kanda ya ziwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU mko wapi? Mbunge Musukuma asema wavuvi Kanda ya Ziwa walioombwa rushwa na Luhaga Mpina wako tayari kutoa ushahidi

    Mbunge wa Geita Vijijini Mh. Musukuma amehojiwa na chombo cha habari na kueleza kwamba wavuvi wa Ziwa Victoria waliombwa rushwa na Luhaga Mpina, wakati akiwa Waziri wa Uvuvi, walipomnyima, basi alivunjavunja mitumbwi yao na kuchoma nyavu zao. Baadhi wanakiri kumpa rushwa Luhaga Mpina. TAKUKURU...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kasalali Mageni: Nchi hii haiwezi kula Ripoti ya kupikwa. Tume iliyokwenda Mto Mara ichunguwe

    Kasalali Mageni amesema anaamini Tume iliyokwenda Mto Mara inahitaji kuchunguzwa, akisisitiza "Hata kwa Wasomi wa Nchi hii inatuleta walakini kuhusu Utaalamu wetu, Elimu yetu na viwango vyake" Mbunge huyo wa Sumve amesema "Idadi ya watu wanaougua Saratani Kanda ya Ziwa ni wengi sana. Tunahitaji...
  3. britanicca

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa Kanda ya ziwa Rais ni Mama Samia tujue hilo

    NImepitia nyuzi zote 23 na comment zaidi ya 3,600 naomba niseme ndugu zangu wa Kanda ya Ziwa ndoto ya kutoa Rais imekufa, hivyo tuendelee kumuunga mkono mama. 2) Kama mama ameeleweka vema lengo lake ni kurejesha chama kwenye mikono salama ya watu wenye weledi, hivo kuna anaweza hoji uwezo wa...
  4. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Nimetoka Gerezani kwa moyo mweupe. Katiba ni ajenda yetu, Sisi sio magaidi

    MBOWE ANAZUNGUMZA MAAZIMIO YA CHADEMA, ASEMA ALICHOZUNGUMZA NA RAIS SAMIA Sehemu ya nukuu za Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa Machi 18, 2022: "Leo nazungumza na vyombo vya habari kwa mara ya kwanza baada ya miezi saba na nusu ya kuwa...
  5. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Tuzo za Mwanamke Kinara kanda ya ziwa

    Tuzo ya Mwanamke Kinara Kanda ya Ziwa Kutoka kwa Waandishi wetu Mwanza; Leo ni siku nyingine tena ambayo ni msimu wa pili wa tuzo hizi kubwa kanda ya ziwa ambapo tutashuhudia Tuzo zikitolewa kutambua michango mbalimbali ya wanawake Vinara Kanda ya Ziwa, waliogusa jamii kwa namna mbalimbali...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Dotto Biteko asimamisha wafanyakazi saba ofisi ya madini kanda ya ziwa

    === Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amemuagiza Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba kuwasimamisha kazi Maafisa saba wa Ofisi za Madini za Mikoa mbalimbali ya Kanda ya Ziwa kutokana na kutokuwa waaminifu katika shughuli zao za usimamizi wa Sekta ya Madini katika...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kuna Tatizo kubwa la Cancer kanda ya ziwa Victoria

    Kuweni waangalifu. Kuna uchunguzi unaendelea lakini sijui kwanini serikali haiweki wazi hili Dar es Salaam. Chemical substances emanating from mining sites, consumption of local brews, population growth and fishing in the Lake Zone regions, have been identified by scientists as key risk...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ziara za Rais Kanda ya Ziwa zimekuwa too much

    Kiukweli Rais Samia mpaka sasa tangu aingie madarakani ameenda Mwanza zaidi ya mara tano. Sasa sisi wa Kusini tunauliza ni lini tutapokea baraka za kutembelewa na Rais? Au ule Moshi wa Ruangwa kipindi kileee ndio unamtia hofu?
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Rais Samia asisitiza Tafiti kubaini chanzo cha Saratani Kanda ya Ziwa

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesisitiza umuhimu Tafiti kujikita zaidi katika kubaini kwanini Kanda ya Ziwa inaongoza kwa Waathirika wa Saratani, ikielezwa Wanawake ni wahanga wakubwa wakikumbwa na Saratani za Kizazi na Matiti Ameeleza hayo leo Novemba 18, 2021 Mkoani Mwanza wakati...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli anaenziwa ama ni mbinu ya kuwarubuni watu kanda ya ziwa?

    Tumeambiwa Chato itatangazwa kuwa mkoa ili kumuenzi Magufuli Mara tu vigezo vitakapokamilika. Lkn hebu tujiulize , rais Magufuli anaenziwa kwa maana halisi ya kuenziwa? 1. Banda la kaburi lake limerekebishwa na kujengwa vizuri baada ya watu kupiga kelele ktk mitandao. Huku ndiyo kumuenzi? 2...
  11. mgt software

    JamiiForums Tanzania Pesa Zilizotolewa na NMB zitavyoshindwa Kuwafikia walengwa Kanda ya Ziwa, masharti magumu bado pia kikwazo kikuu

    Wana Jf Baada ya kusikiliza video inayotrend kwenye mitandao mbalimbali ikionyesha umahiri wa benk ya NMB kuwa mkombozi kwa wanyonge kufuatia benk hiyo iliyovyojipambanua kwa kugusa kila seksheni ili kuwapata walengwa sahihi,kuanzia mdogo hadi mkulima mkubwa. Benki hii inaweza kuzua vichekesho...
  12. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kuelekea 2025: Kanda ya Ziwa Msibemendwe kwa hila

    Amani kwako. Tayari tumeanza kuliona jua la alfajiri kama bado umelala sikiliza sauti za ndege bila kuamka utafaham kuwa jua linachomoza Twende kwenye mada; ndugu zangu Watanzania hasa wa kanda ya ziwa mmesikia sauti zinaanza kusikika na si kwa bahati mbaya ni ishara kuelekea 2025. Kanda ya...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali haijengi Techinical College Kanda ya Ziwa badala yake wanarundika vyuo vyote Dodoma?

    Nasema hivo baada ya majuzi hapa kuona Serikali imeeanza ujenzi wa DODOMA TECHNICAL COLLEGE wakati Mwanza kuna tawi la chuo cha DIT ambalo linahitaji kupanuliwa na kuwa chuo kamili MWANZA TECHNICAL COLLEGE Eneo la Kanda ya Ziwa ndo linalotoa wanafunzi wengi sana kwenye TECHNICAL College...
  14. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Baada ya kukaa kanda ya ziwa kwa miaka 5, nimejifunza yafuatayo

    Watu wa kanda ya ziwa ni wengi sana nchini na ndiyo maana kila mgombea urais huwa anakimbilia huko kuomba akubalike. Watu wa kanda ya ziwa wanakadiliwa kufikia million 32 kwa mjibu wa sensa ya 2002. 2. Kanda ya ziwa imetawaliwa na kabila la Wasukuma ambao wamejaa mikoa ya Simiyu, Shinyanga...
  15. Labile

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa mitumba Kanda ya ziwa pita hapa

    Habari zenu mabibi na mabwana. Naombeni mnisaidie ni wapi pale Mwanza nitapata mtumba grade A, na nitatambua vipi ni grade A na bei zake kwa shati, tisheti na suruali? Natanguliza shukrani.
  16. Opportunity Cost

    JamiiForums Tanzania Kwa kasi hii ya kuzaliana kwa watu, Umasikini utazidi kukita mizizi Kanda ya Ziwa

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri kwa sauti ya Iron Lady SSH,kiboko ya wanasiasa uchwara. Moja kwa moja kwenye mada,kuna msemo unasomeka kwamba starehe ya maskini ni ngono,bila shaka unasadifu kwa kasi ya kuzaana inayoendelea kwa mikoa yote ya Kanda ya Ziwa. Kwa wastani uzazi huko kwenye hiyo...
  17. Kanamusi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Musukuma acha kiherehere cha kutusemea watu wa Kanda ya Ziwa

    Mbunge Musukuma sisi wakazi wa kanda ya ziwa hatukukutuma na hatujawahi kukuchagua kuwa msemaji wetu kwa jambo lolote. Sisi wazee na watu wa kanda ya ziwa hatukukutuma kusema hayo unayoita mapigo ya kumjibu Antony Diallo na kama ulikuwa na nia ya kujibu mapigo ungemjibu kwa utashi wako au kwa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Kanda ya Ziwa, Kilimanjaro kumeathirika zaidi na Corona

    Kwa mujibu wa Dkt. Gwajima, huku kumeathirika zaidi: “Maeneo ya kanda ya ziwa pamoja na Kilimanjaro yameathirika kwa kiasi kikubwa na ugonjwa huo, na ilihitajika mitungi ya ziada kutokana na eneo la kanda ya ziwa kuathirika zaidi na ugonjwa huo,” alisema Gwajima." Mwenye masikio na asikie...
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Utafiti niliofanya hapa kanda ya ziwa unaonyesha wakati wengi wa hapa hawataki daraja la Kigongo-Busisi liitwe daraja la Magufuli,wataka majina asilia

    Nimepita maeneo haya na kufanya mahojiano na wakazi kadhaa wa hapa, wanasema wangependa jina asilia la maeneo hayo ndio liwe jina la daraja ili kulinda uasili. Wanapendekeza daraja liitwe KIGONGO BUSISI
  20. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Gavana Luoga akitoa takwimu za mchango wa kanda ya ziwa kwenye uchumi wa Tanzania

    Gavana Luoga ametoa takwimu za mchango wa kanda ya Ziwa kwenye uchaguzi wa Tanzania. Mwaka 2019, kanda ya ziwa ilichangia Trilioni 34 kwenye uchumi wa Tanzania sawa na 25.9% ya pato la Taifa. Kanda ya ziwa inazalisha zaidi ya 90% ya dhahabu Tanzania. Kanda ya ziwa inazalisha zaidi ya 50% ya...
Back
Top Bottom