Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu amempa onyo kali Juma Lokole akitaka aache kumzungumzia vibaya baba mtoto wake, Whozu, akidai tabia hiyo imeanza muda mrefu.
"Heshima ni kitu cha bure sana kwenye maisha ya kila binadamu. Kuna jambo linanikwaza sana, na nimekuwa nikiliona mara kwa mara kwako Juma...