Kambi Group Plc is a B2B provider of sports betting services to licensed B2C gaming operators. The company provides a software platform with front end user interface, odds compiling, customer intelligence and risk management.
Kambi Group is listed on First North at Nasdaq Stockholm under the symbol "KAMBI". The company is eCOGRA certified, with Redeye AB as certified advisor .
Waratibu: NN, JM, LN na ‘wazee wa kazi’
Na recruitment ya IT Experts wengine kutoka CoICT ya UDM iliyofanywa mapema Juni imeenda mbali kuhakikisha ushindi wa kishindo.
Lakini, kwani kuna uchaguzi? Mbona zinatumika pesa nyingi bila sababu?
Kikosi cha Simba mapema leo Ijumaa (Agosti 15), kimeondoka jijini Ismailia kwenda jijini Cairo, Misri kuendelea na kambi ya maandalizi ya msimu mpya 2025/26.
Kikosi cha Simba kitaweka kambi jijini humo hadi kitakapokamilisha program ya kocha Fadlu, na kisha kitarejea Tanzania mapema mwezi...
Nadhani Askofu Gwajima aliiweka wazi hii,ndio Wazalendo namba Moja nchini .
Kuna MTU aliandika humu, kua Wazalendo wetu Kwa Mujibu wa Katiba wanataka mtu ambaye ni Mzalendo pia kwenye Kiti atakyelinda Rasilimali za Nchi na Maisha ya Watu Kwa Wivu mkubwa.
Naam Kwa Nguvu za watekaji, mbinu zao...
Exclusive: Iran ilishambulia kambi tano za kijeshi za Israeli katika vita yao ya siku 12.
Uchambuzi wa data za rada uliofanywa na watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Oregon(Oregon State University ) na kusambazwa na gazeti maarufu la Uingereza The Daily Telegraph, unaonyesha kwamba Iran ilipiga...
Iran imerusha makombora katika kambi ya jeshi la Marekani nchini Qatar, ikisema kuwa ni kulipiza kisasi kwa mashambulizi ya Marekani dhidi ya maeneo yake ya nyuklia mwishoni mwa wiki.
Mashuhuda wameripoti kusikia milio mikubwa angani juu ya Qatar, huku video zikionyesha miale mikali angani...
—❗️🇺🇸/🇾🇪/🇮🇷 BREAKING: The spokesman of Yemen's Ansarallah, Yahya Saree, confirms that Yemen will target all American navy and commercial vessels in the Red Sea and Bab Al-Mandab if the U.S. bombs Iran
@Middle_East_Spectator
Kama hukuwahi kufahamu sababu ya kambi ya jeshi ya LUGALO, iliyopo jijini Dar es Salaam, kuitwa hivyo – basi leo nakufahamisha. Watu wengi huamini kuwa kambi hiyo ilipewa jina hilo tangu mwanzo, lakini si kweli. Jina la "LUGALO" lina chanzo chake ambacho si Dar es Salaam, bali ni sehemu maalumu...
Kibali chochote kile kikubwa Hushuka kutoka kwa Mungu! Pamoja na yoote dhidi ya Chadema - haya ndio majibu ya Mungu kwa watu wote wanaojaribu kukibomoa Cham hiki?
Sauti ya Haki ni Sauti ya Mungu. Arusha Mjini.
Huwa inasemwa CHADEMA ilisaliti msimamo wake ilipomchukua Lowassa na kmfanya mgombea urais mwaka 2015 kama hii ni kweli basi kuondoka kwa kundi la Mbowe CHADEMA inaweza kuwa sawa na utakaso kwa dhambi hiyo.
Ikumbukwe Mbowe na timu yake ndiye alikuwa kinara wa kumleta Lowassa CHADEMA mpaka...
Wanamgambo wa Israel wamejikuta ndani ya mzingiro mkubwa wa moto huku wakitoa kilio cha hofu ya kuteketezwa na kubaki majivu.
🚨 BREAKING:
Fires are advancing and reportedly surrounding Israeli occupation forces inside their military bases.
Hiyo kambi ipo kitambo sana enzi hizo mji unaishia Magomeni na Oysterbay, Sinza ilikuwa mashamba ya miwa na mpunga. Lugalo ilionekana ni nje ya mji.
Mimi sio mtaalamu wa mambo ya kijeshi ila ile kambi kuwa pale ni kero tu. Kwanza huku Kawe watu wanaishi kwa hofu tu, kila mtu anajifanya ni...
Hakuna Watu rahisi kuwagombanisha kama Wavaa Kobazi.
Je unajua Iran Taifa la kiislam Lina ugomvi mkubwa wa maji na mpaka na Taliban.
Katika Hali isiyotarajiwa Taliban yapendekeza Marekani ifungue upya kambi ya Jeshi Afghanistan
https://x.com/sentdefender/status/1909464893146755377
Note: zile...
Mapokezi ya Msemaji wa waasi wa M23 wanaoungwa Mkono na Rwanda Willy Ngoma alivyopokelewa Katika Kambi ya Majeshi ya SADC.
Video hii inaonyesha akipiga stori na wanajeshi wa SADC Kutoka Tanzania , akiomba pia mualiko wa sikukuu ya Eid El Fitr kula pilau jijini Dar es Salaam. Pia majeshi ya SADC...
Kutokuiunganisha Bandari ya Dar es Salaam moja kwa moja na mtandao wa SGR ulikuwa uamuzi usio na mtazamo wa mbali, na ni moja ya makosa makubwa ya kimkakati katika mradi wa reli mpya.
Je, Kulikuwa na Ukosefu wa Maono?
Ndiyo, kwa sababu bandari ndiyo chanzo kikuu cha mizigo ya transit, na reli...
Huu uwanja tuupige vita, yaani wanalinda wanajeshi usku na mchana, hata taratibu zetu za jadi tumeshindwa kuziingiza na kuzichimbia uwanjani...
Hawa jamaa usiku kucha wanalinda kwa mabunduki. Tusikubali timu nyingine itumie uwanja huo kama nyumba ni, hatutachukia ubingwa
Inasemekana Martin Maranja ndiye mgavi wa pesa za rushwa kwa Wajumbe ili waweze kumpigia kura Mbowe.
Chain ya pesa hizo hutoka kwa Mbowe-Boniphace na kumfikia Martin pamoja na wenzake wanao kimbizana usiku na mchana kuwapelekea hongo Wajumbe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.