kale

Kale (), or leaf cabbage, belongs to a group of cabbage (Brassica oleracea) cultivars grown for their edible leaves, although some are used as ornamentals. Kale plants have green or purple leaves, and the central leaves do not form a head (as with headed cabbage). Kales are considered to be closer to wild cabbage than most of the many domesticated forms of Brassica oleracea.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Special Thread: Ya kale ni dhahabu

    Huu ni uzi maalumu unaojumuisha maisha yote ya kale tuliyoyaisha ,mashujaa wetu wa enzi hizo visa vyao na burudani kwa ujumla. Karibuni .
  2. M

    JamiiForums Tanzania "May be it's my fate..." kauli kama hii ina maana gani?

    Wakuu nawaamkua. Wakongwe naamini tunapaswa kumshukuru Mungu kwa uzima na afya. Kwa muda sikuweza kuwepo humu lakini hekima, busara na elimu ambayo niliipata humu sitoweza kuisahau kamwe. Bado JamiiForum ni kisima cha maarifa katika nyanja mbalimbali za maisha yetu. Ninakuja na swali hapa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa shule za upili wa Taasisi ya Confucious UDSM Tanzania watembelea kijiji cha kale cha Siping na jumba la maonyesho la mji wa Jinhua

    Tarehe 22, Juni, wanafunzi wa shule za upili wa Taasisi ya Confucious katika chuo kikuu cha Dar es Salaam Tanzania (UDSM) wametembelea kijiji cha kale cha Siping na jumba la maonyesho la mji wa Jinhua. Kijiji cha Siping kilichoko katika mlima Jiufeng mjini Jinhua, kilijengwa mwanzoni mwa enzi...
  4. JamiiForums Tanzania CODEX GIGAS; Kitabu cha kale chenye historia ya ajabu

    KUTOKA KWA NYEMO CHILONGANI. Tuanze kupiga mastori kadhaa kuhusu mambo mbalimbali yaliyowahi kutokea miaka hiyo ya nyuma. Nataka leo nikwambie kitu kimoja kuhusu kitabu kikubwa sana, kitabu kisicho cha kawaida ambacho watu wengi wanasema ni Biblia ya Shetani. Usishtuke sana, acha tupige...
  5. JamiiForums Tanzania UTEUZI: Amos Makalla ahamishiwa Mwanza, Chalamila apelekwa Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa kama ifuatavyo: 1. Bw. Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. 2. Bw. Adam Kighoma Malima amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa...
  6. JamiiForums Tanzania Simulizi za watu wa kale

    Nakumbuka nilipokuwa mdogo, babu yetu alikuwa na utaratibu wa kuwakusanya wajukuu zake wote, na kuwasimulia hadithi mbalimbali; na masimulizi hayo yalikuwa yakifanyika huku tukiwa tunaota moto ili kuondoa baridi, huku yeye akipata kahawa iliyo chungu. Kuna hadithi moja alitusimulia, inahusiano...
  7. JamiiForums Tanzania Uume wa bandia uliotumika na watu wa kale wagundulika Uingereza

    Uume wa bandia uliotumika na watu wa kale wagundulika huko Uingereza. Umetengenezwa kwa mbao. Wataalam wa mambo ya kale wanasema ulitumika katika karne ya pili. Wataalam wanasema ulikuwa unatumiwa na wanawake kama dildo. Dildo hilo lina urefu wa sentimita 16, kwa kawaida uume wa binadamu...
  8. JamiiForums Tanzania Mshumaa kama timer kwenye madanguro hapo kale

    Brothel candles were candles which burned precisely for 7 minutes and were heavily used during Victorian times. The customer paid the fee, lit the candle, and when the candle burned out, his session was over. Huu mshumaa uliwaka kwa dakika saba. Mteja ndiye aliyekipia gharama za mshumaa...
  9. JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme umeturudisha zama za mawe za kale

    Imagine leo hii kila mtu ana TV na king'amuzi nyumbani, lakini tunalazimika wote kwenda kurundikana bar za vichochoroni zenye jenereta ili kuangalia mechi ya ufunguzi..!! Kwenye mitandao ya kijamii watu wanaulizana ni bar gani kuna jenereta watu wawahi siti.
  10. JamiiForums Tanzania Hivi ilikuwaje Pepe Kale akaimba ule wimbo wa "Yanga Africa?".

    Anayejua hebu atujulishe kama je Pepe kale alifuatwa na Wadau akapewa dili?. Viongozi/kiongozi mmoja alimpa dili akamlipa?. au ni mapenzi yake binafsi kwa timu ya Yanga?
  11. JamiiForums Tanzania Stolen african artifact/ kazi za kisanii za kale zilizoibiwa katika kipindi cha ukoloni

    Huyo ni mjusi/Dinosaur anayeamika kuishi Tanzania miaka mingi iliyopita ambaye kwa sasa mabaki yake yamehifadhiwa katika Makumbusho nchini ujerumani. hio ni moja kati ya maelfu ya kazi za kisanii, mabaki ya viumbe hai vilivyoibiwa katika kipindi cha ukoloni. katika kipindi cha ukoloni ukiachana...
  12. JamiiForums Tanzania SoC02 Vya kale vya dumisha vya sasa vya dhoofisha

    Kulingana na mada kama jinsi nilivyo itambulisha hapo juu "VYA KALE VYA DUMISHA VYA SASA VYA DHOOFIDHA", hapa nazungumzia juu ya suala la "Afya". Baadhi yetu wapo ambao wamekuwa wakiamini kuwa afya ni kuwa na mwili ulionenepa, pia wapo ambao wanaamini kuwa afya ni kuwa na muonekano mzuri...
  13. JamiiForums Tanzania Watu wa kale walizikwa na vito vya thamani walivyomiliki

    Hii picha ilipigwa mwaka 1970 nchini Buligaria katika mji wa Varna. Ma archeologists walichimba kaburi hili linalosadikiwa kuwa ni la miaka 500BC. Ubora wa dhahabu waliyoikuta wanasema haujawahi kuonekana tena duniani. Wana harakati wana hoji hao archeologists walipata wapi kibali cha...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Wachina watembelea makumbusho ya visukuku ya Chengjiang na kujionea muujiza na mvuto wa viumbe wa kale

    Tarehe 28 Juni huko Yuxi mkoani Yunnan China watu waliingia katika Jumba la Makumbusho la Urithi wa Asili wa Visukuku la Chengjiang ili kuchunguza asili ya maisha na kujionea mwujiza na mvuto wa viumbe wa kale. Jumba la Makumbusho la Urithi wa Asili wa Visukuku la Chengjiang linahifadhi zaidi...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mabaki ya kale 13,000 yafukuliwa Sanxingdui nchini China

    Mabaki ya kale 13,000 ya kitamaduni yamegunduliwa kutoka katika mashimo sita kwenye eneo jipya la kazi ya ufukuaji katika eneo la mabaki ya kale la Sanxingdui nchini China. Taasisi ya Utafiti wa Mabaki ya Kale na Akiolojia ya Mkoa wa Sichuan ilitangaza hayo katika mkutano wake na wanahabari...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Uhifadhi wa vitabu vya kale wakumbatia teknolojia ya kidijitali mkoani Henan, China

    Juni 6, 2022, Shi Weixia, mfanyakazi wa makavazi ya wilaya ya Wenxian katika mji wa Jiaozuo, Mkoa wa Henan, China ananakili vitabu vya kale na kubadilisha kurasa za vitabu vya kale kuwa mafaili ya picha. Kuanzia mwaka jana, Makavazi ya Wenxian imekumbatia teknolojia za kisasa katika kupanga...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa dunia ya leo mnafuata nini kwenye ndoa? Ndoa ni mambo ya zama za kale

    Naomba nisisitize hili kwa mara nyingine tena. Ndoa lengo lake kuu ni uroda. Zama hizo (mwaka 47) watu walikuwa na maadili ya kufa mtu kiasi kwamba ambaye hajaingia kwenye ndoa ilikuwa haliwezekani kupata uroda. Basi hapa ndipo watu wakakazana kuoana. Miaka hii tunatongozana kila mahali, kila...
  18. JamiiForums Tanzania Hapo zamani za kale: Historia ya Mwalimu Thomas Staudtz Plantan na Clement Mohamed Mtamila

    HAPO ZAMANI ZA KALE: HISTORIA YA MWALIMU THOMAS SAUDTZ PLANTAN NA CLEMENT MOHAMED MTAMILA Ulikuwa ukiingia nyumbani kwa Mwalimu Thomas Plantan Mtaa wa Masasi kitu kimoja ambacho kitakushangaza ni "trophy," vichwa vya wanyama vilivyotundikwa katika ukumbi mzima wa nyumba yake. Nyumba ya Thomas...
  19. JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya pasaka ya Agano la kale, pasaka aliyoiacha Yesu na pasaka ya sasa (easter)

    Jibu la Biblia Pasaka ni sherehe ya Kiyahudi iliyowakumbusha jinsi Mungu alivyowakomboa Waisraeli kutoka katika utumwa wa Misri mwaka wa 1513 K.W.K. Mungu aliwaagiza Waisraeli wakumbuke tukio hilo muhimu kila mwaka katika siku ya 14 ya mwezi wa Kiyahudi, Abibu, ambao baadaye uliitwa...
  20. JamiiForums Tanzania Jinsi Wamisri wa kale walivyogundua kuwa mwaka una siku 365

    Hawa wamisri wa kale ndiyo watu walioleta ustaarabu tunaouona duniani leo hii. Wagiriki walijifunza ustaarabu kutoka Misri ya kale. Moja ya mambo waliyogundua ni kuwa mwaka una siku 365. Waligundua namna hii. Ukichunguza jua kwa mwaka mzima utaona kuwa sehemu linakichomoza na kuzama hubadilika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…