Kwanini watu wa kanda ya kati na Kanda ziwa Wanamake head lines Kwa matukio ya kipumbavu

kaligopelelo

JF-Expert Member
Jun 20, 2013
2,764
3,940
1. Hapo miaka ya mwanzoni mwa miaka ya 2000 matukio ya vifo vya albino
2. Mauaji holela ya watu huko tarime mara
3. Mauaji ya vikongwe wenye macho mekundu Kwa kisingizio eti ni wachawi shinyanga na mikoa jirani
4. Ukatili wa kijinsia huko,tazama kielelezo hapo chini.

Screenshot_20220601-193809.png
5. Matukio ya ujambazi
6. Imani potofu na kuwageuza watu misukule ( Mfalme Zumaridi na mazombi wake)

Hayo ni machache kati ya Yale mengi yanayofanyika huko. Nadhani ni wakati Sasa wa jamii kuanza kuwasemanga na kuwakosoa hadharani.

Ni miongoni mwa watu wanaotuaibisha Tanzania kimataifa kutokana na tabia zao zisizoonesha ustaarabu na kustaarabika kijamii,kimaadili na kimaono.

IMG-20220601-WA0002.jpg
 
Jamii forum kuna haja ya kuwa na Jukwaa la Ubaguzi watu kama hawa wawe wanacomment na kupost mambo yao ya ukabila ,udini na Ukanda mfurahie huko .
 
Matukio uliyoyaorodhesha yametokea Kanda ya Ziwa sio Kanda ya Kati. Au hujui Mikoa ya Kanda ya Kati na Ziwa ni ipi?

Ndoroooobooo wewe!!!
Rudi usome kipengele namba 4 hizo chuki zisizo na faida na ndio maana mnauana hovyo
 
Watu wa huko musoma wanapenda Shari sana wale watu,halafu dharau hawapendi utasikia tu usinichezee mimi sichezewi
 
Nawapenda kanda ya ziwa,hawana utani kwa kila kitu

watu wangu wa nguvu,wakimaanisha wanamaanisha kweli,hakuna kama nyie
 
Kabisa kanda ya ziwa hapafai

1.Kuokota maiti kwenye viroba kanda ya ziwa

2. Gaidi hamza kuua askari polisi kanda ya ziwa

3.Ulimboka kutekwa kanda ya ziwa

4.Akwilina kupigwa risasi kanda ya ziwa

5.Mume kumchoma mkwe ka magunia mawili ya mkaa kanda ya ziwa

6. hausigel kunyonga mtoto kanda ya ziwa

7. ben sanane kapotelea kanda ya ziwa

Aiseee kanda ya ziwa inaupiga mwingi

#Kunya anye kuku akinya bata kaharisha
 
Matukio hayo uliyoyataja hayafikii au hayatishi kutokea huko kanda ya ziwa…Unakumbuka mauaji ya watu 17 ya familia moja huko musoma? Niambie ni mkoa gani hapa Tanzania yashafanyika jambo kama hilo ni huko huko kwenu
 
Kuna matukio kama Yale yanayotekelezwa na watu wasiofahamika hatuwezi kuyaweka kwenye list hii kwasababu umesahau kifo Cha kamanda Mawazo,shambulio la Tundu Lisu na kutekwa Kwa Mdude Nyagali.

Matukio ya utekaji na kukutwa maiti kwenye viroba yalitokea nchini kote na ilisemekana Yana uhusiano na mambo ya kisiasa.
 
Matukio hayo uliyoyataja hayafikii au hayatishi kutokea huko kanda ya ziwa…Unakumbuka mauaji ya watu 17 ya familia moja huko musoma? Niambie ni mkoa gani hapa Tanzania yashafanyika jambo kama hilo ni huko huko kwenu
Kwao ni Japan au TZ? Fwalest kabisa wewe...
 
Back
Top Bottom