Kiwango kikubwa cha Kansa kanda ya Ziwa kiangaliwe

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
5,717
6,999
Nilishutushwa niliposikia hospital kubwa ya cancer Marekani MD Anderson ambayo ipo Houston Texas inafanya uchunguzi ni kwanini kuna mpasuko mkubwa wa cancer hasa za Tumbo kanda ya ziwa hasa mkoa wa Mara na majirani.

Cha kushangaza ni miaka zaidi ya mitano na sijaona jitihada zozote za serikali kwenye swala hili. Hata ripoti badala ya kuwekwa wazi zimekuwa siri. Kinachotokea ni watu kuendelea kufa kwa wingi. Hata kama hauko asilimia 100% serikali itoe matokeo wazi ya chunguzi tofauti za hili .

Je tatizo ni maji na mazingira ya madini?
Je tatizo ni samaki na ziwa viktoria?
Je tatizo ni hali ya hewa?

Naomba hili lifuatiliwe. Tatizo la waandishi wetu hawafanyi utafiti badala yake wanasubiri ushabiki pekee. Jamani hili swala ni serious sana sana

Zitto

Zitto fuatilia maana Kigoma ni mazingira hayo hayo. Fanya chunguzi hili ni swala legit sana

Hii ni ya 2020

The Lake Victoria zone presented a unique pattern of cancer, with cancer of the liver accounting for the largest proportion (13.7%) of deaths and lymphoma being among the top 5 cancers. Most of the deaths due to Kaposi sarcomas were reported in the southern highlands (14.8%) and southwest (12.8%) zones (Fig

2021
FOR some years now there have been some claims or rather some arguments that associate high cancer prevalence rate in Lake Zone with some chemical substances emanating from mining activities.

In fact, some health service providers have gone an extra mile by giving rough figures on the prevalence of the problem, saying a staggering 40 per cent of cancer patients in Tanzania come from the Lake Victoria Zone regions.

But, latest information from Bugando Medical Centre shows about 60 per cent of cancer patients who are transferred to Ocean Road Cancer Institute in Dar es Salaam are from Lake Zone.
 
Mike_

Senior Member
Jan 9, 2021
178
220

Bob sometimes huwa nawaza watu weusi kwa nini n ss n wa mateso.

Reason kubwa ya cancer katika hiyo mikoa n uwepo wa migodi,
migodi mingi hasa hii midogo midogo inayomilikiwa na wazawa watu wanatumia sana Mercury katika kuextract dhahabu, na bahati mbaya hii kitu inakwenda mpaka kwenye vyanzo vya maji

Mercury ina tendency ya kuwa biomagnified alongside food chain
yani hata samaki wa majini akiwa poisoned na Mercury mtu akimla yule samaki atakua poisoned vile vile.
Migodi imekua balaa badala ya baraka.

Mungu atusaidie.
 
TXGA

Senior Member
Apr 16, 2021
173
264
Nilishutushwa niliposikia hospital kubwa ya cancer Marekani MD Anderson ambayo ipo Houston Texas inafanya uchunguzi ni kwanini kuna mpasuko mkubwa wa cancer hasa za Tumbo kanda ya ziwa hasa mkoa wa Mara na majirani.

Cha kushangaza ni miaka zaidi ya mitano na sijaona jitihada zozote za serikali kwenye swala hili. Hata ripoti badala ya kuwekwa wazi zimekuwa siri. Kinachotokea ni watu kuendelea kufa kwa wingi. Hata kama hauko asilimia 100% serikali itoe matokeo wazi ya chunguzi tofauti za hili .

Je tatizo ni maji na mazingira ya madini?
Je tatizo ni samaki na ziwa viktoria?
Je tatizo ni hali ya hewa?

Naomba hili lifuatiliwe. Tatizo la waandishi wetu hawafanyi utafiti badala yake wanasubiri ushabiki pekee. Jamani hili swala ni serious sana sana

Zitto

Zitto fuatilia maana Kigoma ni mazingira hayo hayo. Fanya chunguzi hili ni swala legit sana

Hii ni ya 2020

The Lake Victoria zone presented a unique pattern of cancer, with cancer of the liver accounting for the largest proportion (13.7%) of deaths and lymphoma being among the top 5 cancers. Most of the deaths due to Kaposi sarcomas were reported in the southern highlands (14.8%) and southwest (12.8%) zones (Fig

2021
FOR some years now there have been some claims or rather some arguments that associate high cancer prevalence rate in Lake Zone with some chemical substances emanating from mining activities.

In fact, some health service providers have gone an extra mile by giving rough figures on the prevalence of the problem, saying a staggering 40 per cent of cancer patients in Tanzania come from the Lake Victoria Zone regions.

But, latest information from Bugando Medical Centre shows about 60 per cent of cancer patients who are transferred to Ocean Road Cancer Institute in Dar es Salaam are from Lake Zone.
kushika mercury na mikono bila vifaa kinga wakati wa kuchenjua dhahabu kwenye migodi midogo bila kuvaa vifaa kinga ....
 
Amigoh

JF-Expert Member
May 15, 2016
1,713
2,386

Formalin

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
UmkhontoweSizwe

Platinum Member
Dec 19, 2008
7,002
5,516
Sababu ni ulaji wa nyama kwa wingi.mikoa ulio taja ni walaji wa nyama san
Reasoning yako ni ya kupuuzi sana (nilitaka kusema ya kijinga lakini nimekuheshimu), kwa sababu kama issue ni kula nyama kwa wingi, hawa watu wameanza kula nyama toka dunia ilipoumbwa kwa hiyo wangeshakufa wote kwa kansa. Lakini pia wamasai wanakula nyama zaidi kuliko wamara, kwa hiyo wamasai pia wangeshakufa wote!
 
Nime fanya utafiti wa kutosha serikali haswa OSHA wafike kwenye migodi ya wachimbaji wadogo watoto wetu wanaangamia kwakushika zebaki with bare hands wakati wa kuchenjua dhahabu iko migodi ya wachimbaji wadogo zaidi ya mia tano kanda ya ziwa wote hawatumii gloves no safety measure hakuna elima inayotolewa kwa madhara ya zebaki na sodium cyanide , wabunge wanachi wanaangamia pazeni sauti bungeni serikali ichukue hatua za haraka ......
 
Mwanamaji

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
2,748
3,985

Kwa kuongezea hapo pia watu wa mazingira NEMC watilie mkazo namna bora ya kuzuia utiririshaji wa "mabaki" ya Mercury na Sodium Cyanide katika vyanzo vya maji.
 
Sep 20, 2022
34
51
Reasoning yako ni ya kupuuzi sana (nilitaka kusema ya kijinga lakini nimekuheshimu), kwa sababu kama issue ni kula nyama kwa wingi, hawa watu wameanza kula nyama toka dunia ilipoumbwa kwa hiyo wangeshakufa wote kwa kansa. Lakini pia wamasai wanakula nyama zaidi kuliko wamara, kwa hiyo wamasai pia wangeshakufa wote!
Kwa sasa hauwezi kunielewa ila ipo siku utanielewa.hivi haujawahi kujiuliza kwamba ktk uumbaji ni kwanini Mungu hakumpa mwanadamu na mnyama chakula cha nyama? Ebu kaa utafakali kwanza hili swara
 
Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
13,087
22,087
Juzi tu hapa kuna sumu ilipatikana katika maji ya mto samaki wengi walikufa. Haya maji yalienda wapi kama sio ziwani humo yale maji kuna watu wanatumia samaki wanayameza na hayo masumu yake na watu wanakula hizo samaki plus mifugo inakunywa pia.

Tunacheka sana na hawa wahuni serikalini wanaotetea hizi kampuni za matapeli ambazo zinavunja sheria kwa kukiuka masharti wanayowekewa na mamlaka za mazingira.

Ile issue ya mto kutiririsha sumu halafu kamati ya wizi wizi kusema ni mikojo na vinyesi vya mifugo ndizo vilisababisha iliishia wapi?!

Ukicheka na mafisadi na maharamia hasara ndio kama hizi maana hawa mashetani huwa hawajali hata kidogo.
 
Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
13,087
22,087
Nime fanya utafiti wa kutosha serikali haswa OSHA wafike kwenye migodi ya wachimbaji wadogo watoto wetu wanaangamia kwakushika zebaki with bare hands wakati wa kuchenjua dhahabu iko migodi ya wachimbaji wadogo zaidi ya mia tano kanda ya ziwa wote hawatumii gloves no safety measure hakuna elima inayotolewa kwa madhara ya zebaki na sodium cyanide , wabunge wanachi wanaangamia pazeni sauti bungeni serikali ichukue hatua za haraka ......
Ndio maana serikali huwa inapiga marufuku wachimbaji wadogo.
 
Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
13,087
22,087
Kwa sasa hauwezi kunielewa ila ipo siku utanielewa.hivi haujawahi kujiuliza kwamba ktk uumbaji ni kwanini Mungu hakumpa mwanadamu na mnyama chakula cha nyama? Ebu kaa utafakali kwanza hili swara
Hivi wewe unajua faida za nyama mwilini kwa mwanadamu?!
 
7 Reactions
Reply
Top Bottom