kagera

Kagera is one of Tanzania's 31 administrative regions. The region is located in the northwestern corner of Tanzania on the western shore of Lake Victoria. The region neighbors Uganda, Rwanda, and Burundi and lies across the lake from Kenya. The region was known as West Lake before June 1979. The regional capital is the city of Bukoba. According to the 2012 national census, the region had a population of 2,458,023, which was lower than the pre-census projection of 2,763,329. For 2002-2012, the region's 3.2 percent average annual population growth rate was tied for the third highest in the country. It was also the ninth-most densely populated region, with 97 people per square kilometer.On September 10th 2016, the region was struck by an earthquake measuring 5.9 on the moment magnitude scale.
It was the biggest earthquake to have been recorded in Tanzania.Its attempted annexation by Uganda in 1978 triggered the Uganda–Tanzania War which culminated in the overthrow of Ugandan dictator Idi Amin on April 11, 1979, at the Fall of Kampala.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kichanga aliyepotea Kagera kwa siku 7 apatikana Dodoma

    Mtoto wa mwezi mmoja, Benitha Beneti ambaye alikuwa ameibwa nyumbani kwao Mtaa wa Migera, Kata ya Nshambya Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera amepatikana akiwa hai mjini Dodoma baada ya kupotea takribani wiki moja. Mtoto huyo aliibwa Desemba 01, 2022 akiwa amelala kitandani ndani ya nyumba baada...
  2. Lucky_senene

    JamiiForums Tanzania Senene kutoka Bukoba

    𝗞𝗮𝗿𝗶𝗯𝘂 𝘂𝗷𝗶𝗽𝗮𝘁𝗶𝗲 𝘀𝗲𝗻𝗲𝗻𝗲 𝗳𝗿𝗲𝘀𝗵 𝗻𝗮 𝘄𝗮𝘁𝗮𝗺𝘂 𝗸𝘂𝘁𝗼𝗸𝗮 𝗕𝘂𝗸𝗼𝗯𝗮 𝗸𝘄𝗮 𝗯𝗲𝗶 𝘆𝗮 𝟭𝟬𝟬𝟬𝟬𝗧𝘀𝗵. 𝗨𝗷𝗮𝘇𝗼 𝗻𝗶 𝟯𝟬𝟬𝗴. 𝗧𝘂𝗻𝗮𝗸𝘂𝗹𝗲𝘁𝗲𝗮𝗽𝗼𝗽𝗼𝘁𝗲 𝘂𝗹𝗶𝗽𝗼 𝗸𝘄𝗮 𝘄𝗮𝗹𝗶𝗼𝗽𝗼 𝗗𝗮𝗿, 𝗙𝗿𝗲𝗲 𝗱𝗲𝗹𝗶𝘃𝗲𝗿𝘆: �S𝗶𝗻𝘇𝗮, �M𝗮𝘄𝗮𝘀𝗶𝗹𝗶𝗮𝗻𝗼, �M𝗮𝗸𝘂𝗺𝗯𝘂𝘀𝗵𝗼 𝗻𝗮 �M𝘄𝗲𝗻𝗴𝗲. 𝗺𝗸𝗼𝗮𝗻𝗶 𝘁𝘂𝗻𝗮𝘁𝘂𝗺𝗮 𝗽𝗶𝗮. 𝗧𝘂𝗻𝗮𝗽𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮𝗻𝗮 𝘀𝗶𝗻𝘇𝗮 𝗸𝘂𝗺𝗲𝗸𝘂𝗰𝗵𝗮. 𝗧𝘂𝗽𝗶𝗴𝗶𝗲 𝗸𝘄𝗮 𝗻𝗮𝗺𝗯𝗮 𝟬𝟳𝟲𝟯𝟵𝟮𝟳𝟯𝟱𝟬 𝘁𝘂𝗸𝘂𝗹𝗲𝘁𝗲𝗲. 𝗞𝗮𝗿𝗶𝗯𝘂𝗻𝗶...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Karamagi ashinda Uenyekiti wa CCM Kagera

    Aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Mbunge wa Bukoba Vijijini mwaka 2005-2010 Naziri Karamagi ameibuka kidedea ametangazwa kuwa mshindi katika nafasi ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kagera baada ya kupata asilimia 58 ya kura zote zilizopigwa Karamagi amemshinda mwenyekiti anayemaliza muda wake...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wananchi Kagera walia na uchafu mtaani

    Baadhi ya wakazi wa Kata za Bilele na Bakoba katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, wameiomba serikali kuwachukulia hatua kali wananchi ambao wanazalisha taka na kuzitupa katika Mto Kanoni, maana kufanya hivyo wanahatarisha afya na usalama wao. Wakazi hao wamesema kuwa tatizo hilo...
  5. rutajwah

    JamiiForums Tanzania Natafuta vijana wenye ujuzi walio na ujuzi wa kiufundi walio mkoa wa Kagera tuungane tujikwamue kimaisha

    Habari wanjf, kutokana na tatizo la ajira linaloendelea hapa nchini, ujuzi wa ufundi ndo suluhisho pekee la kuondokana na changamoto hii. Hivyo natafuta vijana ambao wako tayari kujikwamua kimaisha ila wamekwama kwa namna moja au nyingine waje tuunganishe nguvu mawazo ili tupambane na...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kagera: Polisi waua watatu waliodhaniwa kuwa Majambazi

    Kamanda wa Polisi Mkoa, ACP William Mwampagale amesema tukio lilifanyika kwenye operasheni maalumu baada ya kupata taarifa kuwa kuna kundi la watu waliopanga kufanya uhalifu. Amesema kundi lilikuwa na wanaume 5 na katika uchunguzi wa awali walibaini wamekuwa wakifanya matukio ya unyang’anyi wa...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania RC wa Kagera Chalamila hizo Milioni 10 za Rais Samia kwa Wavuvi Waokoaji ni za kuwapa Wagawane au Wafunguliwe Akaunti Benki?

    Rais Samia alipotoa hizo Pesa Tsh Milioni 10 alisema wazi kabisa kuwa ni Asante kwa Wavuvi kwa Uokoaji wa Manusura wa Ajali ya Ndege Mkoani Kagera ya Precision Air na hakusema kuwa Wafunguliwe Akaunti Benki kama ulivyofanya Wewe. Kwanini unakuwa na Kiherehere sana Wewe? Na kama kweli nia yako...
  8. Execute

    JamiiForums Tanzania Erick Mwijage alimwambia Djigui Diarra upande atakaopiga penati katika mchezo wa Yanga na Kagera sugar jana

    Ushahidi wa picha unaonesha Diarra akienda na kuinama kisha Mwijage naye akainama pale wakanong'onezana. Diarra alipangua penati ile nyepesi.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kagera sugar mmeshindwa kuifunga Yanga leo ikiwa imechoka basi Yanga itaendelea kuwa unbeaten mpaka mwisho

    Nilitegemea sana Yanga leo kucheza chini ya kiwango na hilo limeonekana dhahiri shahiri wachezaji wamechoka sana ratiba ya ovyo ovyo hii sijawai kuona, Pamoja na yote wachezaji wamecheza kikubwa na kushinda kikubwa cha muhimu leo ilikuwa ni point 3 na zimepatikana ashukuriwe Mungu. Pongezi sana...
  10. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Hatma ya Kagera ipo mikononi mwa wenyeji wake

    Mimi huwa ni mfuatiliaji wa mada mbalimbali zinaziobukaga humu ndani kuhusiana na maendeleo ya mikoa mbalimbali ikiwemo ya Kagera. Pamoja na kwamba mada nyingi huwa zinaishia katika mabishano ya kuwashutumu wanaKagera kwa majivuno, na wengine wakisema ni wavivu lakini kuna mambo fulani huwa...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kagera? Kunahitajika suluhisho la Kisiasa au Kisayansi?

    Ni swala la kuhuzunisha kuona kila janga linawaangukia wana Kagera. Mv Bukoba, Karena. Tetemeko Kagera, Ndege Kagera. Inamfanya mtu kujiuliza: je, tatizo ni nini? Au Serikali inangalie kama ni kitu scientific na Kagera kinachoipelekea mkoa huu kuwa na majanga makubwa ya kitaifa.
  12. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Bajeti iliyojenga Uwanja wa Chato, ilipangwa kujenga Uwanja wa Omkajunguti Mkoani Kagera

    Athari za maamuzi ya Hayati Magufuli zinazidi kuiathiri nchi. Laiti Uwanja wa Omkajunguti ungekuwa umejengwa Mkoani Kagera, pengine ajali hii ya Precision isingetokea.
  13. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu shughuli za uokoaji huko mkoani Kagera

    Wakuu haya Maoni yangu kuhusu shughuli za uokoaji. 1. Kwa hali ilivyo sasa hivi utegemezi wa Jeshi la Zimamoto pekee hautoshi kwenye majanga yanayohusisha ndege. Inashauriwa tuwe na mfumo wa pamoja wa uokoaji (Integrated rescue operation system) utakaokuwa na Kikosi Maalum cha Uokoaji...
  14. Shark

    JamiiForums Tanzania Kagera Sugar Yamtimua Kocha Francis Baraza

    𝗧𝗛𝗔𝗡𝗞 𝗬𝗢𝗨 | 𝗙𝗥𝗔𝗡𝗖𝗜𝗦 𝗕𝗔𝗥𝗔𝗭𝗔 Uongozi wa Kagera Sugar Football Club umefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Fransic Otieno Baraza. Uongozi wa klabu unapenda kumshukuru Kocha Fransic kwa mchango wake mkubwa aliyouonesha ndani ya klabu kwa muda wote wa utumishi wake...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ras Samia azindua chuo cha VETA Mkoani Kagera

    RAIS SAMIA AZINDUA CHUO CHA VETA MKOA WA KAGERA. - Ni chuo Cha kisasa kilichogharimu Shilingi Bilioni 22 ikiwa ni ufadhili kutoka Serikali ya China. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Leo mezindua chuo Cha ufundi stadi na huduma VETA Mkoa wa Kagera ambacho Ujenzi...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki Makabidhiano na Uzinduzi wa Chuo cha Ufundi Stadi na Huduma Kagera, leo Oktoba 13,2022

    Rais Samia akishiriki Makabidhiano na uzunduzi wa Chuo cha Ufundi Stadi na Huduma Kagera, leo Oktoba 13,2022 Muonekano wa Majengo ya Chuo cha Ufundi Stadi na Huduma (VETA) kilichopo, Burugo Kata ya Nyakato Bukoba ambacho kimezinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu...
  17. nyboma

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Kagera umechoka sana

    Huu mkoa umechoka sana, ila ukipata stori za wenyeji ni kwamba kuna wazee wana hela sana na wana mifugo mingi. Ila katika kutembea Kagera ni mkoa ambao bado umejaa watu maskini, utasikia fulani yuko Minnesota, mara Texas ila ukweli unabaki palepale Kagera ni mkoa maskini. Usije ukawekeza, kuna...
  18. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Top ten ya wasanii ambao ni kama Kagera Sugar FC yaani namba moja hawashiki ila hawajawahi kushuka daraja.

    Wafuatao ni wasanii kumi ambao hawajawahi kuwa namba moja kwenye muziki lakini pia hawajawahi kupotea kabisa kwenye muziki yaani kwenye mpira tunaweza kuwafananisha na Kagera Sugar FC. Kama mjuavyo huwa Kagera haichukui kombe lakini pia haishuki daraja. 1. Ambwene Yesaya (AY) 2. MwanaFA 3...
  19. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Kwako Waziri mwenye sura nzuri Hussein Bashe;Benk ya Kilimanjaro cooperative Bank ibadili jina itapokelewa vyema mikoa ya kagera Mbeya Mwanza la sivyo

    Nikili wazi Mimi ni mdau mkubwa wa masuala ya kiushirika, kwani ni miongoni mwa vijana tulio zaliwa na kuona kabisa jinsi ambavyo bibi zangu walivyopanga foleni kwenye maduka ya ushirika kununua unga wa njano! Pamoja na hayo, lazima nikili yakuwa Kwa miaka takribani sita Sasa nimekuwa...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Chalamila, badala ya kuzunguka Mkoa wa Kagera ukilalamika na kuzogoa, tafuta Suluhu, vinginevyo wapinzani unawapa njia, shirikiana ujue tatizo

    Mkuu wa Mkoa wa Kagera, anacheza blame game. Kwa kagera hii itamtoa nje ya mchezo. Ni kweli Mkoa una changamoto, namshauri akae na wadau wa Mkoa. Waone mikakati na mbinu za kuukomboa Mkoa. Muda anaotumia kushambulia na kulalamika, hautasaidia lolote. Kahawa imekufa, sawa, lakini kina zao la...
Back
Top Bottom