kambi

Kambi Group Plc is a B2B provider of sports betting services to licensed B2C gaming operators. The company provides a software platform with front end user interface, odds compiling, customer intelligence and risk management.
Kambi Group is listed on First North at Nasdaq Stockholm under the symbol "KAMBI". The company is eCOGRA certified, with Redeye AB as certified advisor .

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Kama Wanamgambo wa Hamas 2000 walijipenyeza Israel na kuishambulia hivi, vipi kwingineko ambako Kambi zao za Jeshi zina fremu za biashara?

    Kama Israel (Taifa Baba na Kiongozi kwa Ujasusi) wa ndani na nje halikujua kuwa Maadui zao akina Hamas 2000 waliingia / walijipenyeza kisha Kujipanga na Kuwashambulia vipi kwa Mataifa mengine duniani ambayo kutwa yanajisifia kuwa Idara Hatari za Ulinzi na Usalama wakati mpaka sasa katika Fremu...
  2. Bushmamy

    Arusha: Ugonjwa wa mlipuko wagonjwa watengwa kambi maalumu

    Kumeibuka ugonjwa w a kuhara na kutapika na hivyo Kupelekea Wagonjwa kuwekwa kambi maalumu katika Kituo cha Afya cha Moshono. Wagonjwa wote waliopata tatizo hilo la kuharisha na kutapika wamewekwa katika eneo maalumu na chini ya Uangalizi Maalum huku wengine wakiwa wamevalishwa phone? ampers...
  3. MK254

    Kamanda wa Urusi aliuawa kwenye lile shambulizi la kambi ya Black fleet, Crimea

    Makamanda wa Urusi waliofia Ukraine wazidi kuongezeka, kumbe na huyu alifagiwa humo humo na lile kombora ambalo lilichakaza kambi yote na kuua wanajeshi wengi sana na kulipua kila kitu..... Commander of the Russian Black Sea Fleet Vice-Admiral Viktor Sokolov salutes during a send-off ceremony...
  4. GENTAMYCINE

    Rais Samia nikodie 'Chopper' ikakite Kambi Anga la Pwani ( Chalinze na Bagamoyo ) ili nikague Maji ya Mto 'yaliyochepushwa' kwenda Mashambani

    Halafu GENTAMYCINE nawaombeni tafuteni Uongo Mpya kwani huu wa kusema kila Siku kuwa Mvua hazipo hivyo Mito haijazi Maji katika Mabwawa ya Umeme ndiyo maana sasa Tanzania ( hasa Dar es Salaam ) kuna hii Kata Washa na Washa Kata umeshapitwa na wakati sawa? Endeleeni tu kutuona kila Siku kuwa...
  5. MK254

    Kambi ya jeshi la Urusi kwenye ziwa Black sea yalipuliwa na wanajeshi wa Ukraine

    Hamna kinachosazwa, vinalipuliwa vyote... The Armed Forces of Ukraine have confirmed that they successfully attacked the command post of the Russian Black Sea Fleet near Sevastopol on the morning of 20 September. Source: Directorate of Strategic Communications of the Armed Forces of Ukraine...
  6. Teslarati

    Huu ndo ukweli, "Unconditional love is for women, kids and dogs", mwanaume kama mkono mtupu wewe sahau kupendwa labda usaliti kambi.

    Ndio ukweli huo na kwa kuongezea ni kwamba kuna upungufu wa wanaume wenye mafanikio lakini hakuna upungufu wa wanawake wazuri. Kama huamini pita pale riverside utakutana na viumbe wa kike wazuri, wabichi hadi utajiuliza wanakosaje wanaume wa kuwahudumia au hata wa kuwahonga kazi nzuri hadi...
  7. MK254

    Kambi ya kijeshi Crimea yatiwa kiberiti 2,000 wahamishwa

    Haya matukio yataendelea hivi hadi Crimea irudi kwa wazawa, kambi ya kijeshi yatiwa kiberiti, juzi daraja lilipigwa bomu. July 19 (Reuters) - A fire that broke out at the military training grounds in the Kirovske district on the Crimean Peninsula has forced the evacuation of more than 2,000...
  8. B

    DAR: Azam FC kuweka kambi ya wiki tatu Tunisia

    Klabu ya soka ya Azam, imetangaza ya kwamba, itaanza rasmi kambi yake ya kujiandaa kwa ajili ya msimu ujao Julai 9 mpaka Julai 30, 2023. Kwa mujibu wa taarifa ya klabu hiyo, kambi itakuwa katika Mji wa Sousse nchini Tunisia. Jumapili ya wiki hii, kikosi cha Azam FC kinatarajiwa kusafiri...
  9. Doctor Mama Amon

    Mkataba wa Dubai na Tanzania kuhalalisha Kambi 88 za Masetla wa Kiarabu nchini Tanzania?

    Hofu tuliyo nayo dhidi ya Mkataba wa Tanzania-Dubai inao msingi thabiti katika ubaya unaoambatana na historia ya "makoloni ya walowezi wa kigeni" katika Afrika. Kwa mujibu wa "TPA Handbook, 2019-20," kwenye ukurasa wa tisa, TPA inasimamia bandari 88 zifuatazo: Bandari 18 zilizo katika Ukanda...
  10. I

    Wakimbizi wa Ukraine wapo kambi gani hapa nchini?

    Leo hii wakati Ofisa mwandamizi wa serikali akipokea msaada wa chakula kutoka WFP, amesema Tanzania imepokea wakimbizi kutoka Ukraine. Naomba kufahamishwa wamewekwa katika kambi gani na kama kuna kambi mpya imeanzishwa ipo mkoa gani. Na je huduma wanayopewa wakimbizi hawa ni sawa na ile...
  11. L

    Kambi ya majira ya joto ya wanafunzi wa sekondari ya Taasisi ya Confucius UDSM yafunguliwa rasmi mkoani Zhejiang

    Halfa ya ufunguzi wa kambi ya majira ya joto ya wanafunzi wa sekondari ya Taasisi ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ilifanyika Julai 19 katika Chuo Kikuu cha Ualimu cha Zhejiang, China. Wanafunzi na walimu 20 kutoka Tanzania wameshiriki kwenye kambi hiyo iliyoandaliwa na...
  12. Allen Kilewella

    Kufurika kwa Kambi za JKT: Je, kuna haja ya kuongeza kambi hizo?

    Vijana kadhaa waliokuwa wamepangiwa kujiunga kambi mbali mbali za JKT nchini, wameshindwa kujiunga na Kambi hizo kutokana na maelezo kwamba zimejaa kupita kiasi. Je, kuna haja ya kuongeza idadi ya Kambi hizo ili kukidhi wingi wa vijana wanaotakiwa kujiunga na mafunzo ya JKT?
  13. Replica

    Heche: Chadema Mwenyekiti wake ni Mbowe, akanusha kuwepo kambi ya Lissu na Mwenyekiti

    John Heche Akiwa kwenye mjadala wasafi fm, John Heche amekanusha uvumi aliolizwa na mwandishi kuhusu kuwepo kambi mbili ndani ya Chadema huku yeye Heche akiwa kambi ya Tundu Lissu. Heche amesema mara ya kwanza kuingia kikao cha kamati kuu ilikuwa 2011 na alikuta mjadala wa fedha unajadiliwa...
  14. Suzy Elias

    Magufuli kwa ukali: " Wewe RM yaani unazidiwa kuamua na mwandishi wa habari Msigwa, kweli?!

    Kisa kingine cha kweli acha niwashirikishe kuhusu JPM kipindi alipokuwa W UJ. Kama sikosei ilikuwa mwaka 2013 kipindi hicho miradi miwili ya barabara kuanzia Songea mjini hadi Namtumbo na Likuyu hadi Mbinga ilikuwa inatekelezwa kwa ufadhili wa MCC. Songea - Namtumbo Mkandarasi wake ilikuwa...
  15. BigTall

    Kambi Maalum ya Uchunguzi na Matibabu ya Moyo yafanyika Iringa

    Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Elizabeth Meli akimpima shinikizo la damu mwilini (BP) raia wa Switzerland Lans Sottwals aliyefika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa (IRRH) leo kwa ajili ya kupata huduma ya uchunguzi na matibabu ya moyo wakati wa kambi maalum ya...
  16. MOTOCHINI

    Kambi za Jeshi la Marekani Zashambuliwa na Iran nchini Syria

    Irani imefanya mashambulizi ya Drone na Rocket kwenye Kambi za Jeshi la Marekani Usiku wakuamkia leo. Taarifa zinasema Ile mifumo ya Ulinzi wa Anga Ulilala Fofofo. Dunia Inako Elekea Nipatamu sana The main air defense system at a coalition military base in northeast Syria was “not fully...
  17. M

    Natafuta nyumba Arusha ya kupanga

    Natafuta nyumba Arusha ya kupanga maeneo ya Sakina, Ngarenaro shule ya msingi au Kambi ya Fisi...Budget 150000 tsh
  18. D

    Tetesi: Simba SC yatumia zaidi ya 1.8 Billioni kuweka kambi Dubai

    Yaah, Simba ni club kubwa ndio, lakini kiasi hiki kinafikirisha sana kwenda kuweka kambi siku 8 na michezo miwili na timu ambazo "inasemekana" zili field wachezaji wa timu B. Kuna mdau mmoja katupia swali kwenye Facebook kwamba, "Haya ni maandalizi tu au kuna cha ziada"?
  19. R

    ILE TIMU ISIYOKUWA NA PESA MPAKA MABASI YAKE KUSHIKWA KUWEKA KAMBI DUBAI

    ILE TIMU inayosemekana Ina hali mbaya ya kipesa imeweka Kambi ya wiki moja Dubai. Timu hiyo ambayo ilisemekana imevuliwa ubingwa wa mapinduzi kumbe ilikuwa na mipango yake ya kujiandaa na michuano ya kimataifa imeonyesha tofauti ya club kubwa na ndogo inapokuja mashindano ya kimataifa
Back
Top Bottom