kanisa katoliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. THE BIG SHOW

    PostGE2025 TEC na Kanisa Katoliki mnasema Serikali hii ni haramu. Kwanini mnaendelea kuvuna mabillion ya fedha kila mwezi kutoka serikalini? Hiyo MoU ivunjwe

    Friends and our Enemies, Kuna msemo unasema baniani m'baya ila kiatu chake ni dawa. TEC na KANISA KATOLIKI... Mwaka 1992 waliingia mkataba wa kinyemela na serikali ili waweze kupata msaada wa kusaidiwa kuendesha hospital zao kwa gharama mbali mbali kama kulipa mishahara ya wafanya...
  2. ngara23

    Kanisa katoliki laja na mkakati wa kuleta orodha ya majina ya Watanganyika waliouawa October 29,2025

    Hakika TEC imejaa wasomi Mapdre sio watu wa kubwabwaja tu Kanisa Catholic limeagiza majimbo, Parokia, vigango na jumuiya zote za TANZANIA kuwatambua marehemu na majeruhi wote waliopigwa risasi Oktoba 29 TEC watatoa idadi ya majina ya Watanzania wote bila kujali dini zao Kutumia jumuiya ndogo...
  3. THE BIG SHOW

    PostGE2025 TEC Na Kanisa Katoliki tambueni kuwa hamna mamlaka ya kuitaka Serikali ikiri chochote kwenu

    Friends and Our Enemies, Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali yetu tukufu chini ya amiri jeshi wetu MKuu Daktari Samia Suluhu Hassan kwa kusimam imara katika kuilinda amani ya nchi hii dhidi ya wachochezi na wafanya vurugu wa tareh 29.10.2025 na wengine wote ambao wanasimama eti...
  4. M

    PostGE2025 Padri Kitima: Kanisa Katoliki linaposimamia vitu halitafuti maslahi ya kikatoliki, bali ustawi wa watu

    Akizungumza na vyombo vya habari leo Desemba 1, 2025, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, amesema kuwa Kanisa Katoliki linasimamia ustawi wa jamii, heshima ya utu na haki za msingi, ushiriki wa watu katika kujitawala na kuheshimu vyombo vya chini.
  5. gallow bird

    Kanisa Katoliki na makundi ya kiraia Zambia yatangaza maandamano ya nchi nzima tarehe 28 Novemba kupinga mchakato haramu wa Katiba

    Maaskofu wa kanisa katoliki Zambia wamepinga mabadiliko ya katiba Zambia wakidai timing yake si nzuri kwa sasa tokana na ukosefu wa umeme wa uhakika nakupanda kwa gharama za kimaisha Wamepanga kuandamana pamoja na raia 28th November =============== Zambia iko katika hali ya wasiwasi huku Kanisa...
  6. chongchung

    Jeuri ya Kanisa katoliki Tanzania (TEC) hii hapa

    Ni kweli nimeamini hili kanisa lina mali mingi mno, kama jimbo 1 tu la mkoa wa Pwani ambao wengi wanachukulia ni mkoa wenye waislamu wengi kuliko wakristo parokia ndogo tu 1 inakusanya billion 1 na, vipi kwenye ile mikoa yenyewe wakatoliki wengi? Kuna kipindi mbunge mmoja wa upande wa pili...
  7. K

    Mali za Kanisa Katoliki ni zaidi wa uwekezaji wa Mo, Azam, DP world, Voda na Taifa gas kuchanganya

    Hamuwezi na hamtaweza kuwatingisha kanisa katoliki maana wameshikilia uchumi wa Tanzania kuanzia vyuo, mashule, mahospitali, land . Pesa za kanisa katoliki zikichanganywa zinazidi kampuni zote za uwekezaji Tanzania. Sasa anafikiri anaweza kuja kuiba uchaguzi na kubadilisha haya. Ataondoka na...
  8. gijos

    Tanzania: waislamu tukemee upuuzi wa kuitumia dini kuwashambulia viongozi wa kanisa katoliki TEC

    Kumetokea wimbi hatari la vikundi vya watu wachache wanaojiita waislamu au viongozi wa waislamu, lakini wanachofanya hakina uhusiano wowote na Uislamu. Vikundi hivi vinatumiwa na watawala na mitandao ya kisiasa kueneza chuki, kutukana na kushambulia Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) kwa sababu...
  9. T

    PostGE2025 Anatafuta sababu ya kufungia Kanisa Katoliki

    Huo ndio ukweli Sababu zinazotafutwa hapa ni kufungia kanisa katoliki au kuvunja kufuta usajili wa TEC. Hii nayo itakuwa mission impossible.
  10. Mkalukungone Mwamba

    Sheikh Bakoz: Wizi unaofanyika bandarini unabarikiwa na kanisa Katoliki

    Mashekh kadhaa wametoka na kutoa mapovu yao kwa Kanisa Katoliki na kutoa tuhuma nzito sana! Wamedai kwamba wizi unaendelee katika Bandari umebarikiwa na Kanisa Katoliki, na kusema kwamba waislamu wa leo si kama walipita wa sasa wameenda shule na wamesoma.
  11. Just Pray

    PostGE2025 Askofu Bagonza: Kuna “vita” imeanzishwa kulishambulia Kanisa Katoliki nchini

    Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Facebook anasema; WARAKA WA TEC: Kuna Watu Wanaiharibia Serikali. Kuna “vita” imeanzishwa kulishambulia Kanisa Katoliki nchini. Vita hiyo inaiumiza serikali kuliko walengwa wa vita hiyo. Nashauri...
  12. DuaZaMama

    PostGE2025 Sheikh Rusaganya: Viongozi wa dini nyingine mnaotoa matamko kuweni na adabu! Kwanini kila Rais anapokuwa muislamu mnatoa matamko?

    Mwalimu wa masuala ya dini ya Kiislamu, Sheikh Hashim Rusaganya, amewajia juu viongozi wa dini nyingine kwa kutoa matamko kuhusu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan. Amesema kuwa Rais Samia anatukanwa sana, hivyo ni vyema viongozi wa dini nyingine wakaacha kutoa...
  13. D

    Kanisa Katoliki, naomba maombi yenu ya tarehe 9.11 na misaada mtakayoikusanya viwaendee pia waliodhulumiwa Mali zao na kazi zao! Mungu awabariki sana

    Bwana asifiwe! Mmeamrishana kufanya Ibada maalumu jumapili hii ya tarehe 9.11.2025 kwa ajili ya kuwarehemu marehemu waliotokana na fujo za juzi katika uchaguzi mkuu pamoja na kuwaombea uzima majeruhi wote. Aidha, mmewataka watu kupeleka misaada kwenu kwa ajili ya majeruhi. Ni jambo jema...
  14. tpaul

    Vatican: Mchango wa Bikira Maria ni mkubwa, lakini si Mkombozi wa Ulimwengu isipokuwa Yesu pekee

    Ofisi ya mafundisho ya Vatican chini ya Papa Leo wa Kumi na Nne imetoa tamko jipya ikieleza wazi kuwa Yesu Kristo pekee ndiye Mkombozi wa wanadamu, siyo Bikira Maria. Waraka huo unasema kwamba si sahihi kutumia jina “mkombozi mwenza (co-redeemer)” kwa ajili ya Maria, kwa sababu jambo hilo...
  15. M

    KANISA KATOLIKI MLITAKIWA KUMTUMA KATEKISTA NA SIYO PADRE KWENYE SHEREHE ZA UAPISHO HALAMU.

    Wana bodi poleni kwa msiba mkubwa. 1.Pamoja na kuwa uapisho halamu wa tarehe 03.11.2025 uliwakilishwa na padre na siyo ASKOFU. 2. Pamoja na kuwa Padre aliyewakilisha hakutia baraka na hakumbariki Rais wala makamu wa wake(DR. NCHIMBI alikuwa FRATERI WA SEMINARI KUU YA PERAMIHO )alielewa...
  16. Its Tesha

    Tetesi: Kanisa katoliki nchini Tanzania huenda likajitenga na serikali

    Zipo taarifa kuwa huenda kanisa katoliki nchini likajitenga mbali na shughuli zozote za kiserikali katika taarifa nilizopewa ni kwamba kanisa hilo kupitia Bazara lake la maaskofu wako mbioni kutoa tamko rasmi kabla Damu za watanzania zilozamwagwa na CCM hazijapoa.
  17. DuaZaMama

    GE2025 Mwakilishi wa TEC kwenye UAPISHO wa Rais Samia akiwaombea waliofariki dunia katika maandamano

    Kanisa katoliki sio wanafiki wamenyooka hii ni leo kwenye UAPISHO wa mchongo Mwenyezi Mungu,"Tunawaombea wotewaliopoteza Maisha Yao Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Huu Wa 2025 Uwapokee kwako Mbinguni. Pia wale wote Walioumia au Kupoteza Mali zao wapone Haraka, Tunaomba hayo kwa Njia ya kristo...
  18. Carlos The Jackal

    Kanisa Katoliki (RC) limchukulie hatua za Kisheria YERICKO NYERERE, Mgombea Ubunge CHAUMA, Kwa kutumia Video ya Askofu Angilikana , Kuleta Mpasuko RC

    Huyu mwandishi Uchwara ,aliyefeli Kidato Cha Nne , Kwa makusudi Kabisa, ameamua kutumia Kipande Cha Viideo Cha MTU anayeitwa Askofu Kahemele wa KANISA la Angilikana aliyeonekana kwenye video hiyo akihamasisha Watu kwenda kupiga Kura , na kutumia Maneno na jina la Kanisa la RC, ili ionekane kua...
  19. Carlos The Jackal

    Kanisa liamke, kanisa li activate mfumo wake wa kiutendaji katika kulinda masilahi ya kanisa na nchi!!

    Kwanza walikusudia kabisa Kumuua Padre Kitima . Walipoona wameshindwa , Genge la Wauaji hili kupitia Polisi wakaanzisha Kampeni chinichini ya Kudhoofisha, Kudhalilisha ,kuvunja Umoja ,Kuleta Mpasuko Ndani ya KANISA na Hatima yake ni WAUMINI wa kikatoliki kutofuata Maelekezo ya Viongozi. Embu...
  20. ngara23

    Kanisa Katoliki libadili mtazamo kuhusu jinsi linavyowatendea Mapadre na Watawa

    Binafsi nimesomea Katoke Seminary kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita. Nikiwa mtu niliyeishi ndani ya mfumo wa Kanisa Katoliki, ninaweza kusema kwa ukweli kuwa kanisa hili limejipanga vizuri sana katika idara na utendaji wake. Hata hivyo, bado kuna changamoto kubwa katika namna...
Back
Top Bottom