kahawa

  1. Akotia

    Jipatie a 800ml french press pamoja na kahawa bure kwa 89,000Tsh tu.

    Kwa wale wadau wa kahawa,french press madhubuti sasa zimekuja tena. Ukinunua unapewa na kahawa 200 gram quality buree ya kuanzia maisha.
  2. M

    Mmejazana kwenye kijiwe cha kahawa hapo stendi ya Zamani Chato mkifurahia Manunga ,Mbunge wenu na wenzake kupandishwa mahakamani

    Mna mambo ya ajabu sana hapo Chato. Ndio mmepata story ya kufurahia? Kwa hiyo kwa hii CCM mnadhania watafungwa?
  3. Akotia

    Brewa Coffee: Kahawa Bora Zaidi Tanzania – Inayotikisa Soko kwa sasa.

    Kama wewe ni mpenzi wa kahawa ya kweli,karibu Brewa. Hatuuzi mazoea, tunauza ubora na ladha halisi inayotoka kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro. Bidhaa zetu ndizo zinazoongoza kwa mauzo kwa sasa kwa sababu hatuna mpinzani kwenye swala la freshness. Kahawa yetu inakaangwa (roasted) na...
  4. Mafyangula

    Zamani bidhaa kuu ya uuzaji nje ya kenya Ilikuwa Kahawa. Sasa ni kazi ya watu

    Kwa miaka mingi, bidhaa muhimu zaidi ya Kenya iliyokuwa ikiuzwa nje ya nchi ilikuwa kahawa. Leo, ni wafanyakazi. Fedha zinazotumwa nyumbani na Wakenya wanaofanya kazi nje ya nchi sasa zinachangia sehemu kubwa zaidi ya uchumi wa Kenya kuliko kahawa au chai — jambo ambalo rais wa nchi hiyo...
  5. Sifi Leo

    Tazama vikombe vya kahawa

    Wee chungulia TU, jiulize kwa Nini havikunywewa. Kataaa muhuni
  6. amshapopo

    Kiwanda cha kahawa CMS Mbozi hakidhibiti vumbi la pumba za kahawa, NEMC fuatilieni

    Habari, Hiki kiwanda kipo mji wa Mlowo kina husika na kukoboa kahawa ila cha kushangaza hakidhibiti vumbi la pumba ya kahawa lisiende kwenye makazi ya watu. Hali hii imekuwa ni kero kwetu sisi wakazi na kutusababishia vifua vya mara kwa mara. Tunaomba NEMC mfuatilie na mchukue hatua stahiki
  7. Munch wa Annabelle

    Karibu asilimia 80 ya agano jipya ni maneno ya wanywa kahawa wa zamani

    Katika Agano Jipya: 1. Maneno ya Yesu: - Yanakadiriwa kuwa asilimia 18-20 ya Agano Jipya yote (kutegemea tafsiri na muundo wa Biblia). Haya yanapatikana zaidi kwenye Injili Nne (Mathayo, Marko, Luka, Yohana), na mara nyingi huandikwa kwa herufi nyekundu kwenye baadhi ya Biblia. 2. Maneno ya...
  8. M

    Eti nauza dawa ya kuacha Pombe! Kha unataka niwe nakunywa kahawa?

    Nimekereka sana na huyu mmasai. Mbaya zaidi ananifuata ofisini kwangu! Niwe nashinda kwenye vijiwe vya kahawa ? Niache ugimbi kweli?
  9. ubuntuX

    Kahwa safi na fresh iliyokaangwa chini ya saa 48

    Kama mdau niliebahatika kulelewa kwenye mazingira ya kutegemea kilimo cha kahawa kwetu Arusha, nilikua nasikitika sana watumiaji wengi wa kahawa kutojua ladha halisi na fresh ya Kilimanjaro. Kahawa nyingi sio fresh aidha zimekaa sana au quality ya Buni ni sio nzuri. Kwa miaka mitatu iliyopita...
  10. ngara23

    Serikali imekatisha tamaa wakulima wa kahawa mkoa wa Kagera

    Serikali mmetufanyia dharau wakulima wa kahawa Mwaka Jana tuliuza kahawa bei ya 7000+ Kwa kilo Mwaka huu mmetoa bei elekezi ya kuanzia angalau sh 5500 Ila ajabu bei imeshuka Jana mnada bei imetoka sh 3000 na inasemekana bei utashuka zaidi Wanunuzi wengi wamesusa kununua kahawa, ikisemekana ni...
  11. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Nimeenda mitaa kadhaa hapa kahama ukifika kijiweni wee sema tu CCM HAINA USHAWISHI TENA Kisha Endelea kunywa kahawa Yako.

    Ni dhahiri kabisa ccm watu hawapendi hata kidogo kabisa wiki iliyopita nilikuwa geita basi nilikuwa nikifika kijiweni natupia tu Ccm Haina mashiko/ushawishi kabisa Kwa Sasa halafu natulia kuskilizia....mada ilikuwa inadakwa juujuu na inakuwa ya moto kweli.... Japo kwenye kundi la mamba kenge...
  12. Just Pray

    PreGE2025 Waziri Bashungwa: Watu walichanga 2020 ili niwe mbunge wa kipindi kimoja kusudi ufisadi uendelee ushirika

    Serikali inaendelea kusimamia sera nzuri na mifumo madhubuti ya usimamizi na uuzaji wa kahawa, kwa lengo la kuhakikisha wakulima wa zao hilo wanaendelea kunufaika kwa kupata bei nzuri na yenye tija. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Karagwe, Innocent...
  13. Roving Journalist

    Bashungwa: Serikali itaendelea kulinda maslahi ya Wakulima wa Kahawa, Polisi washughulikie wizi wa kahawa

    Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea kusimamia sera nzuri na mifumo madhubuti ya usimamizi na uuzaji wa kahawa, kwa lengo la kuhakikisha wakulima wa zao hilo wanaendelea kunufaika kwa kupata bei nzuri na yenye tija. Kauli hiyo imetolewa na Waziri...
  14. S

    Abaa lete haluwa na kahawa - Tuwaone waTanganyika kama wanayaweza ya waZenji.

    Nakumbuka Maalim Seif na wenzake walishitakiwa na kesi ya Uhaini , Nakumbuka Wazenji nchi nzima ya Zanzibar waliandamana ,yote ni kupinga dhuluma za CCM. Nakumbuka polisi na majeshi hupelekwa Zanzibar kila unapokaribia uchaguzi kwa kutekeleza agizo la CCM kuwakandamiza wazenji na atakae nyanyua...
  15. benybeny

    Je ni kweli kahawa inaongeza hatari kwa mwanaume kupata tatizo la tezi dume kuvimba

    Habari wakuu Ivi ni kweli kahawa hua inaongeza hatari kwa mwanaume kupata tatizo la tezi dume kuvimba . Hii ni kutokana na experience niliyoiona kwa sehemu ambazo zinazalisha zao la kahawa wanaume wengi ambao wana umri wa miaka zaidi ya 45 kua na tazizo hili. Kwenu wakuu
  16. Ojuolegbha

    Kahawa ya Tanzania kukuza ushirikiano wa kiuchumi baina ya Tanzania na Italia

    Kahawa ya Tanzania kukuza ushirikiano wa kiuchumi baina ya Tanzania na Italia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameshiriki katika Mdahalo wa Wadau wa kukuza mnyororo wa thamani wa kahawa inayozalishwa barani Afrika uliofanyika pembezoni...
  17. nusuhela

    Kwa wenye mitaji tunaingia msimu wa kahawa

    Nipo mbeya vijijini kwa sasa ni msimu wa kuvuna maharage. Kuanzia mwezi wa nne, tunaanza kuvuna zao la kahawa. Nimeona kuna watu wengi wanaojihusisha na ununuaji wa kahawa mbichi (cherry) na kavu. Nimekuja kwenu baada ya kufanya utafiti wa biashara hii. Hii biahsara ina faida kwa wenye...
  18. Mshana Jr

    Pongezi kwa wakulima wa kahawa Tanganyika

    TANZANIA imetajwa kuwa mzalishaji bora wa kahawa ya Robusta baada ya aina ya Chama cha Ushirika cha Kilimo cha Wilaya ya Ngara (AMCOS) kushinda tuzo ya Ladha ya Mavuno ya 2025 iliyotolewa na Chama cha Wazalishaji Kahawa Bora Afrika (AFCA). Wakiwakilishwa na Ubumwe Company Ltd, wakulima...
  19. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Wanywa kahawa tu:-Hivi kuna kahawa nzuri yenye kuchangamsha kama Nescafe Gold?

    Wakuu sijui ni kuwa addicted tu au ndo uhalisia ulivyo mimi kahawa yangu pendwa ni Nescafe Gold huniambii kitu asee. Kwanza huwa haina uchungu wala ladha za ajabu ajabu ladha yake imetulia Bali na hayo yote inachangamsha sana. Vipi wewe kahawa yako pendant ni ipi?
Back
Top Bottom