kale

Kale (), or leaf cabbage, belongs to a group of cabbage (Brassica oleracea) cultivars grown for their edible leaves, although some are used as ornamentals. Kale plants have green or purple leaves, and the central leaves do not form a head (as with headed cabbage). Kales are considered to be closer to wild cabbage than most of the many domesticated forms of Brassica oleracea.

View More On Wikipedia.org
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Urafiki wa Ajabu wa Samir na Mohammed: Hadithi ya Upendo, Msaada na Maumivu kutoka Damascus ya Kale

    Taswira ya kweli ya wanaume wawili waliopigwa picha kutoka Damascus mwaka 1889: Mkristo Samir alikuwa mlemavu wa kupooza na pia alikuwa mfupi. Na Mohammed, Mwislamu kipofu aliyekuwa akimbeba Samir mgongoni. Samir aliyekuwa mlemavu wa kupooza alimtegemea Mohammed katika safari zake mitaani...
  2. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Integensia za wazee wetu zilizokuwa zikisaidia familia na jamii zetu hapo kale!

    Mama zetu walikuwa atleast kila wiki lazima watulishe makande, yaliyowekwa magadi ya kienyeji, wakiyaombea kwa siri yaende kuwaondoshea wanawe mokosi, kijicho na bahati mbaya, na ilibidi wapike chakula kigumu, chenye kuhitaji magadi ya kienyeji kwa makusudi, #Tutiririshe intelegensia mbali...
  3. hamis77

    JamiiForums Tanzania Miungu ya kale inaporejea kwa kificho

    Tekinolojia na miungu ya kale. Kuna movie moja niliona, inaongelea project ya mwaka 2050. Kwamba miaka hiyo kutakuwa na magari ya kupaa na maraboti yanayojiongoza(artificial intelligence). Na hiyo movie inamwongelea mungu wa Misri anayeitwa Horus, ambaye kila baada ya miaka 2000 anakuja duniani...
  4. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Afrika na mapokeo ya imani bado haijazoea nuru kamili ndani ya damu yake kuna kivuli cha kale

    Usiku mwingine, kimtazamo wa kiroho huwa haifai kuangaliwa moja kwa moja. Ukishika udongo unahisi joto la wafu wa kale. Ukikalia jiwe la porini, linaloonekana zuri jioni, usiku linakuwa ni mgongo wa kiumbe kisicho na jina, kinacholia kama mtoto aliyezaliwa tumboni mwa ndoto. ardhi ya udongo...
  5. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Sauti za Farao zinarudi: Tanzania katika kioo cha Misri ya kale

    Queen Cleopatra Mara nyingine mimi P h a r a o h huketi na kuwaza juu ya anguko la Misri ya kale ( Ancient Egypt )—taifa lililokuwa na nguvu, hekima, na heshima iliyozidi mipaka ya dunia ya kale. Misri haikuwa tu nchi, ilikuwa moyo wa ustaarabu. Kwa karne nyingi, walitawala kwa fahari, farao...
  6. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Bangi ni dawa nzuri sana tangu miaka ya kale

    Kwa maelfu ya miaka, bangi imekuwa dawa kuu kwa binadamu, lakini sheria ziliharibu yote. Imetumika kama dawa ya maumivu kwa miaka 12,000—kutoka Misri ya kale hadi China. Warumi walitegemea pia, na hadi miaka ya 1900, ilikuwa dawa ya maumivu inayotumiwa zaidi ulimwenguni. Lakini mwaka 1961...
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Huyu Majizo hizi Spika zake amelenga soko la ndani ya Tanzania au nje? Bei za moto level za JBL.

    Hongera kwake kwa kuzindua Jizzo Sound. Sawa. Ila swala la bei ni jambo jingine. Kuna Michina mingi kwenye hii price range na ina muziki mnnene, itaweza kucompete? Bei inayofuatia Laki 4.8 hadi Mil 3 uko. Sasa naona una compete na wakina JBL.
  8. Pasta Joshua

    JamiiForums Tanzania Rejea kale🫵

    Watu wengi wa kale waliamini kuwa vitu vya asili kama miti, mawe, mito, jua, mwezi, na wanyama vilikuwa na roho au nguvu za kiungu. Jamii nyingi ziliamini kuwa roho za mababu zao zilikuwa na nguvu na zilihitaji kuheshimiwa ili kupata baraka au kuepuka maafa. Skuizi mnasali kwa Ai,saaa Zingine...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Waisraeli hawataji mapiramidi kabisa katika maandiko yao ya Agano la kale?

    Kwa kipindi kirefu na hata mpaka leo hii watu wengi sana wanashangazwa na piramidi za kale za Misri. Kuna mjadala mkubwa sana jinsi zilivyojengwa, ni nani waliozijenga na walipata hiyo teknolojia ya ujenzi. Piramidi ni sehemu ya maajabu saba makubwa zaidi ya dunia. Jambo la kushangaza ni kwamba...
  10. Burure

    JamiiForums Tanzania Wazee wetu wa kale

    Hivi ni kweli wazee wetu wa kale walishindwa kuweka misingi imara kuanzia ngazi ya familia Hadi kitaifa.. Kwanini kwenye Jamii zetu nyingi za kiafrika kila mtoto anayezaliwa ndiye anatakiwa kupambania ili ukoo ujikomboe na Umaskini? Waliotutangulia waliwahi kuja hapa kutuzaa ili watutegemee...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Je Malaika ni Hadithi za Kale au Wapo Hadi Leo

    Je Malaika ni Hadithi za Kale au Wapo Hadi Leo Malaika ni nani Neno la Mungu huwaeleza malaika kuwa roho wenye uwezo mwingi sana, na roho haionekani kwa macho ya binadamu (1Wafalme 22:21; Zaburi 34:7; 91:11). Biblia husema kwamba, “katika yeye (Yesu), vitu vyote viliumbwa, vilivyo mbinguni na...
  12. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Kwenye biblia uafrika umetajwa mara nyingi 56 kwenye agano la kale ila mzungu ndo anapewa hatimiliki ya biblia na ukristo

    Katika jamii ambayo watu ni rahis kuwa brainwash basi ni waafrika Mfano:- neno kush likimaanisha mwafrika limetajwa mara nyingi sana mke wa musa alikua ni mwafrika, sefania alikua ni mwafrika na malkia wa sheba alikua ni mwafrika Ila ni kawaida sana kukuta mwafrika anawapa umiliki wa ukristo...
  13. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kale kamsemo ka ''tunajenga timu'' katahamia Jangwan safari hii?

    Viwango vya wachezaji wa Yanga vimeshuka,Aziz Ki injini ya timu hata timu ya Taifa hajaitwa yupo zake Tabata snall planet anakula shisha,kutoka kushinda tuzo ya mfungaji bora mpaka kuwa na holi moja katikati ya msimu,Dube mpaka aombe radhi kwa wazee wa Azam,Pacome amesusa anataka kuondoka,timu...
  14. Magical power

    JamiiForums Tanzania Nina mwanaume ambaye hata kale 'kamoja tu' huwa ni shida

    Kaka Magical power, nina mwanaume ambaye hata kale kamoja tu huwa ni shida inasimama vizuri tu ile tu unaishikashika sababu nimefundwa lazima niishe kwa mkono wangu ndipo niiweke ukiichezea tu unaona tayari kamalizia mkononi hata hajafanya kabisa na ikitokea hivyo basi anavaa analala. Huwa...
  15. Magayor Mongolian

    JamiiForums Tanzania Wakristo na wale watalaam wa biblia, wanatheologia tunaomba ufafanuzi kwenye agano la kale

    Haya.
  16. Magical power

    JamiiForums Tanzania Hapo zamani za Kale – Hadithi kuhusu Afrika.

    Hapo zamani za Kale – Hadithi kuhusu Afrika. Yaaminika bara la Afrika ndilo chimbuko la mwanadamu. Bara hili limekuwa makaazi ya falme nyingi na pia lililopoteza watu wake wengi kupitia biashara ya watumwa. Hapo zamani za Kale – Hadithi kuhusu Afrika Yaaminika bara la Afrika ndilo chimbuko la...
  17. dosho12

    JamiiForums Tanzania Historia ya jamii za kale

    Wote tunajua kuwa binadamu aliumbwa na MUNGU na kutuma rangi, jamii na mataifa tofauti tofauti hii ni katika dini ya kiislamu, wakristo na wayahudi, wana sayansi wakaja na theory yao kwamba binadamu ametokana na nyani na akaanza ku develop kadri siku zinavyoenda ila kuna jamaa mmoja anaitwa...
  18. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Utapeli na wizi wa wachungaji ni marudio ya wamisionari wa kale

    Tunasikia vilio na malalamiko kuhusu wachungaji wenye kuwatapeli waumini wao na wasio waumini wao. Wenye kuamini miujiza ila utapeli huo wa kisasa zaidi mchungaji anatoa chupa ya maji na udongo ,wewe unampa pesa. Ukirudi nyuma utapeli huu haukuanza leo ulianza kale wamisionari...
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yanauma lakini kuna kale ka-feeling mkizama kwenye dimbwi la mapenzi

    Mimi sijawahi kuachwa, sina uhakika sana na uchungu wa kuachwa, lakini kupitia nyinyi nimejiridhisha kwamba mapenzi yanauma na matokeo yake ni kudhoofu afya na roho. Pamoja na karaha zake asikwambie mtu mapenzi ni matamu sana. Utamu wa mapenzi hakuna maneno ya kutosha kuelezea. Kwa waliowahi...
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Wangapi tuko yanga ila kale Ka wimbo ka mnyama hana mpinzan huwa tunakaimba

    Yanga ni team ya ukoo wangu team namba moja naipenda yanga sana kama navyoipenda JamiiForums au pombe ila kuna kawimbo fulani cha simba huwa nakaonea wivu sana kakipigwa najikuta naimba. Sio leo toka zamani Mnyama hana mpinzan Hatushikiki Kiki Hatukamatiki kiki Watoto wa Dar Watoto wa...
Back
Top Bottom