Mkurugenzi Mtendaji wa Simba SC, Barbara Gonzalez ametangazwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Mashindano ya Vilabu vya CAF na Usimamizi wa Mfumo wa Leseni za Klabu
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameteuliwa kuwa mjumbe kwenye Kamati mbili.
Kamati hizo...
Alianza kwa kasi Sana na tuhuma za ugaidi Hadi nchi yetu ikaanza kujulikana kwa tishio la ugaidi kwa mataifa ya nje, na kesi akamfungulia mtuhumiwa Mwisho wa siku kesi ikayeyuka na mtuhumiwa hatari wa ugaidi KILA siku anakaribishwa ikulu Sasa unajiuliza Mbowe aliyekuwa Gaidi Ndio huyu wa...
Kama kawaida ya chama makini cha watu na watanzania kila kinapokohoa tu lazima asubuhi au usiku huo huo tushuhudie matamko ya serikali.
Ni juzi tu Mh Mbowe alikohoa kuhusu tozo basi baraza la mawaziri halikulala.
Juzi na jana Kamati kuu ya Chadema ikideal na maswala mtambuka ya Nchi ikiwemo...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imepanga kupokea maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali za Fedha wa Mwaka 2022.
Mkutano wa kupokea na kusiikiliza maoni ya wadau utafanyika siku ya Jumanne tarehe 20 Septemba, 2022 saa 4:00 asubuhi katika ukumbi wa Pius...
Baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 uongozi wa Chadema ulitangaza kususia kupokea ruzuku kutoka Serikalini ikiwemo ruzuku ambayo walistahili kupata kupitia Wabunge 19 wa viti maalum wa chama hicho kwa madai kuwa uchaguzi huo haukuwa huru na wa haki pamoja na kudai kuwa mchakato wa upatikanaji wa...
Wiki iliyopita Spika alivunja baadhi ya Kamati za Bunge na kuziunda upya. Ikumbukwe kwamba kamati hizo zilivunjwa wakati vikao vya kamati vikiendelea sambamba na taasisi za serikali kuhojiwa mbele ya kamati.
Vyanzo vyangu vimeniambia kwamba wabunge wa kamati walizungukana na kuvuta takrima kwa...
Wameona hamna namna, itangazwe moja kwamba taifa la Urusi lipo kwenye vita rasmi dhidi ya Ukraine ili raia wahusishwe maana kinachoendelea pale Ukraine ni aibu, wanajeshi wao wanauawa huku wakitoroka mapambano.
==============
A member of Russia's State Duma Security Committee has suggested...
Hii ndio taarifa ya motomoto..
=======
Serikali imeteua timu ya wataalam kufanyia kazi mkanganyiko wa tozo kwenye miamala ya fedha za simu na benki. Waziri Mwigulu Nchemba akiwa Tarime mkoani Mara kwenye mkutano wa hadhara amesema Serikali itaendelea kutoza tozo hizo lakini itafanya mabadiliko...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ni miongoni mwa viongozi walioshiriki Kikao cha Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Magu.
Kikao hicho ngazi ya Wilaya kimefanyika leo tarehe 11 Septemba, 2022 katika Ofisi ya CCM Wilaya.
Viongozi...
Nawashukuru sana
Ile Tanzania nilioiota KWA muda mrefu inaenda kutimia,kuanza KWA mchakato wa katiba mpya ni Nuru KUBWA kwetu!changamoto za kimfumo zinaenda kufa na Tanzania Mpya inaenda zaliwa rasmi!
Niwaombe wadau wawape ushirikiano wa kutosha kikosi kazi cha mkandala Ili mchakato ukamilike...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Stergomena Lawrence Tax (Mb) amezindua Kikao cha Kwanza cha Kamati Tendaji ya Jeshi la Kujenga Taifa, baada ya kuiunda rasmi tarehe 12 Agosti, 2022.
Kikao hicho cha kwanza na cha aina yake, kilifunguliwa na Mwenyekiti ambaye pia ni Waziri wa Ulinzi na...
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU) wakifuatilia kwa makini mada kuhusu utekelezaji wa miradi ya kikanda ya miundombinu ya EAC iliyokuwa ikiwasilishwa na Mkurugenzi wa Miundombinu ya Uchumi na Huduma za Jamii katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano...
Naomba kwa heshima na unyenyekevu mkubwa niwasilishe maoni yangu ikiwa Kamati za Bunge zinakutana Dodoma kujadili masuala mbalimbali yanayohusu nchi yetu.
Naomba Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson aivunje Kamati ya Bunge ya Bajeti kutokana na Kamati hiyo kushindwa kusimamia masilahi mapana ya...
Simba imeshindwa kusajili wachezaji wafuatao ndani ya Dirisha kubwa 2022-23.
1. Victoria Adebayor.
2. Stephan Azizi Key.
3. Luis Joseph Miquisson.
4.Abdul Suleiman Sopu.
5. LOBIE CESAR MANZOKI.
Na MBAKA SASA Haina mbadala wa kagere.
KAMATI jisahihisheni.
6 ndio TATIZO kabisaaaa
Kwa masikitiko makubwa Tena Kwa huzuni kubwa Mzee Yasin Lema mkazi wa Hai Kilimanjaro na ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya siasa ya CCM mkoa wa Kilimanjaro ameandaliwa/amejiandaa kuharibu majina ya wagombea uongozi ngazi ya wilaya kwenye kikao cha kupitisha majina mkoani kupitia kamati ya siasa ya...
Inavyoonesha Kuna mtu amemkamia sana manara ,angalia barua ya tff muda iliyoanza kusambaa,inaonekana imeandikwa Saa Moja asubuhi au Jana ileile usiku, swali ni saangapi wamekaa na kupitia tukio Zima hata kukubaliana eng hersi,na manara wafunguliwe kesi?inaonyesha ni utashi wa mtu Mmoja ndie...
Ni watu gani wanaweza kuitwa na kamati ya TFF? Hivi kwa sasa Haji Manara kimpira si raia wa kawaida? Raia wa kawaida anaweza hukumiwa na kamati ya maadili ya TFF?
Saa chache zilizopita kupitia kurasa zake katika mitandao ya kijamii, Benki Kuu imetoa taarifa ya Kamati ya sera ya fedha ambayo kazi yake kubwa ni kufanya tathmini ya utekelezaji wa sera ya fedha na mwenendo wa uchumi.
Chini ya Rais Samia Suluhu ukuaji wa uchumi wa Tanzania imeendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.