kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM Itaheshimu ratiba ya mikutano kampeni Serikali za Mitaa

    CCM ITAHESHIMU RATIBA YA MIKUTANO KAMPENI SERIKALI ZA MITAA. CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu wa Halmashauri Kuu(NEC) Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makalla amesema Chama hicho katika kipindi chote Cha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kitaheshimu ratiba ya mikutano...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Godbless Lema awasha Moto wa Uzinduzi Arusha, CCM tumbo joto

    Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini ambaye pia ni Nabii wa Mungu ambaye Unabii wake Nchini Tanzania umetimia na Kupitiliza, Godbless Lema, leo Amezindua rasmi Kampeni za uchaguzi wa wenyeviti wa serikali za mitaa za Chama chake huko Arusha. Lema kwa Ufupi amewaambia Wananchi wasiichague ccm na...
  3. Hamduni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mongella: Wanachama wote wa CCM shirikin kikamilifu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuchagua viongozi bora

    Naibu katibu Mkuu wa chama cha mapinduzi Tanzania Bara ndg. John Mongella amewataka wanachama wote wa CCM washiriki kikamilifu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuchagua viongozi bora watakao kuwa watatuzi sahihi wa shida zao na sio kujinufanisha binafsi, sambamba na hilo alipata wasaa wa...
  4. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Vipi harakati za siku ya kwanza ya kampeni maeneo ulipo?

    Aisee yani ni watu wanajibizana na boda boda duuh Yani vruuuuuuuu.... Tangia asubuhi!!!!!!
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenezi wa CCM Taifa Amos Makalla anaongea kwenye Ufunguzi wa Kampeni za CCM Kigamboni

    Katibu Mwenezi wa CCM Taifa, Amos Makalla anaongea kwenye Ufunguzi wa Kampeni za CCM Kigamboni https://www.youtube.com/watch?v=KAib-FeKy1c
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu akataa maji katikati ya mkutano wa hadhara kwenye Ufunguzi wa Kampeni za CHADEMA, "Mwambieni nikitaka maji nitayaomba, msimpige"

    Wakuu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara, Tundu Lissu amekataa maji katikati ya mkutano wa hadhara kwenye Ufunguzi wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, akiwa Nyamongo mkoani Mara. Soma, Pia: MARA: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024 Special...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu anaunguruma Mkoani Mara kwenye Ufunguzi wa Kampeni za CHADEMA

    Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara na mwanasiasa mashuhuri, amepokelewa kwa shangwe na hamasa kubwa mkoani Mara wakati wa ufunguzi rasmi wa kampeni za uchaguzi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM Mkoa wa Simiyu: Uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kimezindua rasmi kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, ikiwa ni hatua muhimu katika kuhakikisha wananchi wanashiriki kikamilifu katika uchaguzi huu muhimu. Uzinduzi wa kampeni hizi umefanyika katika kijiji cha Dutwa, Wilaya ya...
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mizengo Pinda ajitokeza kwenye kampeni za CCM Mtwara. Ataka wagombea wasibweteke baada ya ushindi wa kishindo 2019

    Wanabodi, Wakuu huyu baba alikuwa wapi siku zote? Kwani bado yupo kwenye siasa? Mlezi wa CCM Mkoa wa Mtwara, Mizengo Pinda, amewahimiza viongozi na wanachama wa chama hicho kutobweteka na mafanikio ya uchaguzi uliopita wa serikali za mitaa, ambapo maeneo mengi yalishinda bila kupingwa...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbunge Ritta Kabati apiga magoti jukwaani akimwaga sera kwenye Kampeni kuelekea Uchaguzi Serikali za Mitaa Iringa

    Wakuu Kumeanza kuchangamka huko kwenye Kampeni
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Joseph Haule (Professor Jay) arudi kwenye ulingo wa Siasa, azindua Kampeni Mikumi kwa kishindo

    Wakuu Yule Mbunge wa Binadamu na Wanyama kashika kipaza cha Siasa tena. Msanii na mwanasiasa maarufu, Profesa J, amerudi tena kwenye ulingo wa siasa kwa uzito, akizindua kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa leo Novemba 20 katika Kata ya Mikumi na Kata ya Ruaha. Pia, Soma: • Morogoro...
  12. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA yaomba michango kuzindua kampeni Nyamagana

    Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Pambalu amewaomba wananchi kuchangia fedha kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni Jimbo la Nyamagana Mwanza. Chadema wazee wa michango halafu haijulikani inakwenda wapi msimu wa mavuno umeanza chama kinapenda sana michango.
  13. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Uzinduzi wa Kampeni za CCM za Serikali za Mitaa mkoa wa Dar

    LIVE:MKUTANO WA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM MKOA WA DAR ES SALAAM. MWENEZI AMOS MAKALLA AZINDUA KAMPENI ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MTAA MKOA WA DAR ES SALAAM Chama Cha Mapinduzi https://www.youtube.com/live/JvhEBb6Julc?si=5Cm70GRr3xMZdRlb Global TV...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mkulima ahoji mtuhumiwa wa ufisadi kuzindua kampeni za CCM Shinyanga

    MTANZANIA, THOMAS NKOLA maarufu Mkulima amehoji sababu za Chama cha Mapinduzi kumruhusu Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC) anayetuhumiwa kwenye kashfa mbalimbali za ufisadi kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa mkoani Shinyanga. Mjumbe huyo wa...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tamko la Uongozi wa Makete kuhusu Kampeni na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Vyama vya siasa wilayani makete mkoani Njombe vinavyoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa vimetakiwa kufanya kampeni za kistaarabu kwa kunadi sera zao kwa wananchi badala ya kutoa matusi au kufanya fujo Rai hiyo imetolewa Novemba 19, 2024 na Msimamizi wa Uchaguzi ambaye ni Mkurugenzi wa...
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Polisi Makambako: Tutaimarisha ulinzi kipindi chote cha kampeni Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Jeshi la polisi Halmashauri ya mji Makambako,limesema kuwa limejipanga vyema kuimarisha ulinzi na usalama katika kipindi cha chote cha kampeni ili vyama vyote vya kisiasa vifanye kampeni zao kwa usalama bila kupata changamoto yoyote. Hayo yameelezwa na Mrakibu mwandamizi wa polisi...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Njombe: Wagombea waonywa kukiuka kanuni wakati wa Kampeni

    Halmashauri ya mji wa Njombe imekiri kuweka sawa mazingira ya uchaguzi wa serikali za mitaa hadi kwa makundi maalumu ili yaweze kushiriki kikamilifu katika mchakato mzima wa uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hapo Novemba 27 mwaka huu. Mbele ya Vyombo vya Habari Msimamizi wa Uchaguzi wa...
  18. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbowe: CHADEMA haitajitoa katika uchaguzi Serikali za Mitaa. Wagombea wetu walioenguliwa kihuni warejeshwe

    Wakuu, Saa 5 asubuhi hii Mbowe kutema cheche Makao Makuu ya CHADEMA, Mikocheni, nini kitaendelea? Vuta sofa kwa updates. https://www.youtube.com/live/9kQEVPB0RAk?si=U4fqpWwWOg47j7jV === Kwahiyo CHADEMA hapa ndio anaenda kuongea Mwenyekiti wa Chama? :BearLaugh: :BearLaugh: :KEKWlaugh...
  19. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dkt. Nchimbi kuzindua kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mkoani Mwanza

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Dkt.Emanuel John Nchimbi atazindua Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mtaa kwa Wagombea wa CCM Mkoani Mwanza tarehe 20 Novemba ,2024 .
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Viongozi wa dini Iringa wataka ustaarabu wakati wa kampeni

    Viongozi Dini Mkoani Iringa wametoa wito kwa Vyama vya Siasa, wagombea na wananchi kuwa wastaarabu wakati wa Kampeni na baada ya Uchaguzi iku kulinda na kudumisha amani iliyopo nchini. Pia, Soma: • Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Iringa • TAKUKURU Iringa kuanzisha...
Back
Top Bottom