kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Eti samaki samaki za Dar ni kampuni moja na ya ile ya Morogoro

    Nyie wazururaji nijuzeni Mimi nilikuwa sijui mmiliki wa samaki samaki anaitwa nani na Kuna mtu kaniambia ndo mwenye wavuvi camp..swali langu fupi ni je mwenye hizohizo samaki samaki za dar masaki na mlimani city ndo huyohuyo anamiliki ile ya morogoro.
  2. dorge

    JamiiForums Tanzania Kampuni za mikopo online zimerejea kwa kasi kubwa

    Hawa watu benki kuu iliwaondoa Cha ajabu wamerejea kwa Kasi sana.
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo afanya mazungumzo na Uongozi wa Kampuni ya Viettel

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amefanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Viettel, ambayo ni kampuni tanzu ya Kampuni ya Mawasiliano ya Haotel Tanzania Kanali Dao Xuan Vu, katika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Hanoi, Vietnam...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tulishawaonyeni sana hapa JamiiForums kuwa hawa 'QNET' ni 'Matapeli' hamkusikia sasa ngojeni 'Wawanyoosheni' ili mkome

    WAATHIRIKA WA AJIRA ZA QNET WAANZA KUREJESHWA MAKWAO: Waathirika wa utapeli unaofanywa kupitia Kampuni ya Biashara ya Mtandao Q Net katika eneo la Mbezi Dar es Salaam wameanza kurejeshwa makwao kupitia operesheni maalumu inayofanywa na ofisi za wenyeviti a serikali za mitaa ikihusisha kuondolewa...
  5. Mtunza siri zako

    JamiiForums Tanzania Tujiburudishe na vichekesho: Mpe ex wako jina la bidhaa, kampuni, mnyama au eneo!

    Huu uzi haumlengi mtu yoyote na ni kwa ajili ya sanaa ya vichekesho na ubunifu. Naanza: Audiomack - kwa sababu huwa ananiimbia uongo on repeat. Cocacola - alikua amejaa gesi, hana ladha na ni hatari kwa afya yangu. Nike - kila muda alikua anataka we “just do it”. Kunguru - alikua mweusi...
  6. Mindyou

    JamiiForums Tanzania CAG asema amebaini TANROADS wameilipa kampuni ya Kichina malipo ya ziada ya Tshs Milioni 586.43

    Wakuu, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), amesema amebaini Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) alimlipa mkandarasi malipo ya ziada kwa wakandarasi ya Sh.milioni 586.43. Amesema katika ukaguzi wake alibaini Agosti mosi mwaka 2023, TANROADS ilimlipa Kampuni ya M/S China...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Hizi ni Phase 3 ambazo kampuni inabidi Ipitie Ili Ikamilike

    Watu wengi hudhani kwamba ukishapewa Certificate of Incorporation basi Kampuni yako imekamilika. Vipi kama nikikwambia pamoja na kua na hio certificate of Incorporation Bado unakua huruhusiwi kufanya biashara? Ndio, ili iruhusiwe kufanya biashara, Kampuni yako inabidi Ipitie hatua hizi Tatu...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kampuni gani iliyopewa tenda ya vifaa vya uchaguzi ikiwemo tenda ya kuchapisha karatasi za kupiga kura?

    Ikiwa imebaki miezi mitano tu mpaka uchaguzi ufanyike bila shaka maandalizi kabambe yatakuwa yameshaanza, Je ni kampuni gani walipewa tenda ya vifaa vya uchaguzi ikiwemo karatasi za kupiga kura?
  9. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya kampuni za mawasiliano acheni masihara, fungeni cable zenye uwezo wa kurusha 5G, na sio 5G ya maneno matupu wakati vipimo vinaonesha 3G

    Baadhi ya kampuni za mawasiliano acheni masihara, fungeni cable zenye uwezo wa kurusha 5G, na sio 5G ya maneno matupu wakati vipimo vinaonesha 3G Dunia ya leo sio ya kudanganya watu kwasababu kuna vipimo vya kila aina vya kupima kasi na aina ya Band hivyobasi ni ngumu kudanganya vitu vinavyofaa...
  10. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Tajiri namba 2 Duniani, Jeff Bezos kuja na Kampuni ya Magari Slate Auto: Wataanza na EV Truck ya $25,000 tu!

    Mmiliki wa Amazon nae sasa kuja na Kampuni yake ya Magari. Kwa kuanza, anakuja na 2 seater Pick-up truck itayouzwa kwa $25k tu. Hii ni bei ndogo kuliko Tesla yoyote iliowahi kuuzwa. Taarifa zaidi za gari kama battery, motor na power hazijawekwa wazi ila sio muda zitakua wazi. Ikumbukwe kwa...
  11. Poluyakhtov

    JamiiForums Tanzania Ushahidi kuhusu kampuni za mikopo mtandaoni

    Habari wana JF, Ngoja nisonge kwenye mada, kwa kipindi cha miezi ya hivi karibuni nilikumbwa na changamoto iliyohitaji fedha ya haraka. Basi katika pita pita zangu nikaangukia kwenye kampuni za mkopo mtandaoni ambazo ni PesaX pro na Zimacash. Nilikopa na kulipa kwa wakati. Baada ya hapo...
  12. Beberu Mwitu

    JamiiForums Tanzania Kuishitaki kampuni kwa kutokulipa mishahara na kuchangia NSSF

    Habari za muda huu wana JF, Bila kupoteza muda naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Mimi ni mhanga wa kutokulipwa mshahara kwa muda wa miezi 3 sasa na kampuni moja inayojihusisha na utoaji elimu msingi kwa lugha ya Kiingereza, yaani English Medium. Shule hizo ndio kama waanzilishi wa mfumo...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Asilimia 75 Ya Wafanyabiashara Wanatumia Njia Hizi Kupata Mitaji Ya Kampuni Zao

    Kusajili biashara ni suala moja, ku finance hio biashara ni suala lingine kabisa. Swali la muhimu hapa ni namna gani wafanya biashara hu finance biashara zao? Kwenye Thread hii nimekuorodheshea baadhi ya njia hizo; 1. Hisa Wafanyabiashara wanaofungus Kampuni LLC huuza hisa za Kampuni husika...
  14. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Kutoka kufuga kuku 200, Hadi Kua Kampuni Inayozalisha Zaidi ya Trey 100 Kwa Siku, Hii ndoli Siri

    🎥 Rubaba TV imepata nafasi ya kipekee kutembelea moja kati ya miradi ya mfano inayoendeshwa na Kampuni ya KOWNAS INVESTMENT LIMITED, ambayo historia yake imejengwa kwa juhudi, maarifa, na matumizi ya bidhaa bora za lishe kwa kuku. Mradi huu ulianza miaka michache iliyopita kwa idadi ndogo ya...
  15. kali linux

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji atakaenunua hisa kwenye kampuni yangu kwa makubaliano kwamba nitazinunua tena kutoka kwake baada ya miaka miwili

    Hello bosses and roses... Nina kampuni ambayo inajihusisha na Teknolojia ina mwaka wa pili sasa. Kuna project tunataka kuifanya lakini inahitaji kiwago kikubwa cha uwekezaji ambao unaweza disrupt cashflow ya kampuni endapo revenue ya sasa ikitumika kufanikisha hio project. Hivo natafuta...
  16. murutongore

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya clearing ya kununua

    Natafuta kampuni ya clearing ya kununua. Bajeti ni 15m
  17. KABAKA28

    JamiiForums Tanzania Hivi kampuni kongwe inayomilikiwa na Mtanzania (mweusi) ni ipi? Ina miaka mingapi?

    Naomba kujuzwa, kampuni gani kongwe inamilikiwa na mtanzania na ina miaka mingapi? Nini sababu za kampuni kudumu muda mrefu? Nini unapaswa kufanya kurefusha uhai wa kampuni yako? Nimeona Japan kuna makampuni yana miaka zaidi ya 500. Sisi kampuni kongwe lina miaka mingapi? Asanteni.
  18. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Natafuta mawasiliano ya kampuni ya KYOSK mkoa mwanza

    Habari za wakati huu wakuu. Mimi ni kijana ambaye nimeamua kitumia mtandao kutengeneza CONNECTION za biashara. Leo hii naomba kama kuna mwenye mawasiliano ya kampuni ya KYOSK mkoa mwanza anisaidie. Au kama kuna watu wa KYOSK wako humu naomba wanitafute nipate mawasiliano yao. Kwa wale...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mnamo tarehe 1-April-2004 kampuni ya google ili zindua barua pepe ya Gmail kutumika rasmi.

    Gmail ilianza kutumika rasmi tarehe 1 Aprili 2004 kama huduma ya majaribio (beta). Ilitolewa kwa watumiaji wachache kwa mwaliko kabla ya kufunguliwa kwa umma mnamo 7 Februari 2007.
  20. Fateema

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni mbili nataka kuanzisha kampuni ya production

    Fremu ninayo tayari. Ninacho hitaji ni Video Camera, Still pictures Camera na video camera. Kwa kiasi hicho cha pesa naweza kupata hivyo vifaa? Wajuvi nipeni muongozo na ushauri
Back
Top Bottom