Kwa sasa mimi ni muumini wa Kanisa la Anglican lakini hivi karibuni nimetokea kuvutiwa na Kanisa Katoliki, na nimeona ndio Kanisa linaloendana na misingi yangu. Nadhani sijachelewa maana bado ni kijana. I'm still in my 20s
Kwa hiyo huu mwaka nitajitahidi nihamie Kanisa Katoliki. Jumapili hii...
Tangu jana hadi leo nimesoma humu hoja mbalimbali kuhusu wale "Wakatoliki" walioandamana kwenda Ubalozi wa Vatican. Nikajifunza, nikaacha niliyojifunza, halafu nikajifunza tena. Natangaza maslahi: Mimi si Mkatoliki, na sifikiri kama nitakuwa Mkatoliki baada ya leo. Nafanya tu analysis ya kawaida...
Tuna utawala duni na wa ajabu nyakati hizi kuliko wakati wowote. Watawala wamenyimwa hekima, ufahamu na maono, kwani wanajitengenezea kaburi lao wenyewe.
Wajinga wanaamini kuwa kulishambulia Kanisa Katoliki la Roma, kutalidhoofisha, bila ya kufahamu kuwa Wakristo wote ni Wakatoliki. Katoliki ni...
Hamjambo wote!
1. Mimi ni Mtibeli. Dhehebu(shule) ya mafunzo ya dini ni Kanisa la wasabato.
2. Ukweli ni kuwa kwenye nchi Maskini hasa za Afrika huwezi ukaleta ugomvi wa nginjanginja na Kanisa Katoliki ukashinda. Hizo ni ndoto za Mchana kabisa.
3. Sijajua nini kinachoenddelea mpaka naona kuna...
Wapo wanaodhani Kanisa ni jengo tu.
Historia inasema vinginevyo.
Kanisa Katoliki si chama cha siasa, lakini likiguswa vibaya, huamsha nguvu ya wananchi kuliko risasi.
Hebu tuangalie mifano ni mingi ila kwa uchache.
1. Philippines – Ferdinand Marcos (1986)
Marcos alikuwa na Jeshi pamoja na...
Askofu wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Mhashamu Stephano Lameck Musomba, amesema, Waumini wa Kanisa Katoliki wana kila sababu ya kujivunia ukatoliki wao bila kuyumbishwa au kutishwa na mtu yeyote yule.
Amesema, Kanisa Katoliki limeendelea kusimama imara kwa sababu ni Kanisa lililojengwa juu ya...
Kanisa katoliki limeundwa kwenye misingi ya Haki, Utii, ukweli na kutetea uhai wa binadamu, wanyama na mazingira.
Kutokana na misimamo yake Kanisa katoliki limejikuta likiwa na maadui wengi waovu nje na ndani ya kanisa.
Hapa ndo tunaweza kutumia ile kauli waliomtesa na kumuua Bwana Yesu...
UTANGULIZI
Mwaka 2017 Raisi Duterte alianzisha vita kali dhidi ya Madawa ya Kulevya nchini Ufilipino. Aliaua maelfu wa watu aliodai ni watumiaji na wauzaji wa madawa. Alienda hadi mbele ya kadamnasi na kujisifu kwamba wakati ni Meya wa Davao alikuwa anatembea usiku na kupiga watu risasi...
Aliyejitambulisha kama muumini wa kanisa katoliki aliyebatizwa na anayepokea sakrament, Ludovick Joseph, aeleza vifungu vya sheria vinavyowabana viongozi kuwafokea waumini kwa lugha kali.
Aliyewahi kuwa kada wa CHADEMA na mtu wa karibu wa siku nyingi na Waziri Mkuu mpya (Mwigulu Nchemba) ndugu Ludovick Rwezaura ameibuka leo na kulishambulia vikali Kanisa Katoliki kwa kuikosoa Serikali ya Rais Samia...
Amejitambulisha kama muumini wa kanisa katoliki, aliyebatizwa na anayepokea...
Friends and Our Enemies,
Kanisa Katoliki kupitia kiongozi wao Ruwaichi limeingia kwenye vita kali ya maneno na majibizano na waumini wake mara baada ya waumini hao kuandaa maandiko na kuyapeleka VATICAN ambako ni makao makuu ya kanisa hilo kuwashitaki viongozi wa kanisa hilo wa hapa nchini kwa...
Kanisa katoliki limepoteza uelekeo kabisa haijulikani nani ni nani. Kila askofu ni mkurupukaji tu na hajui nini cha kusema.
Mbina pengo aliheshimika sana ikafika hatua akisema kitu serikali inapagawa. Kadri miaka inavyoenda kanisa linakosa critical thinkers kabisa
Leo nimepata wasaa wa kusikiliza kwa makini maojiano na vyombo vya habari aliyoyafanya Dr Kitima na kujiridhisha pasi na shaka Kanisa Takatifu la Mitume Kanisa Katoliki na TEC wana idadi kamili ya waliouliwa kwa mtutu mnamo tarehe 29 October 2025
Katoliki mumenipata hawa masheikh ubwabwa na...
Naona mnaingia kina kirefu cha maji ya mtoni
Kanisa katoliki sio taasisi za kutikisa kwa propaganda
Kanisa katoliki Lina weledi
Hebu jibuni hoja zao, sio kuibua makundi ya wahuni kuwapinga na kuwatishia
Jibu hoja zao
Nani aliuwa ?
Nani aliiba kura?
Nani wanateka na kuuwa watu?
Nani...
Kanisa katoliki kupitia TEC, maaskofu na mapadri wake wamekuwa wakionekana katika mstari wa mbele kupambania haki na ustawi wa raia Katika mambo yanayonishangaza ni katika msiba ya waumini ambao ni waumini wa katoliki mfano huu wa Jenista Mhagama ambapo padri alimsfia sana kwamba alikuwa muumini...
Kanisa Katoliki la Baltimore, Maryland, Marekani (eneo la DMV) siku ya Jumapili, Desemba 14, 2025, limefanya ibada maalum ya kuwaombea mashujaa waliouawa wakati na baada ya uchaguzi Oktoba 29 wakipigania haki, ambapo waumini walikusanyika kuwakumbuka na kuwaombea marehemu hao.
Katika ibada...
1. Kanisa katoliki halijawahi kuongelea dini yoyote, hata kama ni washindani wao
2. Kanisa katoliki halijitangazi
3. Kanisa katoliki muda wa ibada ni saa 1 hadi 2.
4. Ukiondoka hupigiwa simu hata uasi miaka 10 na ukirudi huulizwi ulikuwa wapi?
5. Hakuna muda wa kutabiri, sijui uponya, fukuza...
Kanisa la Roman Catholic linajitosheleza kwa kila idara lina kitengo cha ujasusi The Jesuit lina benki yake Bank of Vatican, lina miradi mikubwa dunia nzima, uchumi wake Tanzania ikasome.
Inakadiriwa Kanisa Katoliki linamiliki kati ya hekta milioni 71 na 81. Takwimu hii inajumuisha mali kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.