kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Geita mkoa uliojaza maskini wengi na kukosa maendeleo lakini ndio wenye dhahabu nyingi na kampuni kubwa ya uchimbaji

    Kama umefika geita na viunga vyake utajionea umaskini uliopo kuanzia miundo mbinu na wananchi wenyewe. Katika mkoa wenye migodi mingi mikubwa ni geita. Shida ya serikali yetu ya CCm tokea kupata uhuru hakuna lolote walilowezesha labda wananchi wajiwezeshe wenyewe. Yani mkoa una rasilimali za...
  2. Eng Kimox Kimokole

    JamiiForums Tanzania Kushtaki Kampuni za Mikopo (Microfinance)

    Habari wanaJF? Nimekuwa nikipokea meseji (sms) nyingi sana za Vikampuni vya mikopo mara kwa mara. Yaani kwa siku unaweza kutuniwa msg tatu mpaka tano. Nimewasiliana na hizi Microfinance kwa namba zao zinazotumika kutuma sms wengine wanajibu tutakuondoa wengine wananyamaza kimya. Je! Kuna namna...
  3. Bunchari

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kampuni ya Kukodisha Helikopta Kenya Yakataa Kuwahudumia Chama cha Chaumma

    Kampuni moja ya kukodisha helikopta nchini Kenya imekataa kutoa huduma kwa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) Hata sisi tutapata vya kwetu,l😍😍😍
  4. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Nimewin milion 8 kampuni ya 1 win ila inagoma kutoka wakuu hii kampuni ni ya kitapeli au

    Naombeni msaada wenu wazee nimeshinda pesa 8m kampuni ya 1win naona inagoma kutoka aisee mods naombeni huu Uzi usihamishwe kokote nahitaji kupata msaada aisee
  5. Mkurya mweupe

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Kukopesha

    Wadau wa JF ,naomba mnisaidie ni hatua gani za kufata kuweza kusajili na kumiliki kampuni ya mikopo ,pia ni gharama kiasi gani zinahitajika mpaka kukamilisha kabisa usajili wake .....
  6. RUKUKU BOY

    JamiiForums Tanzania TV Gani ni nzuri asa hizi kampuni za kichina

    Wakuu naitaji TV 32inch, sahivi kuna kampuni nyingi sana za TV ,hasa hizi made in china. Je kampuni gani nzuri ya TV Kwa hizi made in china? Ushauri tafadhari
  7. W

    JamiiForums Tanzania Kampuni za uchimbaji wa madini ya makaa ya mawe ruvuma zajivunia kusaidia jamii

    Kampuni za uchimbaji wa madini ya makaa ya mawe katika Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma zimeendelea kusaidia jamii ambapo wananchi wanaoishi jirani na migodi wameendelea kunufaika na ajira huku migodi ikiendelea kuboresha huduma za jamii ikiwa ni pamoja na kuchangia ujenzi wa zahanati hali...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Kampuni mpya ya fibre internet mjini ni matapeli?

    Nimelipia ili kufungiwa huduma leo ni siku ya tatu hawajanipa huduma, nikiwapigia wanadai kuna tatizo, mbona hela mumechukua kwanza? Mjini hapa jihadharini na kampuni hizi afadhali sana ya zuku kuliko hawa wapya
  9. Rico redi

    JamiiForums Tanzania Kampuni nyingi wanawaunderate salespersons

    Baadhi ya makampuni yaliyopo nchini kitengo cha sales and marketing kuna namna kinachukuliwa poa kuliko vitengo vingine vyote, na kibaya zaidi unakuta salesman wana kazi kubwa kuliko vitengo vingine Imagine upo mkoa ambao sio mwenyeji na kazi yako ni kutembea kutafuta wateja kote unakozunguka...
  10. X

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani wanaihofia sana kampuni ya HUAWEI?

    Tangu 2012 Marekani imekuwa ikifanya juu chini kuiangusha HUAWEI bila mafanikio. Hivi karibuni HUAWEI ilizindua A.I chip ya hali ya juu iitwayo Ascend 910C ambayo imekuja kuichallenge ile ya NVIDIA. Kuna wasiwasi unaoongezeka kwa Marekani kwamba hivi karibuni China itakuwa ikiuza AI processors...
  11. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kampuni ya kufanyia IPT Kwa Dar es salaam

    Wakuu salam. Mimi ni mwanafunzi wa Electronics and Telecommunication Engineering DIT ,Naomba yeyote mwenye connection na kampuni inayojihusisha na mawasiliano ama Taasisi zenye idara ya mawasiliano ya kielectronic kama AIRPORT,VODA,TCRA nk anisaidie kupata nafasi ya kufanya mafunzo ya vitendo...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) yasema Meli ya New MV Victoria inaendelea na maboresho

    Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Uhusiano wa Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO), Anslem Namala amesema meli ya New MV Victoria inaendelea na maboresho na kwamba hivi karibuni wanatarajiwa kutoa tamko juu ya chombo hicho cha usafiri kurejea kwenye ratiba zake kama kawaida. Ameeleza kuwa tamko rasmi...
  13. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuianzisha kampuni Tanzania kwa uficho?

    Nimeona kwa wenzetu inawezekana. Vipi kwa huku kwetu? Labda unataka kufanya siri kwa lengo la kuepuka "umaarufu". Hutaki marafiki, ndugu zako, mkeo na watoto wako wajue mwanzoni, ingawa unaweza kuja kuwaambia huko mbeleni, labda ikiwa "imeshabreak even" Hufanyi hivyo kwa lengo la kukwepa...
  14. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Kwenu BRT, sababu ya kampuni yenu kushuka viwango ni tabia ya kupakia idadi kubwa ya abiria inayozidi nafasi za viti vya kukalia (seats)

    Kwenu BRT, sababu ya kampuni yenu kushuka viwango ni tabia ya kupakia idadi kubwa ya abiria inayozidi nafasi za viti vya kukalia (seats) Tafadhali BRT rejeleeni muongozo wa waundaji wa basi zenu. Muongozo unasema abiria waketi katika seats na sio kusimama, vile vile eneo la milango na korido...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Kampuni na Biashara (e-services)

    🔹 Tuwasiliane leo: 📲 WhatsApp: +255674916323 📞 Piga: +255674916323 🌐 Tembelea: Huduma Zetu: 🚀 USAJILI wa Kampuni, Jina la Biashara,Vikundi na NGOs - Kwa muda mfupi! ✅ Tax Clearance ✅ Leseni za Biashara 🔥 Company/NGOs Profile 🎨 Usajili wa Alama za Biashara na Huduma 🌐 Blog na Website, na...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mtu mwngine amepandikiziwa kifaa cha akili bandia kwenye ubongo kutoka kampuni ya Elon Musk imeleta faraja kubwa

    Los Angeles, Mei 7, 2025 – Mr. Smith ameweka historia kwa kuwa miongoni mwa watu wachache waliopokea upandikizaji wa kifaa cha Neuralink – teknolojia ya hali ya juu inayowezesha mawasiliano ya moja kwa moja kati ya ubongo na kompyuta. Operesheni hiyo ilifanyika kwa mafanikio katika kituo cha...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde atangaza kiama kwa kampuni 95 za uchimbaji madini

    SERIKALI imetoa Hati za Makosa kwa Kampuni 95 za Uchimbaji Mkubwa na wa Kati wa Madini kutokana na wamiliki wa leseni hizo kukiuka masharti ya Leseni kama yalivyoainishwa kwenye Sheria ya Madini. Akizungumza leo Mei 6, 2025 jijiini Dar es Salaam, Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mavunde: Tutazifutia leseni kampuni 95 za uchimbaji zilizoshindwa kuendeleza maeneo waliyopewa na Serikali

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, ametoa agizo kwa makampuni ya uchimbaji takribani 95 ambayo yamepewa leseni za uchimbaji lakini bado yanaendelea kusuasua kuaza uchimbaji. Akizungumzia suala hilo Mei 6, 2025 bila kutaja majina ya wawekezaji hao, Mavunde amesema kwamba wameainisha makampuni...
  19. KABAKA28

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya kusafirisha mizigo toka Japani kwenda Tanzania (Dsm).

    Nina ishi Japani Nataka kuleta baadhi ya mizigo Tanzania (haifiki kontena). Nahitaji kampuni itakayo nisafirishia na ku clear mizigo yangu bandarini. Kama kuna mtu mwenye kampuni yupo humu Au unaijua kampuni Naomba tuwasiliane. Kama kuna mwenye uzoefu pia naomba share nami. NB: Nahitaji...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kujua Taarifa za Kampuni Yoyote

    Inashauriwa ni vyema kufanya search na kupata taarifa za Kampuni kabla hujaingia nayo ubia au kufanya biashara. Lakini swali la msingi hua ni namna gani unaweza pata taarifa zote za muhimu za Kampuni? Linapokuja suala la search watu wengi hukimbilia online sites na ku search Kampuni husika, na...
Back
Top Bottom