Msanii namba moja Africa, Diamond Platnumz aka Simba anapiga expensive show ndani ya Mwanza leo.
Basi watu wote ndani ya Mwanza wamejawa na furaha.
Kama una ndugu au jamaa yupo Mwanza mpigie simu atakupa majibu ya balaa la Diamond ni mji umesimama.
Nimefuatilia Ziara zao hao Act Wazalendo hawana sapoti kabisa. Hata vijiwe vyote muhimu hapa Mwanza wanamponda na kumuona kibaraka wa mafisadi aliyajaa unafiki. Watu wa kanda ya ziwa hawamtaki Zitto kabisa.
Angalia hata ziara zao hazina mvuto Zitto anapoteza Muda kabisa.
👇
Mbunge wa Geita Vijijini Mh. Musukuma amehojiwa na chombo cha habari na kueleza kwamba wavuvi wa Ziwa Victoria waliombwa rushwa na Luhaga Mpina, wakati akiwa Waziri wa Uvuvi, walipomnyima, basi alivunjavunja mitumbwi yao na kuchoma nyavu zao.
Baadhi wanakiri kumpa rushwa Luhaga Mpina. TAKUKURU...
Kasalali Mageni amesema anaamini Tume iliyokwenda Mto Mara inahitaji kuchunguzwa, akisisitiza "Hata kwa Wasomi wa Nchi hii inatuleta walakini kuhusu Utaalamu wetu, Elimu yetu na viwango vyake"
Mbunge huyo wa Sumve amesema "Idadi ya watu wanaougua Saratani Kanda ya Ziwa ni wengi sana. Tunahitaji...
NImepitia nyuzi zote 23 na comment zaidi ya 3,600 naomba niseme ndugu zangu wa Kanda ya Ziwa ndoto ya kutoa Rais imekufa, hivyo tuendelee kumuunga mkono mama.
2) Kama mama ameeleweka vema lengo lake ni kurejesha chama kwenye mikono salama ya watu wenye weledi, hivo kuna anaweza hoji uwezo wa...
MBOWE ANAZUNGUMZA MAAZIMIO YA CHADEMA, ASEMA ALICHOZUNGUMZA NA RAIS SAMIA
Sehemu ya nukuu za Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa Machi 18, 2022:
"Leo nazungumza na vyombo vya habari kwa mara ya kwanza baada ya miezi saba na nusu ya kuwa...
Tuzo ya Mwanamke Kinara Kanda ya Ziwa
Kutoka kwa Waandishi wetu Mwanza;
Leo ni siku nyingine tena ambayo ni msimu wa pili wa tuzo hizi kubwa kanda ya ziwa ambapo tutashuhudia Tuzo zikitolewa kutambua michango mbalimbali ya wanawake Vinara Kanda ya Ziwa, waliogusa jamii kwa namna mbalimbali...
===
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amemuagiza Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba kuwasimamisha kazi Maafisa saba wa Ofisi za Madini za Mikoa mbalimbali ya Kanda ya Ziwa kutokana na kutokuwa waaminifu katika shughuli zao za usimamizi wa Sekta ya Madini katika...
Kuweni waangalifu. Kuna uchunguzi unaendelea lakini sijui kwanini serikali haiweki wazi hili
Dar es Salaam. Chemical substances emanating from mining sites, consumption of local brews, population growth and fishing in the Lake Zone regions, have been identified by scientists as key risk...
Kiukweli Rais Samia mpaka sasa tangu aingie madarakani ameenda Mwanza zaidi ya mara tano.
Sasa sisi wa Kusini tunauliza ni lini tutapokea baraka za kutembelewa na Rais? Au ule Moshi wa Ruangwa kipindi kileee ndio unamtia hofu?
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesisitiza umuhimu Tafiti kujikita zaidi katika kubaini kwanini Kanda ya Ziwa inaongoza kwa Waathirika wa Saratani, ikielezwa Wanawake ni wahanga wakubwa wakikumbwa na Saratani za Kizazi na Matiti
Ameeleza hayo leo Novemba 18, 2021 Mkoani Mwanza wakati...
Tumeambiwa Chato itatangazwa kuwa mkoa ili kumuenzi Magufuli Mara tu vigezo vitakapokamilika.
Lkn hebu tujiulize , rais Magufuli anaenziwa kwa maana halisi ya kuenziwa?
1. Banda la kaburi lake limerekebishwa na kujengwa vizuri baada ya watu kupiga kelele ktk mitandao. Huku ndiyo kumuenzi?
2...
Wana Jf
Baada ya kusikiliza video inayotrend kwenye mitandao mbalimbali ikionyesha umahiri wa benk ya NMB kuwa mkombozi kwa wanyonge kufuatia benk hiyo iliyovyojipambanua kwa kugusa kila seksheni ili kuwapata walengwa sahihi,kuanzia mdogo hadi mkulima mkubwa.
Benki hii inaweza kuzua vichekesho...
Amani kwako.
Tayari tumeanza kuliona jua la alfajiri kama bado umelala sikiliza sauti za ndege bila kuamka utafaham kuwa jua linachomoza
Twende kwenye mada; ndugu zangu Watanzania hasa wa kanda ya ziwa mmesikia sauti zinaanza kusikika na si kwa bahati mbaya ni ishara kuelekea 2025.
Kanda ya...
Nasema hivo baada ya majuzi hapa kuona Serikali imeeanza ujenzi wa DODOMA TECHNICAL COLLEGE wakati Mwanza kuna tawi la chuo cha DIT ambalo linahitaji kupanuliwa na kuwa chuo kamili MWANZA TECHNICAL COLLEGE
Eneo la Kanda ya Ziwa ndo linalotoa wanafunzi wengi sana kwenye TECHNICAL College...
Watu wa kanda ya ziwa ni wengi sana nchini na ndiyo maana kila mgombea urais huwa anakimbilia huko kuomba akubalike. Watu wa kanda ya ziwa wanakadiliwa kufikia million 32 kwa mjibu wa sensa ya 2002.
2. Kanda ya ziwa imetawaliwa na kabila la Wasukuma ambao wamejaa mikoa ya Simiyu, Shinyanga...
Habari zenu mabibi na mabwana.
Naombeni mnisaidie ni wapi pale Mwanza nitapata mtumba grade A, na nitatambua vipi ni grade A na bei zake kwa shati, tisheti na suruali?
Natanguliza shukrani.
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri kwa sauti ya Iron Lady SSH,kiboko ya wanasiasa uchwara.
Moja kwa moja kwenye mada,kuna msemo unasomeka kwamba starehe ya maskini ni ngono,bila shaka unasadifu kwa kasi ya kuzaana inayoendelea kwa mikoa yote ya Kanda ya Ziwa.
Kwa wastani uzazi huko kwenye hiyo...
Mbunge Musukuma sisi wakazi wa kanda ya ziwa hatukukutuma na hatujawahi kukuchagua kuwa msemaji wetu kwa jambo lolote.
Sisi wazee na watu wa kanda ya ziwa hatukukutuma kusema hayo unayoita mapigo ya kumjibu Antony Diallo na kama ulikuwa na nia ya kujibu mapigo ungemjibu kwa utashi wako au kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.