Nauza samaki kutoka Ziwa Victoria

THE SHADOW ONE

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,176
1,863
Kwa wateja walio na mabucha mikoani na wenye supermarket ninauza samaki aina ya sato na sangara kutoka ziwa Victoria kuanzia kg. 100 nakuendelea ninakutumia popote ulipo usafiri juu yangu.

Sato kg. 1 @ tsh. 8000
Sangara kg. 1 @ tsh. 7000

Lakini pia napokea order kwa samaki aina ya kamongo na kambale.

Bei ya Kamongo na Kambale ni makubaliano.
 
Nauza samaki aina ya Sato na Sangara kutoka Ziwa Victoria kuanzia kg. 100 nakuendelea kwa wateja wa mikoani ninatuma kwa gharama zangu.

Sato kg1 @ tsh. 8000
Sangara kg1@tsh.7000


Kwa wateja wanaochukua kiasi kingi bei inapungua.

Pia ninachukua order za Kamongo na Kambale.

Kwa wateja wanaohitaji mzigo wasini-pm biashara ni Uaminifu tafadhali.

Karibu utoe order yako tafadhali. Mzigo unatoka Musoma popote unakufikia.

"Samaki safi saana,bei ni chee."
 
Una maana gani kusema kwamba, "Kwa wateja wanaohitaji mzigo wasiku-pm". Watakupata vipi sasa? Unataka mtu amwage order yake hapa hapa, siyo? 😁
 
Samaki bei jumla kutoka ziwa Victoria Musoma :

Sato 1kg @ tsh 7300
Sangara 1kg @ tsh 7000

Tunatuma mikoa ya Arusha , Kimanjaro , Dodoma , Dar.

Toa order sasa tukuhudumie!!!

NB: Pm kwa wateja wanaotoa order tu kwa Dar tuna ofisi pia.

Karibuni saaana tukuhudumie...!!! 🐟🐟🐟
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom