Uchaguzi 2020 Salum Mwalimu: Tumepata taarifa zipo Taasisi za Umma zinagharamia Kampeni za Mgombea wa CCM

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,272
“Tumepata taarifa kwamba zipo Taasisi za Umma zinaratibu na kugharamia Kampeni za Mgombea wa CCM Ndugu Magufuli, tunakamilisha uchunguzi na ushahidi tutaweka hadharani”. @salummwalimtz Viwanja vya Mnadani Igunga,Tabora.
1600442081632.png

 
Alikuwa ana haraka gani ya KUROPOKA kabla hajamaliza kukusanya ushahidi? Kwani angesubiri hadi akapata ushahidi wote ndio aseme angepukiwa nini? Pumbavu!
Huwezi kumpangia mtu afanye kitu utakavyo wewe!! Amedokeza tu kuwa linasemwa hilo. Kama ni uongo, hakuna madhara. Kama ni kweli, ameahidi kuleta ushahidi. Mbona limekuchoma hivyo?!! Hahahaha.........siasa huziwezi ndugu. Huna ngozi ngumu imstahilivyo mwanasiasa!!!!
 
Back
Top Bottom