kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Video Rais Ruto wakati wa kampeni akiahidi kutoa Ajira kwa vijana Vs Uhalisia kwa sasa

    Miongoni mwa masuala yaliyofanikisha kuchaguliwa kwa Rais William Ruto ni ahadi nyingi alizotowa kwa raia wa Kenya. Moja ya ahadi hizo ilikuwa ni ajira kwa vijana. Limekuwa tatizo kubwa nchini humo, lakini Rais Ruto anasema tatizo hili halijaanza na yeye. Source: TRT AFRIKA
  2. R

    Je ni kweli, kampeni za kimya kimya wafanyazo ccm zimetokana na operation ya NRNE?

    Hellow! Kwamba kwa kuwa bila CHADEMA kutokea uwanjani na kugomea mechi kuchezwa bila Reforms ,hapatokuwa na hamasa ya mchezo, hivyo maamuzi ni kufanya mambo kimya kimya? Kwamba kwa kuwa mpinzani Mkuu amegomea mechi isifanyike, wameamua kufanya hekaheka za kimya kimya? Kwamba zoezi la...
  3. L

    Uchapakazi wa Rais Samia walinasa na kuliteka kundi la Wasomi na Vijana Wa Vyuo Vikuu. Wapania kumpigia kampeni nyumba kwa nyumba

    Ndugu zangu Watanzania, Mambo yanazidi kunoga, mambo yanaendelea kuwa matamu, mambo yanaendelea kuwa motomoto. Rais Samia anaendelea kuteka mioyo ya watu, Rais Samia anaendelea kuchanja Mbuga mioyoni mwa watu, Rais Samia anaendelea kuteka na kukonga mioyo ya watu, Rais Samia anaendelea...
  4. Nauza Wazo la Kampeni Litakalokufanya Upendwe na Jimbo Lako Ndani ya Muda Mfupi!

    Najua wagombea wengi wa ubunge kwa sasa wanahaha kutafuta mbinu mpya za kuvutia wananchi na kupata upendo wa kweli katika majimbo yao. Usihangaike tena nina wazo la kipekee, la kisasa na la haraka litakalokuweka mbele ya wote! Unatafuta njia ya kugusa mioyo ya watu na kuwa gumzo kwenye jimbo...
  5. Mambo haya nadhani ni mpango mkakati kuelekea kampeni

    1. Boti ile kusafirishwa Kwa semi nadhani ilikuwa sehemu ya kampeni. 2. Kukamatwa Madawa ya kulevya na mtu kupewa biriyani ilikuwa ni kutafuta vya kujazia nyamamyama kwenye hotuba ya Leo ila tukio ni upishi na chai ya tatepa. 3. Ongezea.
  6. PreGE2025 Nimepewa wito nigombee Ubunge lakini nimeambiwa hamnahamna niandae 30M kwa kampeni. Nifanyeje?

    Ijumaa Kareem! Nchi IPO pazuri. Uchaguzi! Uchambuzi! Kuingia mjengoni nikagonge Meza. Jioni nipokee mkwanja. Sasa kuna mtu asiyejulikana au tumuite aliyesahaulika ingawaje heshima yake ingalimo. Juzi tulikuwa tunateta naye. Kanambia huu ni mwaka muhimu Kwangu kama ningependa uwe hivyo...
  7. Mbona ni kama Rais Samia kaanza kampeni tayari?kwa nini hachukuliwi hatua na mamlaka?

    Huyu mtu anayoyaongea kwenye mikutano yake ni kama vile tayari kaanza kampeni. Naomba achukuliwe hatua tafadhali.
  8. R

    Chama cha Wanasheria Tanganyika kimezindua Kampeni ya kutokomeza Mawakili Vishoka

    Chama cha Wanasheria Tanganyika(TLS) kimewataka wananchi kuwa makini na watu wanaotoa huduma za kisheria bila ya kuwa mawakili(maarufu kama vishoka) ili kujiepusha na madhara yanayoweza kujitokeza. Akizungumza kwa niaba ya Kamati ya Malipo ya Pamoja na Mapambano Dhidi ya Vishoka (anti vishoka)...
  9. Dar: Taasisi ya Child Eye & Vision Organization (CEVO) yafanya Kampeni ya Upimaji Macho

    Watu mbalimbali wakiwa kwenye foleni ya matibabu ya macho katika kampeni iliyoendeshwa na taasisi ya Child Eye & Vision Organization (CEVO) katika Hospitali ya wilaya Mabwepande jijini Dar es Salaam. Mwisho wa Kampeni ni tarehe 17/06/2025
  10. Kampeni ya 'Mama Samia Legal Aid' yaifikia Dar, kuzinduliwa na Waziri mkuu Majaliwa

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni ya utoaji wa msaada wa kisheria bila malipo kwa wakazi wa Dar es Salaam, ijulikanayo kama “Mama Samia Legal Aid”. Kampeni hiyo itazinduliwa rasmi Juni 16, 2025 katika...
  11. PreGE2025 Video: Inasikitisha kuona Waziri Mwigulu amegeuza wasilisho la Bajeti ya Serikali kama Jukwaa la Kampeni. Huu ni uchawa uliopitiliza!

    Wakuu, Hivi hili suala limekaaje wakuu? Yaani watanzania wenye itikadi za vyama mbalimbali wako kitako kusikiliza bajeti ya Serikali lakini humo humo Waziri Mwigulu anafanya uchawa kumsifia Rais na kumwambia watu wamachague kwenye Uchaguzi Mkuu Hili ni jukwaa la kampeni au wasilisho la...
  12. Kampeni za Mitandaoni Faini Tsh Million 5

    “Ukitumia mitandao vibaya sheria ipo na mamlaka na vyombo vipo vitakupata, sasa wakati mwingine unaona vikampeni havina mbele wala nyuma nikisema mnasema Msigwa ametusemea maneno makali, lakini ninachosema ni kwamba vijana tutumie mitandao kwa njia za kimanufaa kwasababu ukifanya makosa...
  13. Benki ya Exim yafanya Kampeni ya uchangiaji Damu nchi nzima kuimarisha sekta ya Afya

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Dar es Salaam: KATIKA kuendelea kudhihirisha dhamira yake ya muda mrefu katika kuimarisha afya ya umma, Benki ya Exim Tanzania, kwa kushirikiana na Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS), imefanikisha kampeni ya nchi nzima ya uchangiaji damu. Zoezi hili muhimu...
  14. N

    Yas yazindua kampeni ya 'anzia ulipo' kuendeleza mapinduzi ya kidigitali visiwani Zanzibar

    Mkurugenzi wa Yas Zanzibar, Ndugu Aziz Ali Said akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi uliofanyika jana Zanzibar. Katika hatua nyingine ya kuimarisha na kuendeleza nafasi yake kama kinara wa mapinduzi ya kidijitali nchini, Kampuni ya Mawasiliano ya Yas imezindua rasmi kampeni ya “Anzia Ulipo”...
  15. Tumefanya hii kampeni ila lazima tukubali tunawajibu wakiingia barabarani kivyovyote vile

    Hawa jamaa wameshajilimbikizia mimali na kadri miaka inavyozidi kwenda wanazidi kutesa wananchi ni wajibu wetu sisi kama wananchi kuingia barabarani kivyovyote vile na hii ndio njia rasmi ya kudai haki mtandaoni tumeshawaweza ni mda wa kuingia barabarani na tutashinda tu wataobaki salama...
  16. Jinsi ya kutumia teknolojia ku'bold' hoja kwa wananchi wakati wa kampeni

    Wasalam! I declare! PATRIOTISM FORWARD PIA SIASA NI DINI MPYA. Ni wazi sasa technolojia ina nguvu kubwa kwenye maisha yetu, technolojia ina nafasi kubwa kwenye utendaji wa kazi zetu za kila siku. Uvumbuzi na ugunduzi wa mashine mbalimbali za kidijidali na kirobotiki zimerahisisha mambo mengi...
  17. Usaidizi wa gen z wa Kenya waidhoofisha kampeni nonsense ya no reform no elections ya Chadema iliyopoteza uelekeo kisiasa nchini Tanazania

    Kampeni hiyo imezimika kama moto wa mabua mitandaoni, field na ground baada ya wanainchi kuipuuza kizalendo zaidi. Hali hiyo imekuja baada ya gen z wa Kenya kuacha tena kusambaza hiyo ujinga kutokana na m.sarungi kuacha kutoa pesa kwa gen z wa Kenya, na chadema Tanzania nao wakajikuta...
  18. Mgombea Urais wa Colombia apigwa risasi akiwa kwenye kampeni

    Katika hali isiyo ya kawaida mtoto (15) amekamatwa kwa tuhuma za kumshambulia kwa risasi Seneta wa Colombia anayewania kuwa rais ajaye wa nchi hiyo. Katika tukio hilo, seneta Miguel Uribe Turbay (39) akihutubia mkutano wa hadhara kwenye kampeni yake uliofanyika Bogota nchini humo alijeruhiwa...
  19. Diamond ni mkubwa kuliko Chadema.... Mashabiki wa Chadema mtaaibika na hii kampeni yenu

    Nawapa taarifa wafuasi na mashabiki wa Chadema kuwa diamond platnumz ni mkubwa kuliko chama chenu. Naona sasa hivi mnaendesha jaribio la mtandaoni kumzuia Diamond kufanya shughuli zake za muziki, baaada ya kupewa maelekezo na saviour wenu mange kimambi. Haya ni marudio ila kwa kuwa hamnaga...
  20. Chadema inapoomba kushiriki uchaguzi, huku ikiendeleza kampeni yake ya N. R. N. E, Tuielewaje?

    Nimepata dondoo za chadema kufungua shauri mahakamani kuomba huruma itumike waruhusiwe kujaza form ya maadili ili washiriki uchaguzi, infact nimeshindwa kuwaelewa? Mkazo na dhamira zao haziendani na yale wanayoyafanya kwa sasa, Tunataraji msimamo imara toka kwenye Tume yetu ya uchaguzi juu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…