kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Ubunge Same Magharibi kupitia CHADEMA, Gervas Mgonja asimamishwa kufanya kampeni kwa siku 14. NEC mtueleze huu utararibu ulianza lini?

    Jana Boniface Jacob wa Ubungo alisimamishwa kwa siku saba. Leo Gervas Mgonja amesimamishwa kwa siku 14. Wote ni wa CHADEMA. Huu utararibu ulianza lini? Kamati ya Maadili ya Jimbo la Same Magharibi, imekuta na hatia katika fujo zilizotokea kati yake na Diwani wa CCM kwenye jimbo Husika. Mwenyeki...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Florent Kyombo usiridhike kwa kupiga kampeni ukiwa umepoa jitutumue ili tuichukue Nkenge ibaki CCM

    Ndugu yangu najua utakuwa unapitia nyuzi zangu nikiwa supporter wako mkubwa tangu kura za maoni. Mh hili jimbo la letu la Nkenge ni rahisi sana kuwashinda upinzani maana asilimia 99 ta kata zake ni vijiji. Mh hoja yangu ni kuwa hawa Wahaya ni waelewa sana na mara nyingi huwa vigeugeu...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Hai: Freeman Mbowe azindua kampeni kwa kishindo, apokelewa na Mabango, shangwe za Mwamba tuvushe zarindima

    Mwenyekiti wa Chadema ambaye pia ni mgombea ubunge wa Jimbo Hai Freeman Mbowe , amezindua rasmi kampeni za ubunge na kupokelewa na umati wa wananchi wenye mabango. Mbowe ambaye kampeni nzima hufanya mikutano mitatu tu ya kuomba kura kutokana na kuaminiwa na wananchi , ambao mara zote humtaka...
  4. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kama ahadi za Magufuli wakati wa kampeni si rushwa na anazitoa kama Rais, Lissu anapaswa kuwaambia walioahidiwa atazitekeleza zote akiwa Rais

    Nashangaa kwanini watu wanaumiza kichwa juu ya ahadi za Raisi Magufuli wakati wa ziara zake za kampeni kuwa ni rushwa au la. Labda kwanza nikubaliane na Rais Magufuli kwamba ni kweli yeye bado ndio wa raisi wa Tanzania, na ana haki ya kutoa hizo ahadi kama raisi - ingawa ni jambo la kushangaza...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Katika majimbo ya Uchaguzi 264, Lissu kwa mwezi mzima wa kampeni katembelea majimbo 17 bado majimbo 257 ambayo CCM tupo

    Wale mnaopiga kelele kuwa Lissu kamaliza kazi mnaota Lissu mwezi mzima hadi sasa kahutubia kampeni majimbo Tena mijini 17 wakati jumla ya majimbo ya Uchaguzi Tanzania yako 264 Kuna majimbo 257 hajakanyaga sisi CCM tuko kote huko tunadunda Kama kawa tukisubiri kwa nderemo na vifijo tarehe 28...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Ukosefu wa hela ya kupiga kampeni wageuka neema kwa vyama vikubwa nchini

    Njia pekee ya kukabiliana na gharama za uchaguzi ingekuwa kutoa ruzuku na misaada kwa vyama vya siasa nchini. Kukosekana kwa hela ya kumudu gharama za kupiga kampeni imesababisha vyama vidogo kuviunga mkono vyama vikubwa kwenye mbio za uchaguzi. Kama kungekuwa na ruzuku ya kupigia kampeni TLP...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Yanayojiri kwenye Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Mh Tundu Lissu Mkoani Geita

    Wakuu nawasalimia kwa salamu ya ukombozi , leo tena yule mgombea anayeongoza kwenye kura za maoni Mh Tundu Lissu anaendelea na mikutano yake ya kampeni za kuomba kura kwa wananchi , ambapo leo atakuwepo Geita , huu ndio Mkoa aliouawa kinyama kamanda Alphonce Mawazo, RIP, mchana wa jua kali huku...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za Tanzania: Badala ya Mgombea kuulizwa maswali, yeye ndiye anawauliza maswali Wananchi

    Ni bahati mbaya mikutano ya CHADEMA na ACT wanaoulizwa maswali ni Wananchi waliokuja kuwasikiliza badala ya wananchi kuwauliza wao maswali. Kwa kuwa siku bado ningefurahi kama kuna atakayewauliza wagombea wakuu wa CHADEMA na ACT haya maswali yangu. Au tufanye mdahalo nao? Maswali yangu ni haya...
  9. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea urais wa JMT kupitia CCM, Dkt. Magufuli akiwa Nsimbo, Kidahwe akielekea Kazuramimba, Kigoma kwa ajili ya mkutano wa kampeni

    Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Nsimbo (hawaonekani pichani) wakati akielekea Uvinza mkoani Kigoma katika mikutano ya Kampeni za CCM leo tarehe 20 Septemba 2020. Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM si tulisema Magu hahitaji kampeni 2020? Chopa ya nini?

    CCM tulimpamba mzee sana kuanzia bungeni na nje ya bunge, tukaenda mbali na kusema kuwa hahitaji kampeni 2020 bora hata uchaguzi usifanyike ili apite bila kupingwa, hizi kauli za kinafki ni za kumhujumu mgombea wetu kuanzia leo iwe mwisho. Kama kweli hatukuhitaji kampeni wala uchaguzi huo CHOPA...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Ni kwanini 'Ajira' za kuwa Mshauri Mkuu wa Rais/Kampeni Meneja wa Mgombea Urais nchini Tanzania huwa hazitangazwi wengine tuziombe?

    "Ni mara chache sana kukuta watu wamefurika hivi tena asubuhi saa 2, wenzetu kule wanajua kuchakata, wanatumia picha za miaka ya zamani waonekane wamejaza watu kwenye kampeni zao, waje wajionee kwenye kampeni za CCM watu walivyofurika, hongereni sana." - Dkt. Magufuli, Igalula. Kwa haya...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Wabobezi/Manguli wa 'Political Science', aina hii ya kampeni ya 'Kutegeana' kwa 'wapinzani' wawili mnaiitaje?

    Kuna Mtu Mmoja naanza kuona anatuonyesha pia Watanzania jinsi gani pamoja na 'Usomi' wake mkubwa ila kuna uwezekano alipokuwa Shuleni na Chuoni (Chuo Kikuu) pia alikuwa ni Mpiga 'Chabo' wa 'Kutukuka' kabisa kwa jinsi ambavyo sasa katika Kipindi hiki cha 'Kampeni' anaacha Kusema yake aliyoyapanga...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM tuwe wakweli, mpaka mwisho wa kampeni tunaweza tukashindwa vibaya sana

    Kitu ambacho narudia mara ya pili kikisisitiza, ni kwanini Mzee baba anafanya kazi ya kujibu hoja za Tundu ambaye ana akili nyingi sana na sasa ameshamjuia anacheza na milio ya midundo yake. Mimi nilisema mzee ajikite zaidi kuelezea anayotaka kuyafanya badala ya kuhangaika kumjibu Tundu, hii...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi CCM wamepanga kutumia Tsh. ngapi hadi kampeni ziishe?

    Chama hiki kinajinasibu kama ni cha uwazi na uzalendo nadhani watakuwa wameweka wazi hilo sehemu flani. Maana kila nikipita mitaani naona wao tu ndio wanaendelea na harakati za kuweka mabango. Nimepita mnazi mmoja kuna diwani anamabango makubwa kuliko hata ya mgombea urais. Nimepita Mtaa flani...
  15. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hizi ndio kampeni za kushindanisha sera

    Kamapeni za uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28 mwaka huu zimeingia wiki ya tatu huku ikiwa inajulikana sasa ushindani mkubwa upo kwa vyama vya CCM na CHADEMA. Mwanzo wakati kampeni zinaanza kulikua na kutegeana ili kusikia mwenzako ameongea nini ili umkosoe na kumzodoa ila sasa...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli anatakiwa ajue kuwa Kampeni ni kujishusha, sio kufokea na kuwatisha wapiga kura

    Ninachojua mimi kura ni siri ya mpiga kura, kura ni haki ya mpiga kura, kura sio haki ya mgombea kuwa ataidai kwa lazima, kuwa asipopigiwa atawaadhibu wapiga kura. Mgombea wa CCM anadhani kupigiwa kura ni haki yake analazimisha, anawafokea wapiga kura na kuwatisha. Naomba Magufuli ajifunze kwa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Choppa ya CCM yatua Urambo tayari kwa kampeni nchi nzima, sasa ni mashambulizi kotekote!

    Kwa mujibu wa Ayo tv ile Choppa ya CCM tayari imetua Urambo mkoani Tabora kwa ajili ya kutumika katika kampeni. Sasa ni mashambulizi kutoka kila kona ardhini, angani na majini, Tundu Lissu lazima akae. Maendeleo hayana vyama!
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti wangu CCM Taifa, Rais Dkt. Magufuli tafadhali achana na Kauli kama hii katika 'Kampeni' zako kwani zinakuharibia na zinachanganya

    "Leo tutakubaliana?, kwa sababu siku nyingine huwa nawaeleza halafu hamfuati,niliwaambia mnichague mimi mkasema sawa, nikawaambia mnichagulie na mbunge wa CCM hamkunichagulia, nataka niwaeleze ukweli wala siwafichi asingekuwa Kapuya hii barabara nisingeijenga, mambo ndivyo yanavyokwenda...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mikoa ya Kagera na Geita

    Wakuu natanguliza salamu na baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye mada, kama mnavyojua Kampeni zinaendelea na leo tena Mh Lissu ambaye anapewa asilimia kubwa kutwaa urais wa nchi atakuwa kwenye mikoa ya Kagera na Geita, katika kanda hii kunatarajiwa kupigwa mkutano maalum wa kipekee...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Urambo, Tabora: Dkt. Magufuli 'akandia' sera ya majimbo; asema inakaribisha mafarakano na umasikini kwa Watanzania

    Kampeni za urais zinaendelea na leo mgombea Urais kupitia chama cha mapinduzi, Dkt yuko Urambo. Kwa sasa aneongea ni Magreth Sitta na anawaombea kura madiwani, Rais na yeye mwenyewe kwenye nafasi ya ubunge kwa kupiga magoti mara tatu kwa kila nafasi. 3:28 Asubuhi: Dkt. Magufuli amewasili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…