kaka

Ricardo Izecson dos Santos Leite (Brazilian Portuguese: [hiˈkaɾdu iˈzɛksõ duˈsɐ̃tus ˈlejt͡ʃi]; born 22 April 1982), commonly known as Kaká (Portuguese: [kaˈka] (listen)) or Ricardo Kaká, is a Brazilian retired professional footballer who played as an attacking midfielder. Owing to his performances as a playmaker in his prime at A.C. Milan, a period marked by his creative passing, goal scoring and dribbles from midfield, Kaká is widely considered one of the best players of his generation. With success at club and international level, he is one of eight players to have won the FIFA World Cup, the UEFA Champions League and the Ballon d'Or.Kaká made his professional club debut at age 18 at São Paulo in Brazil in 2001, and his performances with the club led him to joining Serie A club AC Milan in 2003. In Italy, Kaká helped Milan finish runners up in the 2004-05 UEFA Champions League with him being the top assist provider of the tournament, and named the UEFA Club Midfielder of the Year. He led Milan to win the 2006-07 UEFA Champions League and was the tournament's top goal scorer. His performances saw him win the FIFA World Player of the Year, the 2007 Ballon d'Or, the UEFA Club Footballer of the Year and the IFFHS World's Best Playmaker awards. After six years with Milan, Kaká joined Real Madrid in 2009 for a transfer fee of €67 million, which was the second highest transfer fee at the time. However, after four injury troubled seasons in Spain, which saw his physical mobility rapidly decline, he returned to AC Milan for a single season in 2013, prior to joining MLS expansion club Orlando City. He initially returned to his former club São Paulo on loan, before relocating to the United States in 2015 and retiring in 2017.
Kaká made his debut for the Brazil national team in 2002, and was selected for their victorious FIFA World Cup squad that year, as well as the 2006 and 2010 tournaments. He was also a member of Brazil's 2005 and 2009 FIFA Confederations Cup-winning squads, winning the Golden Ball Award in 2009 as the tournament's best player.
In addition to his individual awards, between 2006 and 2009 he was named in both the FIFA World XI and the UEFA Team of the Year three times. In 2010, he was named in the A.C. Milan Hall of Fame. One of the world's most famous athletes during his playing career, Kaká was the first sportsperson to amass 10 million followers on Twitter. Off the field, Kaká is known for his humanitarian work, where he became the youngest ambassador of the UN World Food Programme in 2004. For his contributions on and off the pitch, Kaká was listed by Time as one of the world's 100 most influential people in 2008 and 2009.

View More On Wikipedia.org
  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kaka alizinguana na mzee baada ya kukataa kusomea ualimu

    Mwaka 1998 kaka aligoma kabisa kusomea ualimu japo mzee alikuwa alikuwa mwalimu bado hajastaafu. Ukawa mvutano mkubwa mno basi bro akaona aoe Mzee hakutoa mahali na akamtimua yule binti kabisa. Mambo yakawa si mambo mama anasema anasema muache mzee anasema utasepa nae ndoa ikaingia mgogoro...
  2. McLaren

    Rafiki yangu kampa kadi ya benki mke wake na akipata mshahara wote anampa mkewe. Yuko sawa kweli?

    Wakuu, Hivi hii imekaaje? Nina rafiki yangu ambaye tulisoma nae pamoja na kwa sasa anafanya kazi kwenye moja ya taasisi kubwa sana hapa nchini. Jamaa take home ni around ya 1.5 Million kwa mwezi na ajira yake ni ya uhakika maana hiyo taasisi anayofanyia kazi ina muingiliano na masuala ya...
  3. Munch wa Annabelle

    Je Adam ni kaka au mdogo wake Yesu?

    “Adamu, mwana wa Mungu.” Luka 3:38
  4. Lycaon pictus

    Amepewa kichapo na kaka wa mke wake baada ya kumpiga mkewe ni sahihi?

    Jamaa moja huko Nigeria amempiga mke wake. Kaka wa mke wake wamefika nyumbani kwake na kumpatia kipigo kitakatifu. Hili suala limekaaje?
  5. MamaSamia2025

    Kila mtu angependa kuwa na kaka kama Alute Mughwai

    Mdogo mtu huwa anapitia misukosuko mingi ila kaka mtu kamwe hajawahi kaa pembeni. Tundu Lissu ana bahati kuwa na kaka kama Alute. Hakika Alute ni mfano wa kuigwa. Apewe tuzo ya kaka bora. Ila pia Tundu Lissu anaonyesha ana adabu kwa wakubwa zake kwenye familia ndo maana kaka yuko naye bega kwa...
  6. Dabil

    Uliwakuta baba na kaka zako wakitamba na ipi?

    1 2. 3. 4.5.
  7. msuyaeric

    Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

    Wakuu Habari zenu! Kiukweli wanawake wamezidi sana kuomba pesa yaani ukienda WhatsApp ni hatari, ukikaa kidogo kwenye SMS utasikia nikwambie kitu kumbe unaombwa hela. Jamani tabia hii kwa wanawake imekuwa kero kuliko hata wale wanaoomba msaada barabarani. Bora hela yangu nimpe yule mtoto mdogo...
  8. Tunguja

    Mkeo kumtumia kaka yake picha ya damu ya blidi,je ni sahihi?

    Mkeo ana tatizo la kutokwa damu muda mrefu sana,Siku ya siku ya anakwambia ameamua kumtumia picha ya damu kakaake ili ajue madhila anayopitia, Huamini unaamua kuchukua simu yake ili ujionee mwenyewe kweli unakutana na picha sambamba na ujumbe unaosema "Hii ndio hali ninayopitia dada yako kwa...
  9. W

    GE2025 Kaka wa Babu Tale, Iddi Shaban Taletale autaka udiwani wa Makurumla, Ubungo kupitia CCM

    Iddi Shaban Taletale ambaye ni Kaka wa @babutale amechukua fomu tayari kujitosa kuwania Udiwani Kata ya Makurumla Ubungo jijiini Dar Es Salaam. Source: Crown TV
  10. matunduizi

    Kama wakristo wote na viongozi wetu ni watoto wa Mungu, KWA nini waitwa Baba Mchungaji/Askofu badala ya Kaka Mchungaji/Askofu ili Baba abaki Mungu tu?

    Biblia imasema watu wanapomokea Yesu wanafanyika KUWA watoto wa Mungu. Wale waliowaongoza kumjua Yesu KWA KUWA wamewatangulia kwenye imani watakuwa Kaka ZAO sio Baba. Kwa hiyo napendekeza badala ya kuwaita Baba Mchungaji, au Baba askofu au Baba mtakatifu au Baba mtumishi litumike NENO Kaka...
  11. kiss ov love

    MREJESHO; Wa Kaka yangu aliyechanganyikiwa

    Guys, yule kaka yangu niliyewaambia alipatwa na ukichaa kwa mara ya pili baada ya kukabidhiwa pikipiki mpya, sasa tulihangaika na tiba kwa mtaalamu. Kwasasa ana nafuu kubwa kabisa japokuwa bado hajatulia kuna muda anakuwa anahisi kama watu wanaokuja kumuona wanataka kumfanyia vitu vibaya ila...
  12. Komeo Lachuma

    Kiongozi Mkuu wa Hamas, Mohammad Sinwar kapelekwa kwa kaka yake Yahya Sinwar

    IDF hawacheki na wowote. Pamoja na Hamas kwa sasa kujaribu kuchagua viongozi wao kimya kimya bado IDF wanapoamua kuwa check wanawacheck tu. Kaka yake Mohammad alifumuliwa komwe na hao Mayahudi. Sasa dogo naye kapelekwa jehanamu akapate mabikra 72.
  13. Chizi Maarifa

    Huyu Demu aliyesababisha kaka zake wanigonge Makonzi akawa anacheka

    Heeeeeeh....binadamu hukutana milima haikutani. Huyu demu wakati mi nasoma kidato cha 3 nlikuwa nampenda sana.yeye alikuwa kidato cha 4. Basi ikawa alitoka shule mi nasimama getini jioni anarudi home kwao. Alikuwa demu mkali sana mpaka namwogopa. Nlikuwa namtizama mpaka napigwa ganzi. Yaani...
  14. Dalali wa Mjini

    King Kaka a.k.a Kaka Sungura a.k.a Rabbit a.k.a Kaka Empire

    Leo nimeskiliza nyimbo mbili Za huyu Msanii kutoka Kenya. King Kaka (1) Swahili Shakespeare (2) Wajinga Nyinyi. Daah huyu jamaa anajua kuandika Bana.
  15. fimboyaukwaju

    NAKUVULIA KOFIA KAKA YETU MKUBWA

    1.KUOLEWA KWA MDOGO WETU WA MWISHO. Kaka yetu kwa sasa ni mzee anakaribia miaka 90 na anaishi nje ya nchi kwa sasa. Ni mtu ambae sijawahi kuona jinsi alivyo na heshima,adabu,nidhamu,utulivu na utu wa ajabu kabisa.Kila siku namuombea kwa Mola ampe maisha marefu. Kaka alivyoondoka,mimi tayari...
  16. Nusratt

    Natafuta Kaka au Dada wa hiyari wa kuchat nae nje ya Jamii Forums

    Ni dada wa miaka 45 Nimepanga Sijaolewa Ni mfanyabiashara ndogondogo Niko jijini Dar Es Salaam Nitashukuru sana.
  17. kiss ov love

    Huyu kaka jirani simuelewi kabisa

    Nilipohamia hapa kuna mkaka nimemkuta huyu jirani simuelewi kabisa ananitumia meseji muda wote, nikitoka nje nikimwangalia ananionea aibu, na sijawahi kumuona na mwanamke ila anaonekana ana mambo mengi maana muda wote anaongea na simu tu. Nimewamiss wana jukwaa😍🙂‍↕️😔
  18. K

    Nimechoka na matusi ya huyu kaka yangu mwenyewe Miaka zaidi ya 40

    Jamani mpk naandika huu uzi hatujalala tunakesha kila siku Kimsingi huyu ni kaka yangu mkubwa kabisaa wa mwaka 84 tumeshare mama.. Yeye ni mkandarasi.sijajua tatizo ni bangi ama amerogwa.. maana bangi ni chakula kwake na mapombe Huyu ndugu yangu atakuja kumuua mama yangu na presha kama sio...
  19. N

    Uyu kaka ameniganda nataka nimuache

    Yamenikuta mwenzenu mimi!! Nipo ktk mahusiano na uyu aka kwa miaka 3, mwanzoni tulikua tunaelewana vizuri lakini kipindi kama cha miezi sita tunafarakana kila wiki. Kila nikitaka kuachana nae uyu kaka analia hadi ananipigia magoti nisimwache!! Nimechoka kua nae!! Nataka niachane nae nitafute...
  20. Setfree

    Jamani kaka yangu; hayo unayomfanyia wifi yangu, Mungu anakuona!

    Kila siku wifi anaamka alfajiri, anakuchemshia maji ya kuoga. Anafanya usafi wa nyumba, anapika chai, anaogesha watoto. Anaenda kutafuta mkaa, anahakikisha familia imepata chakula. Sokoni anakazana—anauza maandazi ili watoto wapate ada ya shule maana wewe huwalipii. Jioni inamkuta bado kwenye...
Back
Top Bottom