kanisa katoliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki sio sawa na CHADEMA, kulishambulia ni kuishambulia Vatican

    Siasa za Tanzania ziishie Tanzania zisivuke mipaka. Chuki za serikali kwa Chadema zisiliingize Kanisa. Kanisa ni kubwa kuliko chama chochote cha siasa nchini, kiwe CCM au CHADEMA kimuundo, kiuchumi, kiuwezo, idadi ya wanachama. Lipo dunia nzima. Ili Kanisa lijiendeshe duniani kiufasaha...
  2. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Memo za Kanisa Katoliki huwa Zinaandikwa kwa Ustadi Mkubwa Sana

    Huwa nikiona Memo zao zinakuwa zipo smart sana . Ni.nadra sana kuona memo kama hizi hapa Tanzania. Imagine hata memo kutoka ikulu huwaga nyepesi sana haitoi attention ya kusoma Tuna la kujifunza hapa. Memo za namna hii nazionaga kwenye nchi zilizoendelea mfano cheki hii hapa kutoka Bukoba.
  3. hamis77

    JamiiForums Tanzania Kuuziwa Msamaha (Indulgence) Katika Historia ya Kanisa: Asili, Matumizi, na Mapinduzi

    Kuuziwa Msamaha (Indulgence) Katika Historia ya Kanisa: Asili, Matumizi, na Mapinduzi Katika historia ya Ukristo, jambo lililozua mabishano makubwa na kuchochea mageuzi ya kidini ni biashara ya indulgence — kuuziwa msamaha wa dhambi. Kitendo hiki kilibadilisha mwenendo wa Kanisa la Magharibi na...
  4. hamis77

    JamiiForums Tanzania John Huss: Kichwa cha Mapinduzi ya Kidini na Vita dhidi ya Kanisa Katoliki

    John Huss: Kichwa cha Mapinduzi ya Kidini na Vita dhidi ya Kanisa Katoliki John Huss alikuwa mchungaji na mwana-theolojia kutoka Bohemia (leo inajulikana kama Jamhuri ya Czech), ambaye alijulikana kwa mafundisho yake ya kidini ambayo yalikuwa yakienda kinyume na mafundisho ya Kanisa Katoliki...
  5. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Makala yakinifu: Kifo cha Papa na Mchakato wa Kumchagua Mrithi Wake – Kuelewa Taratibu za Kanisa Katoliki kwa Mtazamo wa Mtanzania

    Ni mara chache katika historia ya Kanisa Katoliki duniani ambapo viti vya uongozi hukaa wazi – hasa kiti cha Mtakatifu Petro, yaani kiti cha Baba Mtakatifu. Kwa sasa, tunakabiliwa na tukio hilo adhimu: Papa Francis amefariki dunia, na Kanisa Katoliki liko katika kipindi kinachoitwa...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania anaeleza taratibu za kumpata Papa kwa Kanisa Katoliki

    Father Chesco Msaga ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania akiwa kwenye Kasri la Kikeke anaeleza taratibu za kumpata Papa kwa Kanisa Katoliki. Taratibu za Mazishi ya Papa Francis zikoje Father Chesco Msaga ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Sasa ni muda wa PAPA wa kanisa katoliki awe Mwafrika, Wazungu wengi wameacha kwenda makanisani

    Waafrika ndio tunaongoza kwa kuwa na waumini wengi wa kanisa katoliki Duniani, Kuchagua Papa Mzungu si sahihi. wazungu wengi wameachana na mambo ya dini na hawaendi makanisani, mambo ya dini yamebaki Afrika, kwa mbali kidogo Nchi za kilatini na Ulaya ya maghariki. Hali ya kidini nchi za...
  8. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo Papa mweusi, je Kanisa katoliki ni taasisi ya kibaguzi?

    Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo papa mweusi. Sikumbuki katika Uislam kuwepo kiongozi wake wa juu baada ya kifo cha Muhammad ukiachia mbali Bilal muethiopia aliyekuwa muadhini nafasi ambayo mara nyingi ni ya watu wa daraja la chini. Kwa misingi hiyo hapo juu, je Kanisa katoliki ni...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Mfahamu kwa picha Papa mtarajiwa wa Kanisa Katoliki kutokea Ghana Kadinali Peter Kodwo Appiah Turkson

    Wadau hamjamboni nyote? Miongoni mwa wanaopewa nafasi kubwa ya kuwa Papa mpya ni Kardinali Peter Turkson, askofu mkuu kutoka Ghana, ambaye huenda akaweka historia kwa kuwa Papa Mweusi wa kwanza. Anatajwa kurithi mikoba ya Upapa Peter Kodwo Appiah Turkson (Born 11 October 1948) is a Ghanaian...
  10. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti ndogo sana kati ya Umoja wa Mataifa (UN) na Kanisa Katoliki,kushindana nao ni kujitafutia matatizo

    Mimi binafsi nimekulia katika imani ya kikatoliki na nimesoma shule ya mission ya Kanisa Katoliki,sio seminary..nikidhani RC ni dhehebu. Baada ya kukua nikagundua RC sio dhehebu bali ni mfumo wa kiitawala kama ilivya kwa Umoja Wa Mataifa. Kuanzia siku hiyo niliacha kusali Papa ni kama katibu...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo ni mnafiki wa kupindukia. Kama sio mnafiki, mbona hakutaja jinsi Kataliki walivyokemea utawala wa Magufuli?

    Mods naomba muache huu uzi kama ulivyo kwasababu inabidi hawa watu tuwakabili kwa uzito unaostahili. Huyu Sheikh mnafiki na muongo anahoji maaskofu wa katoliki wanamkosoa Samia kwasababu ni muislamu na anahoji mbona wakati wa Magufuli wapinzani walifungwa mpaka jela na.maaskofu hawa hawakusema...
  12. Raia mpya

    JamiiForums Tanzania Je, ni muda muafaka sasa kiongozi wa kanisa Katoliki kutokea Afrika?

    Tangu kuanzishwa kanisa katoliki halijawahi kutoa papa anaetokea Afrika, japo walikuwepo wachache wenye asili ya kiafrika na ni zamani sana huko. Je ni wakati sahihi kwa Afrika kwa mara ya kwanza kuongoza kanisa hilo? Vip nafasi ya mapadri kutoka Tanzania na Afrika kwa ujumla kuongoza kanisa hilo?
  13. R

    JamiiForums Tanzania TANZIA Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, amefariki dunia leo April 21,2025 kwenye Jumatatu ya Pasaka akiwa na umri wa miaka 88 ambapo Vatican imethibitisha na kusema Papa amefariki kwenye makazi yake Vatican na taarifa zaidi kuhusu kifo chake zitatolewa. Papa ambaye alizaliwa mwaka...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Mwaipopo amvaa Askofu wa Kanisa Katoliki kisa Tundu Lissu, adai kauli yake ni kutaka kuiingilia Serikali

    Kiongozi wa Dini ya Waislamu Sheikh Mwaipopo amjia juu Rais wa Baraza la Maaaskofu wa kanisa katoliki (TEC) Askofu Dkt. Pisa kwa kutoa kauli ya kulaani na kutaka Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu aachiwe haraka, adai kauli hiyo ni kutaka kuiingilia Serikali. Pia, Soma: Baraza la Maaskofu...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwipopo: Kanisa Katoliki liliongoza mauaji ya kimbari Rwanda, Burundi na Congo, alionya kupandikiza roho ya chuki za kidini Tanzania

    Sheikh maarufu Tanzania ndugu Mwipopo ametoa onyo kwa kanisa katoliki kwa mwenendo wake wa kupandikiza chuki za kidini, hasa inapotokea Rais ni muislam. Sheikh huyo ametoa mfano wa mauaji ya kimbari Rwanda ambapo kanisa hilo lilikuwa linawakusanya watu makanisani kwa kisingizio cha kuwasaidia...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kweli kanisa Katoliki wanapenda kiki:Eti wadau waliokamatwa waachwe bila masharti, hawa hawajui zama zao zimeshaisha

    We rais wa TEC ni nani kuiamrisha serikali iachie watuhumiwa wa uhaini tena unapanga bila masharti, who are you? Hawa maaskofu wanajitambua kweli? Wanafikiri hii ni Roma Empire? Wanapenda kiki za kijinga waonekane wana nguvu flani nyuma ya pazia waache upuuzi wao zile zama za kijinga za papa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kanisa Katoliki hawavunji Mkataba wa Fedha MoU?

    KANISA KATOLIKI KWANINI HAWAVUNJI MKATABA WA FEDHA ZA MOU? Katika hati hiyo, iliyotiwa saini Februari 21, mwaka 1992, upande wa serikali uliwakilishwa na mmoja wa mawaziri wake waandamizi wa wakati huo. Makubaliano hayo yalifanyika kwa kuzingatia mambo kadhaa, ambayo ni pamoja na hali ya...
  18. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti

    Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuwaachilia mara moja na bila masharti viongozi wa kisiasa waliokamatwa kwa kudai haki, likisisitiza kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kulinda amani ya taifa, hasa kuelekea mwaka wa uchaguzi. Rais wa TEC na Askofu...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Video: Ibada ya ijumaa kuu kwenye kanisa katoliki Tanzania ilivyoendeshwa kwa kulipigia magoti na kubusu sanamu

    Wakati wengine tunachukulia imani poa, Wakatoliki wapo serious wanastahili pongezi. Sanamu haliachiwi hivihivi tu, linapigiwa magoti kwa nidhamu, linashikwa tumbo kwa adabu, Kisha linabusiwa ubavuni kwa unyenyekevu kama unavyoona kwenye video Wakatoliki kwenye suala la imani mpewe maua yenu 🙌🙌
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki ndio taasisi inayoweza kumuokoa Lissu na kuirudisha CHADEMA katika uchaguzi kwa sasa.

    Kati ya taasisi ambazo zingeweza kupiga kelele kushinikiza Lissu asihukumiwe kwa uhaini ni balozi za Marekani na Umoja wa Ulaya lakini kwa sasa ni dhaifu sana na zimepoteza hadhi na heshima ya kutiliwa maanani na dola. Taasisi muhimu iliyobaki yenye ushawishi mkubwa katika jamii inayoweza...
Back
Top Bottom