kabwe

  1. Zitto Kabwe: Ni dhahiri tatizo la Umeme limetokana na kupuuzia Miradi ya Umeme wa Gesi Asilia

    Ni dhahiri tatizo la Umeme limetokana na kupuuzia Miradi ya Umeme wa Gesi Asilia. Uongozi wa sasa utupe jawabu la changamoto hii twende mbele. Changamoto ya Maji imesababishwa na nini? Nani alizuia Mradi wa Bwawa la Kidunda? Visima vya Kigamboni? Je tusubiri mvua? Isiponyesha?
  2. Zitto: Magufuli aliendesha nchi Kwa kudanganya, sasa tunatumia uongo ule kuwapima walioko madarakani

    ZITTO AMTETEA JANUARY MAKAMBA "Ukweli usemwe, awamu ya tano hakuna ongezeko la uzalishaji umeme lililofanyika, miaka5 bila kukarabati njia za umeme, Magufuli aliendesha nchi kwa kudanganya, sasa tunatumia uongo ule kuwapima walioko madarakani, hatujaogeza hata 1MW kwa miaka 5"@zittokabwe
  3. Zitto Kabwe: Vitalis Maembe aachiwe mara moja, anaonewa.

    Nawataka Jeshi la Polisi Tanzania @tanpol kumwachia Huru mara moja ndugu Vitalis Maembe. Polisi Mkoa wa Pwani wamefanya la hovyo sana kumkamata Vitalis kutokana na kazi yake ya kisanii ya wimbo wa Kaisari. Haivumiliki na tunataka Vitalis aachiwe Huru SASA HIVI https://t.co/QKqRbVOrqm
  4. Zitto Kabwe: Hayati Magufuli alikuwa ananichukia

    Kiongozi wa ACT ndugu Zitto Kabwe akiwa katika kipindi cha Salama Na kinachorushwa Dstv, amekiri kuwa Hayati Magufuli alikuwa anamchukia sana. Zitto ameongeza zaidi, Magufuli hakuwa na hekima, aliamini katika ubabe, hivyo nilianza kumpinga hapo ndipo chuki yake kwangu ilipoanza. Zitto alifika...
  5. Zitto Kabwe: Simbachawene usipigane na teknolojia, huwezi kushindana na kazi ya kukua kwa majukwaa ya mazungumzo

    Kupitia ukurasa wake wa Twitter bwana Zitto Kabwe amemuasa Waziri wa Mambo ya ndani bwana Simbachawene aache kuzuia social media kama space na Ch's badala yake yeye mwenyewe azitumie vizuri zitamsaidia kufikia watu
  6. Zitto Kabwe, James Mbatia Wahudhuria kesi ya Uhujumu Uchumi yenye Mashtaka ya ugaidi ndani yake inayomkabili Mbowe

    Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia ni miongoni mwa watu waliohudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe inayofanyika Leo Agosti 31, 2021 katika Mahakama kuu kitengo cha Uhujumu Uchumi Jijini Dar es salaam. Mwenyekiti wa TCD, Zitto...
  7. Zitto Kabwe aanza majukumu ya TCD

    Mwanasiasa Zitto Kabwe ambaye hivi karibuni alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa jukwaa la demokrasia nchini (TCD) ameanza majukumu yake hayo kwa kukutana na kufanya mazungumzo na bwana John Mnyika Katibu Mkuu wa CHADEMA taifa. Zitto Kabwe ameeleza dhamira yake ya kutumia jukwaa hilo kuleta...
  8. Hoja Saba za Zitto Zuberi Kabwe kwa yanayoendelea nchini

    Kupitia ukurasa wake wa Twitter anaandika Zitto. 1.Rais na Serikali yake wanajua wazi kuwa Mbowe Si gaidi,na hilo watanzania wote wanalifahamu kuendelea kumshikilia kwa mashtaka ya kubumba kunaenda kufuta matumaini ya dunia kwa Raisi Samia kuwa Tanzania ilianza kurudi ktk misingi ya Demokrasia...
  9. Zitto Kabwe, haya yote wewe hayakuhusu? Naona umeamua kunyamaza; hutaki kumshika mkono kipofu?

    Kwenye siasa Zitto anaendeshwa na mambo makuu mawili. 1. Pesa (Je, atafaidikaje kwa jambo fulani). 2. Position (Je, anaweza pata nafasi gani ya kumpatia kipato au deals ) 3. Imani (aliyeko madarakani ni Dini gani?) Hayo ndiyo humwendesha Zitto Kabwe. Kama Dini yako ni tofauti na yake lakini...
  10. Uongo wa Zitto Kabwe

    Fack check Supreme leader and Chief Advisor wa ACT Wazalendo Bw. Zitto Kabwe ameandika kwenye mtandao wa Twitter kua Tanzania haijawahi kutokea mkuu wa mkoa, RC ama mkuu wa wilaya DC kushtakiwa akiwa ofisini katika historia ya Tanzania. Zitto hua sio mwanasiasa wa kumuamini, wanasiasa wote ni...
  11. J

    Spika Ndugai anawatafuta Tundu Lissu na Zitto Kabwe Bungeni hawaoni, wapo akina Nusrat Hanje

    Ukimsikiliza sana Spika Ndugai anavyohuzunikia bunge lake ni kana kwamba anawatafuta wabunge wa " kujiripua" dhidi ya Serikali lakini hawaoni waliomo wote ni maajenti wa Serikali. Na itawezekana Ndugai ataweweseka zaidi kwa sababu akina Lembeli ambao walau waliisaidia CCM kuibana serikali...
  12. J

    Laana ya mzee Membe itaendelea kumtafuna Zitto Kabwe hadi ACT wazalendo itakapokufa

    Kitendo cha KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe kumtelekeza mgombea wa chama chake mzee Membe na kumuunga mkono Tundu Lisu wa Chadema wakati wa uchaguzi mkuu hakikuwa cha kiungwana kabisa. Kwa sasa Zitto Kabwe anafanana na Augustino Lyatonga Mrema kwa kila kitu katika medani za siasa. Laana ya...
  13. Zitto Kabwe ''awashukia'' vikali wanaozodoa ACT-Wazalendo kwa kushiriki Uchaguzi mdogo Kigoma

    Zitto Kabwe amewaambia wanaoizodoa Act-Wazalendo kwa kushiriki Uchaguzi Mdogo kuwa wanasumbuliwa na ushamba. Haya ameyaandika baada ya baadhi ya watu ambao anawaita ''wenzetu'' kuanza kumzodoa wakati walisusia uchaguzi na chama chake kikaheshimu uamuzi wao wa kususia uchaguzi. Maelezo haya...
  14. M

    Zito Kabwe ni msaliti na adui wa Demokrasia Tanzania

    Ukiangalia muendelezo wa mateso ya Upinzani wa ukweli Tanzania hasa CHADEMA, Zitto na Chama chake hawajawahi kuguswa. Ni maneno tu lakini CCM haimgusi. Zitto Kabwe hana ushirikiano na wapinzani. Siku zote ni SNITCH. Wapinzani wanapoelewana au kuafikiana, yeye Kama Lipumba, anakuja na mchanga na...
  15. S

    Zitto ni kweli anakubali kushindwa au anaficha aibu ya kutotaka kusikiliza ushauri wa wenzake?

    Ameandika hivi kupitia twitter: Tumekusanya matokeo ya uchaguzi katika vituo vyote 336 vya kupigia kura Jimbo la Muhambwe. Kura zetu, 41% ya kura zote, haziwezi kutupa Ushindi. Uchaguzi uliendeshwa vizuri. Kasoro kadhaa zilizojitokeza zisingebadili matokeo. Tunatumia uchaguzi huu kama Mafunzo...
  16. J

    CHADEMA hongereni kwa kuweka mpira kwapani mdogo wenu Zitto Kabwe analialia huko Muhambwe!

    Heri nusu shari kuliko shari kamili. Mbowe alisema Chadema haitashiriki uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi. Zitto Kabwe akasema kwa sababu hii ni awamu ya 6 hawana shaka yoyote na tume ya uchaguzi Leo wakati wananchi wanapiga kura kwa utulivu na amani Zitto Kabwe anaturejesha kwenye...
  17. GE2020 Zitto Kabwe avamiwa kwenye Uchaguzi mdogo Muhambwe

    Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe,akiwa na mgombea ubunge wa Jimbo la Muhambwe Julius Masabo wamevamiwa na watu waliokuwa kwenye magari matatu yanayosadikiwa kuwa ya CCM yakiwa na namba za Usajili T281BFG, T195JV na T148DFA. Katika uvamizi huo gari yenye namba DFA inasadikiwa kuwa...
  18. Picha: Zitto Kabwe juu ya meza ya kunywea kahawa. Anajitutumua

    Act wazalendo wanajitutumua ili kupata kura hapo tar 16
  19. F

    Rais Samia Suluhu Hassan, mteue Zitto Zuberi Kabwe awe Mbunge akaongeze chachu ya hoja Bungeni

    Bunge letu linahitaji kuongezewa chachu ya aina fulani ili liweze kuichambua kikamilifu Miswada ya Serikali. Vile vile Bunge letu linahitaji Sauti ya Upinzani yenye kukubalika mbele ya jamii yetu ya Kitanzania. Kwa kuwa Kada wawili wa CCM wamekuwa Wabunge wa Kuteuliwa, Humphrey Polepole na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…