Zanzibar 2020 Yaliyojiri katika Ufunguzi wa kampeni Pemba, Septemba 20

CUF Habari

Verified Member
Dec 12, 2019
220
250
Mwenyekiti wa CUF pia ni Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Prof. Ibrahim Haruna Lipumba , kesho septemba 20 ataongoza uzinduzi wa kampeni za CUF, visiwani Zanzibar.

Screenshot_20200919-073315.png

CUF: KUNA MAISHA BAADA YA UCHAGUZI

Katika mkutano wa Kampeni uliofanyika Chakechake Pemba, Mwenyekiti wa CUF Wilaya, Abdallah Seif Omari amesema, kuna maisha baada ya Uchaguzi hivyo hawako tayari kufanya fujo kama vyama vingine vinavyowaambia vijana wao, kwa kuwa hawahitaji kuwa na makovu ya risasi mwilini mwao

Aidha, amesema kuwa, wanaosema kama noma na iwe noma basi waziweke familia zao kwenye hayo mapigano na kuzificha nje ya nchi huku wakiwarubuni vijana wengine

Amesema, hiyo ndio tofauti kubwa kati yao na vyama vingine na tofauti zaidi itaonekana kwenya Sanduku la Kura


#ZanzibarNiYetu

#MussaHajjKombeNdoRaisWetu.
 

Kitombise

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
7,278
2,000
Hahaaa! mwaka huu hampati hata mbunge hata mmoja, iwe bara wala visiwani. Hicho chama hakina nguvu tena
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom