Kangi Lugola akubali kung’olewa Uwaziri asema Rais ndiye aliyemteua na sasa ameona ampumzishe

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Messages
949
Points
1,000

Influenza

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2018
949 1,000
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amekubali uamuzi wa Rais Magufuli kumuondoa katika nafasi hiyo akisema kuwa Rais ndiye aliyemteua na sasa ameona ampumzishe

Amesema, “Kwangu mimi hili ni jambo la faraja. Ninyi Waandishi wa Habari na Watanzania mmemsikia Rais hatua alizozichukua. Ni hatua nzuri zinalenga kujenga vizuri safu ya Serikali ya Awamu ya Tano.”

Aidha, ameongeza “Mawaziri waliopo, wanaoendelea waendelee kuchapa kazi. Likiundwa Baraza la Mawaziri na wachache kutoka CCM sisi wengine tuliopo benchi tunaendelea kuchapa jaramba unaweza kuingia muda wowote.”

 

Forum statistics

Threads 1,389,958
Members 528,065
Posts 34,039,638
Top