kali

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANROADS: Ni kweli Mkandarasi wa Mradi wa Mwendokasi Mwenge - Tegeta anasuasua, Serikali imechukua hatua za Kimkataba

    Uongozi wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) umetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mdau wa JamiiForums.com aliyeandika Ujenzi wa Mwendokasi Mwenge -Tegeta utakamilika lini? Ni kweli Mkandarasi ana vifaa vichache, wafanyakazi hawatoshi? UFAFANUZI WA TANROADS: Serikali kupitia TANROADS inatambua...
  2. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Timu ya PAMBA wachezaji walipewa maelekezo maalumu kuwaumiza kwa makusudi wachezaji wa SIMBA, Bodi ya ligi itoe adhabu Kali kwa timu na refa

    Hii ni kweli kabisa na limeonekana wazi kabisa katika mechi ya leo. Ni neema na kudra za Mwenyezi Mungu tu TUMETOKA salama Wana Simba wachezaji wametoka Salama uwanjani. Ilaaniwe timu ya PAMBA na waliowatuma kufanya UHUNI huo. Nasubiri kamati ya masaa 72 ifanye kazi yake.
  3. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Mtilibeli umeona intelijensia ilivyo kali?

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limewakata Watu wanne kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya raia wa China, Baozhang Ge. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, SACP Jummane Muliro amethibitisha kukamatwa kwa Watu hao katika maeneo tofauti ndani ya Tanzania ambapo...
  4. bless on

    JamiiForums Tanzania Ghana Yapitisha Sheria Kali Dhidi ya Ushoga

    Ghana imepitisha moja ya sheria kali zaidi barani Afrika dhidi ya ushoga baada ya Bunge kuidhinisha Muswada wa Haki za Kijinsia za Binadamu na Maadili ya Familia wa mwaka 2025. Sheria hiyo inaweka adhabu ya kifungo cha hadi miaka mitatu kwa vitendo vya ushoga, na hadi miaka mitano au zaidi kwa...
  5. BARDIZBAH

    JamiiForums Tanzania ONSTREAM imeliwa kichwa naombeni site nyingine kali ya kudownload movie offline

    Wazee ni wiki ya pili sasa Onstream imegoma kabisaaa. Toeni msaada wa sites nyingine kali nzuri za kudownload movie.
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Asante Mungu kwa hii Nyota Kali uliyonibariki nayo, japo nakiri inatusababishia tuchukiwe, turogwe na tuonewe wivu sana

    Yote yaliyosemwa hapa yamenitokea na yanaendelea pia kunitokea kila Siku kwani nina Shuhuda za kutosha. Asante sana Mwenyezi Mungu kwa hii Tunu yako kubwa ambayo uliichagua iwe ndani yangu Mimi GENTAMYCINE. Kwa wale ambao mnajijua mna hii Nyota kama yangu na ambayo imesemwa hapa kama ukitaka...
  7. OMKEIT 93

    JamiiForums Tanzania Je, kushikamana na Sunnah ni Itikadi kali au ndio njia iliyonyooka?

    Shukrani zote anastahiki Allah Mola mlezi wa walimwengu wote Swala na salamu zimshikie kipenzi chetu mtume Muhammad swalallahu alayhi wasalam na jamaa zake na maswahaba zake na watakaowafuata hao kwa wema mpaka siku ya mwisho. Ama baada ya hayo; Katika zama hizi, watu wengi wamekuwa wakiwaita...
  8. Inside10

    JamiiForums Tanzania Wakuu Nimekata Shauri, Sinywi Pombe kali tena

    Nimefikia uamuzi huo baada ya kufuatlia na kuona vijana wengi wakiumwa ugonjwa wa figo.. ninao wajua na maarufu tunaowajua wengi... Pia nitajitahidi sana unywaji wa beer🍻 kwa kiwango na mara chache. Jamii inaangamia tuchukue tahadhali kwa wakati. Mwenyezi awaongoze nanyi wenzangu wengineo...
  9. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kuishi na mwanamke mwenye hasira kali na mrahisi wa kuzila na kufoka?

    Wakuu, Hapa nimeyakanyaga. Yaani, hata kitu ni kidogo au unamtania - yeye anakuja juu na kufokafoka. Ile wewe unaita kunogesha penzi na tu-story twa hapa na pale, yeye kwake ni kero! Ana sura nzuri, umbo zuri; na hatujaoana. Kuishi kwingi, kuona mengi. Wenzangu mlioishi kwingi, watu kama hao...
  10. Wachatech

    JamiiForums Tanzania Ramani kali ya Nyumba

    Ramani hii ina vyumba vitatu vya kulala Living room Kitchen Store Dining Common toilet Nitafute whatsapp 0678418272
  11. S

    JamiiForums Tanzania Spana wanazopiga CHADEMA kwenye mikutano ya hadhara, ni kali sana na sidhani kama watawala wataweza kuvumilia ukweli wanaoambiwa

    Baada ya kusikiliza hotuba za Goodbles Lema na Boniface Jacob walizozitoa mkoani Arusha kwenye mkutano mmoja wa hadhara hivi karibuni, napata mashaka kama watawala wataweza vumillia spana wanazopigwa na hawa makamanda. Ninachokiona ni CCM na serikali yake kushindwa kuvumilia na kujibu hoja za...
  12. Fene

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akizaliwa pisi kali, amezaliwa na potential kubwa ya kuuaga umasikini

    Mwanamke akizaliwa pisi kali, (sura anayo, shepu ya kwenda) hakika kashapiga hatua kubwa ya kuuaga umasikini hata kama kwao hali ni tia maji tia maji, the only thing matters about them is mindset (tabia) Licha ya kuwa tuna kampeni kubwa ya kataa ndoa lakini bado wanaume mara nyingi tuanjitafuta...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania ISIS walivyofanya mauaji ya wakristo nchini Congo na, 2025

    === Islamic State massacres Christians in front of their families At least 60 people killed in...
  14. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kuadimika kwa pombe kali inayoanza na herufi V.

    Mimi mdau mkubwa wa hii kitu lakini ni zaidi ya wiki mbili sasa sio kwenye bar wala kiosk haipatikani inakuaje kitu Ina demand kubwa alafu ghafla usambazaji hakuna tena.
  15. Gospel KTV

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kutupia nyimbo kali za Gospel 2026

    Huu uzi utakua maalum kwaajili ya kutupia nyimbo kali za gospel mwaka 2026. https://audiomack.com/voiceofpraise603/song/mungu-ni-pendo-remix?share-user-id=216220807
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Chama cha democrat kimegeuka kuwa chama cha vurugu kutokana na wao kutengeneza alliance na ideas za ukomonisti, trans fury (ushoga) na itikadi kali

    DEmocrat ya sasa sio ile ya wakina clinton na kurudi nyuma. Ni chama kilichogeuka kuwa na sera ambazo zinazopinga utamaduni wa kimagharibi. Ni chama kilichogeukia usasa wa ushetani na matakwa yasioendana na utamaduni chanya wa binadamu. Ndio maana leo tunaaona vikundi vinavyofaziliwa na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tazama jinsi Misri ilivyojenga ukuta wa tabaka saba kuwazuia Wapalestina kuvuka, Walinzi wamewekwa kumpiga risasi yeyote ataevuka.

    Tazama jinsi Misri walivyojenga kuta zenye matabaka saba na kuweka walinzi wenye bunduki ili kuwazuia wasiiingie
  18. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume imetambua vifo 518 wakati wa maandamano ya Mo29. Wamekiri, watatokaje?

    Wanaume: 490 Wanawake: 28 Askari: 16 Watoto: 21 Kati yao, Miaka 15-17 walikuwa 15. Miaka 7-10 walikuwa 4. Chini ya miaka 5 walikuwa 2. Vifo vingi vikiwa vimetobolewa na kitu chenye ncha kali yaani walipigwa risasi. Zaidi ya watu 700 walitekwa na kupotea wengine hadi leo hawajulikani. Wengi...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Tupia nguo yako kali unayoikubali muda wote

    Nguo yako ni ipi ambayo unaviaa kwenye matukio muhimu na ukiivaa unajiona umewaka kinoma noma
  20. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Sayansi kwa swali maarufu la Atheists. Kwanini hakuna uwezekano kwamba ulimwengu ulikwepogi tu milele. Vita kali dhidi ya Atheists Ep4

    ‎Atheists wengi wanaposikia hoja ya Mungu kama Muumba wa ulimwengu wanajibu haraka kwamba "Ulimwengu ulikuwepo milele hauhitaji muumba." ‎ ‎Jibu hilo linaonekana rahisi. Linaonekana la akili. Linaonekana kama njia nzuri ya kukimbia swali zito. ‎Lakini ni sayansi sio mimi P h a r a o h sayansi...
Back
Top Bottom