kamati

Kamati is a village in Bamyan Province in central Afghanistan.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina (mb), akichangia kuhusu taarifa za kamati za kudumu za bunge za PAC, LAAC na PIC

    1. UTANGULIZI Taarifa za Kamati ya PAC na LAAC zinawasilishwa bungeni baada ya kufanya uchambuzi wa hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 na Sheria ya Ukaguzi wa Umma Na. 11 ya Mwaka 2008 inayofafanua...
  2. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Tumeingia Tunisia na Wazee wetu Watatu. Hawa ni wazee wapya wa Kamati ya Ushindi. Watunisia wamelala kwao....

    Babaaake..... Watunisia wamelala kwao... Wazee wetu watatu ndo wanatuongoza. Watunisia wamejaribu kutuma majini yao yametulizwa. Mpaka sasa hawajielewi. Tumeshakwepa mitego yao yote mbwa hawa. Huku Dar mikia mliwatonya... Kule sasa wanaenda kukalia moto. Tunawachabanga kiroho mbaya...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bungeni: 2016/18 Bodi ya Mikopo ilitoa Tsh. Bil 1.76 kwa wasio na sifa kwa maelekezo ya Serikali

    Ukaguzi uliofanywa na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) umebaini HESLB iliwapa Mikopo Wanafunzi ambao hawakuwa Vyuo Vikuu kwa maelekezo ya Serikali. Pia, PAC imesema kati ya 2018/19 wanafunzi 2,852 walipangiwa mikopo chini ya kiwango kwa upungufu wa Tsh. Bilioni 1.14 huku Tsh. Bilioni...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge ya Miundombinu yataka kuwepo kwa haki ya kusahaulika

    Akiwasilisha mapendekezo Juu ya Muswada wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu, Selemani Kakoso amesema baada ya kufanya mapitia ya muswada huo na kusikiliza maoni ya wadau mbalimbali wakiwemo JamiiForums amesema ni muhimu kwa sehria hiyo kutambua haki ya...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nikiwa kama mwana Simba SC naiomba Kamati ya Maadili ya TFF iwafungie Chama na Sakho

    Mimi ni mwanamichezo, mwana Simba SC lia lia na napenda utani na utani wetu wa Simba na Yanga ila sipendi na sifurahii upumbavu (Upan'gang'a) pale ukitokea. Nitamshangaa na nitawashangaa pia kuona wana Simba SC wenzangu wakinichukia kwa hili na hata kutoniunga mkono kama kweli wana Spirit of a...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge yapongeza(NECTA) kwa kuwa na mfumo wa kielektroniki wa usahihishaji

    Na WyEST, DAR ES SALAAM. Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imepongeza Wizara ya Elimu na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kwa kuwa na mfumo wa kielektroniki wa usahihishaji mitihani ambao umerahisisha zoezi la usahihishaji mitihani ya Taifa. Pongezi hizo zimetolewa Jijini...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM Ikulu ya Chamwino Dodoma

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichokutana Ikulu ya Chamwino, Jijini Dodoma leo Ijumaa tarehe 28 Oktoba , 2022. #CCMImara #KaziIendelee
  8. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Mdundo wa Taifa yaanza kupokea maoni

    Kamati ya Mdundo wa Kitaifa iliyoundwa hivi karibuni na Waziri Tamaduni Sanaa na Michezo Mohamedi Mchengrwa imepokea maoni Kutoka kwa Wadau mbalimbali wa muziki ikiwemo watayarishaji wa muziki, watunzi, watangazaji wa vyombo vya habari pamoja wasanii wa ngoma za asili lengo ni kupata vionjo...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge yapokea taarifa ya Ujenzi wa Shule mpya kupitia mradi wa Sequip

    KAMATI YA BUNGE YAPOKEA TAARIFA YA UJENZI WA SHULE MPYA KUPITIA MRADI WA SEQUIP. OR -TAMISEMI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Bora na Serikali za mitaa (USEMI) ikiongozwa na Mhe. Jaffari A. Chaurembo, Mbunge wa Jimbo la Mbagala imepokea na kujadili taarifa kuhusu Utekelezaji Mradi wa...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge kumhoji Trump

    Washington. Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump ameitwa mbele ya Kamati ya Bunge (Capitol Hill) kuhojiwa kuhusiana na vurugu za wafuasi wake waliovamia Bunge wakipinga ushindi wa Joe Biden kuwa Rais wa 46 wa Marekani. Kamati hiyo ilikuwa ikichunguza vurugu zilizotokea Januari 6, 2021 baada...
  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Hai kwa tiketi ya CCM agoma kuanzisha Kamati ya kusimamia fedha za mfuko wa Jimbo

    Jimbo la Hai, Kilimanjaro mbunge wake ameamua matumizi ya fedha za mfuko wa jimbo ni zake na fedha hizo zimekuwa siri, kwa mbunge na ameamua kutokuweka wazi matumizi yake kwa kuunda kamati ya kusimamia mfuko huo. “ kamati ya mfuko wa jimbo, ingehusisha madiwani wote na watendaji wa taasisi...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwakyembe Kuongoza Uchunguzi Malalamiko ya Mtihani wa Law School

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Damas Ndumbaro amemteuwa Dk Harison Mwakyembe kuwa Mwenyekiti wa kamati ya watu saba ili kutafuta chanzo cha kufeli kwa wingi katika mitihani ya mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo (LST). Kuundwa kwa tume hiyo kumekuja baada ya kelele za wananchi kufuatia hoja...
  13. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Bado nalia na Kamati ya Usajili ya Simba, kushinda michezo ya kimataifa kusitusahaulishe

    Habari wakuu. Naomba niwaeleze ukweli, japo ukweli ni mchungu. Bado NALIA na kamati ya usajili ya Simba. Simba bado ni underdog kwa YANGA. Tunawachezaji Baadhi wa KIMATAIFA nadhani uongozi uwaangalie kwa jicho la tatu. 1. Peter Banda. 2. Mohamed Ottara 3. Dejan aliyeondoka. 4. Okwa Nelson...
  14. Tanzaniampyawa

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu yatembelea miradi ya TBA Dodoma

    Imewekwa: Thursday 22, September 2022 Septemba 17, 2022 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imefanya ziara ya kutembelea miradi inayotekelezwa na TBA jijini Dodoma. Miongoni mwa miradi iliyotembelewa inajumuisha mradi wa ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, mradi wa ujenzi wa Mji wa Serikali...
  15. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Wakili D'Souza kuongoza Kamati ya Uchaguzi wa Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) Novemba 27

    Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) linatarajiwa kuziba nafasi za uongozi zilizo wazi Novemba 27 jijini Tanga. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa AT Wakili Jackson Ndaweka alisema, kikao cha kamati tendaji kilichofanyika jijini Dar es Salaam Oktoba mosi...
  16. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Kamati za kudumu za Bunge kukutana kuanzia Oktoba 10-30, 2022 Jijini Dodoma

    Kamati nne (4) za Kudumu za Bunge zitaanza kukutana tarehe 10 hadi 30 Oktoba, 2022 Jijini Dodoma. Kamati hizo ni Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC)...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Mazingira ya Bunge

    Je, hii kamati, huwa inapangiwa sehemu za kutembelea au wanajipangia? Naona wanatembelea viwandani tu ambako waathirika ni watu chini ya 1,000, wakati masoko yote ni machafu kupidukia na inaathiri DSM nzima. Waende soko la Stereo wakajionee na waipige faini manispaa ya Temeke hizo pesa wapewe...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kamati ya kubadilisha Polisi isikilize wananchi kwanza!

    Raisi Samia ameunda Team ya kujadili na kupendekeza mabadiliko ya mfumo wa jeshi la Polisi. Ni vizuri team hii ikasikiliza wananchi hasa kwenye mambo makubwa haya 1. Polisi kuingilia chaguzi. Tumeona Kenya mfano mzuri wa kuiga 2. Rushwa 3. Unyanyasaji 4.kupendeleana kwenye vyeo 5. Mafunzo
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge ya Sheria yabaini dosari 33 kwenye sheria ndogo 14

    Mwenyekiti wa kamati hiyo, Jasson Rweikiza amesema hayo leo Jumatano Septemba 21, 2022 wakati akiwasilisha uchambuzio wa taarifa za maazimio ya Bunge kuhusu sheria ndogo. “Kamati ilibaini dosari ya kukinzana na masharti ya sheria inayotoa mamlaka ya kutungwa kwa sheria ndogo inayohusika na...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Chadema: Wabunge 19 wa viti maalumu waondolewe Bungeni kabla ya mwezi Novemba, 2022

    Mzungumzaji kuu ni Mhe. Salimu Mwalimu, Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho ambaye anaelezea maamuzi ya kamati kuu iliyoketi Septemba 17-18, 2022 Kamati kuu imeitaka Serikali kupeleka muswada wa kufuta sheria mpya ya tozo ambayo imekuwa mzigo mkubwa kwa watanzania. Serikali ije na mpango madhubuti...
Back
Top Bottom