cha Nne , Kwa makusudi Kabisa, ameamua kutumia Kipande Cha Viideo Cha MTU anayeitwa Askofu Kahemele wa KANISA la Angilikana aliyeonekana kwenye video hiyo akihamasisha Watu kwenda kupiga Kura , na kutumia Maneno na jina la Kanisa la RC, ili ionekane kua...
Kwanza walikusudia kabisa Kumuua Padre Kitima .
Walipoona wameshindwa , Genge la Wauaji hili kupitia Polisi wakaanzisha Kampeni chinichini ya Kudhoofisha, Kudhalilisha ,kuvunja Umoja ,Kuleta Mpasuko Ndani ya KANISA na Hatima yake ni WAUMINI wa kikatoliki kutofuata Maelekezo ya Viongozi.
Embu...
Binafsi nimesomea Katoke Seminary kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita. Nikiwa mtu niliyeishi ndani ya mfumo wa Kanisa Katoliki, ninaweza kusema kwa ukweli kuwa kanisa hili limejipanga vizuri sana katika idara na utendaji wake. Hata hivyo, bado kuna changamoto kubwa katika namna...
SALA YA KUOMBEA HAKI NA AMANI
Ee Mungu tunakusifu, tunakuheshimu, tunakutukuza, tunakuabudu na kukushukuru sisi Watanzania kwa kutujalia Nchi nzuri. Tunakushukuru pia kwa zawadi ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei 2025.
Tukiwa Mahujaji katika Matumaini, tunakuomba utuepushe na changamoto zinazoweza...
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es salaam Mhashamu sana Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap. amekanusha na kutolea ufafanuzi taarifa inayosambaa katika mitandao ya kijamii ikionyesha kuwa warsha ya waamini jimboni humo itafanyika Oktoba 29, siku ambayo ni ya uchaguzi mkuu wa Tanzania, kuwa taarifa...
Msimamo wa kanisa katoliki kuhusiana na uchaguzi mkuu 2019/20, 2024 na huu unaotarajiwa 2025 uko wazi:
Msimamo wa kanisa katoliki kuhusiana na wapalestina Gaza huko, unajulikana:
Papa Francis: Awacharukia "war mongers" wa mashariki ya kati wasiotaka amani
Tofauti ya wazi kabisa baina yao...
Paroko Msaidizi wa Parokia ya Peramiho, Padre Frederick Mwabena amesema ni wajibu wa Kanisa Katoliki kutunza amani katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.
Padre Mwabena amesisitiza kuwa Kanisa Katoliki linawahamasisha wananchi kupiga kura siku ikifika, kwani ni haki yao ya msingi.
Pia...
Vatican makao makuu ya kanisa katoliki duniani yapokea hija takatifu ya kwanza rasmi ya watu wanaoingiliana kinyume na maumbile.
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Kanisa Katoliki, hija ya watu wa LGBTQ imejumuishwa rasmi katika ratiba ya Mwaka wa Jubilei wa Kanisa. Takriban watu 1,400...
Jeshi la Polisi limezingira Kanisa Katoliki Kirumba, Mwanza, ambapo CHADEMA Kanda ya Victoria walikusudia kuadhimisha Chadema Mashujaa Day katika ukumbi wa Kanisa hilo.
Mpaka sasa watu kadhaa wamekamatwa, akiwemo Katibu wa Kanda hiyo, Zacharia Obad.
Duru ndani ya viunga vya Baraza la Maaskofu zinatabanaisha kwamba, Kanisa linakusudia kusitisha kutoa huduma za Kijamii hadi pale uminywaji wa haki za ki msingi zitakapo komeshwa.
"....baba Maaskofu wanakribia mno kuungana na watoe tamko kali litalo waacha watu wengi midomo wazi."
"....juzi...
Hivi maslahi yenu yameguswa? Mbona hamuwi wawazi tukawarudishia wizi wenu. Mtu mzima tena skofu unahubiri siasa eti jk asimshauri rais ni akili kweli hiyo? Rais ni asset ya serikali ndo mana analipwa till death ili atumike kisawasawa. Mboa Pengo alistaafu lakini bado yuko mimbalini na...
Heshima sana wanajamvi,
Kanisa katoliki ambalo ndio kanisa kubwa kwa idadi ya waumini linatarajia kutoa WARAKA UTAKAOJIKITA ZAIDI KATIKA MASUALA YA UCHAGUZI MKUU 2025. Inakadiriwa kanisa Katoliki lina waumini 26.2 million
WARAKA WA KANISA KATOLIKI umesababisha wapenda madaraka kwa njia ujanja...
Tumesali novena sawa lakini ni unafiki kwenda kwenye chaguzi ambazo kwa kila namna hazina maana na tayari tume imeweka mfumo wa kura fake. ! Sasa wakatoliki twende kupiga kura fake!
Toeni tamko tuache uoga na unafiki
Kanisa katoliki kila siku ku a sala ya kuwaombea viongozi na kwa namna ya pekee Mhe. Raisi
Kanisa Katoliki bado linashirikiana na selikari katika mambo mengi ikiwemo ustawi wa amani kwa mafundisho na utoaji wa huduma mbali mbali za kijamii kama afya na elimu bila kuchoka hata pale inapotokea...
Wanabodi
Mimi mwanabodi mwenzenu,pamoja na mambo mengine yote,mimi pia ni Mkristo Mkatoliki, ila Ukatoliki wangu, ni wale Wakatoliki tulioendelea endelea, kwa Lugha ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere.
Kwa maelekezo ya Baraza la Maaskofu Katoliki la Tanzania, TEC, Kanisa Katoliki Tanzania,na...
Kwanza kabisa nitoe shukrani kwa kanisa katoliki, limekuwa mstari wa mbele kupaza sauti lakini kwa bahati mbaya sauti hiyo masikioni mwa walengwa ni kama kelele tu, wanaendelea kufanya wanachotaka bila breki
Kama ni DP World ilishapita,
Kama ni uchaguzi utafanyika na CCM kwa mazingira...
Sala na Kazi
Ujasiri wa wananchi wanaonyonywa Kinyume na wanamtandao wanyonyaji.
Mshikamano kukabiliana na uhuni kwenye uchaguzi dhidi ya waliojipanga kutumia mahakama kuua fikira. Ni kama kondoo kati ya mbwa mwitu.
Nani panya atamfunga paka kengele?
Tumrudie Mungu Mwenyezi, Mungu wa Paulo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.