Mazishi ya Kaka wa Lissu

Mazishi ya Kaka wa Lissu

Nashauri ndugu wa marehemu wasimruhusu kiongozi wowote wa chama au serikali ya CCM kuja kwenye mazishi ya ndugu yao! Hawa sio watu kabisa kabisa!
huu ni ushauri tenge!. Pamoja na tofauti zetu kisiasa, Watanzania ni wamoja kwenye shida na raha, na kwenye shughuli za kijamii!, mfano mimi ni CCM, kuna CCM wengi tuu wanatamani Lissu atendewe haki.

P
 
Hao ccm wengi mnaotamani haki kwa nini msiliseme hilo wazi kwa huyo mzanzibari wenu? Huko kutamani kwenu haki kimoyomoyo kunasaidia vipi haki kutendeka?
 
we jinga kweli kisa lisu yuko chadema ndio familia nzima imfate ?alafu msiba hua wa wote siasa usilete kwenye maisha halisi
 
huu ni ushauri tenge!. Pamoja na tofauti zetu kisiasa, Watanzania ni wamoja kwenye shida na raha, na kwenye shughuli za kijamii!, mfano mimi ni CCM, kuna CCM wengi tuu wanatamani Lissu atendewe haki.

P
Njoo msibani kama ww CCM! Ongozana na jaji ndunguru anayeandaa charge sheet ya juu kwa juu utadhani ye DPP
 
we jinga kweli kisa lisu yuko chadema ndio familia nzima imfate ?alafu msiba hua wa wote siasa usilete kwenye maisha halisi
Phala kweli wewe, siasa wkt mmemfunga mtu kwa kesi tofauti na aliyoshtakiwa nayo! Unadhani jela Sheraton hotel? mpeleke mumeo akakae week tu.
 
walah naona mwisho mbaya sana
Wa Nchi yetu pendwa! Jiwe alaaniwe huko alipo, ndio source kwa yote haya
 
Back
Top Bottom