kaburi

Kaburi is a Papuan language of the Bird's Head Peninsula of West Papua.

View More On Wikipedia.org
  1. Serikali ijenge kaburi "fake" la Hayati Magufuli pale Nyerere Square Dodoma sehemu ya wazi ili kila mtu apate kulitembelea

    Najua familia ya hayati Magufuli haiwezi kukubali baba yao azikwe upya Dodoma, ila serikali inaweza kufanya ujanja huu nawapa. Serikali inaweza kuongea na familia Watanzania wanyonge wanatamani kutembelea kaburi la mtetezi wa wanyonge hivyo wanaomba kuhamisha kaburi lake toka kule Chato mpaka...
  2. Kaburi la Mtoto lafukuliwa, mwili na Jeneza vyaibwa

    WAKAZI wa Kitongoji cha CCM-Senta, Kijiji cha Lwamugasa wilayani Geita mkoani hapa wamekutwa na sintofahamu baada ya kaburi la mtoto aliyezikwa kukutwa limefukuliwa na watu wasiojulikana. Akizungumza na waandishi wa habari juu ya tukio hilo, baba wa mtoto, Dismas John (35) alisema mwanawe wa...
  3. Chato: Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, atembelea kaburi la Hayati Magufuli

    Katika picha na Video ni Askofu Flavian Matindi Kassala wa Jimbo Katoliki Geita akiambatana na Mapadre, Watawa na baadhi ya waamini wa Jimbo Katoliki Geita, katika mapokezi ya Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo kuu la Dar es salaam Katika uwanja wa Ndege wa Chato...
  4. Viongozi wa vyama vingi vya Ushirika wa zao la kahawa Wilayani Mbinga wanafanya kazi kwa lengo la kujinufaisha

    Viongozi wa vyama vingi vya Ushirika wa zao la kahawa Wilayani Mbinga wanafanya kazi kwa lengo la kujinufaisha wao wenyewe badala ya wakulima wa zao hilo. Wakulima wa zao la Kahawa wanafanya kazi wakati wa mvua na jua kwa kipindi cha mwaka mzima, lakini kwa asilimia kubwa wanaonufaika ni...
  5. Hayati Magufuli baba wa uchumi wa Taifa la Tanzania, kaburi lake linawatisha wabaya wake na wametishika

    KABURI LA MAGUFULI KULE CHATO BADO LINATISHA Agenda ya Upinzani kwa sasa ni Kulishambulia Kaburi la JPM na JPM mwenyewe. Toka wameruhusiwa kufanya mikutano ya Hadhara wameshindwa kuleta hoja zinazohusu wananchi badala yake wanapambana na Marehemu. JPM hakuwa wa kwanza kuongoza nchi kwa namna...
  6. Nilivyopambana maiti ya tajiri isizikwe kwenye kaburi langu

    Kule New York kuna makaburi fulani yanaitwa Green Wood Cemeteries, pale hazikwi mtu yoyote, ni mastaa na matajiri, unalipia hela nyingi.nilikuwa naona kama uchuro fulani kununua sehemu utakayozikwa ila baadae nilijua umuhimu wake. Hata hapa nchini utaratibu huo upo wa kununua plot mapema ya...
  7. S

    Nataka kwenda kwenye kaburi kule Chato tarehe 17 March. Naombeni utaratibu

    Nataka kwenda kulishughulikia lile kaburi. Nitalishughulikiaje? Naomba ibakie siri yangu tu. Lakini mpende msipende tarehe 17 nitakuwa huko kulishughulikia Ili iwe funzo kwa viongozi mliopo madarakani kuwatendea mema wananchi kama afanyavyo mama. Mama wa watu kaombwa 1. Katiba ... Kakubali 2...
  8. Maajabu ya kaburi linalotoa moto, watu wanashangaa hawana kitu cha kufanya

    Maajabu ya Mwenyeezi Mungu Watu wameshangaa kuliona kaburi Moja likitoa moto Hawana kitu cha kufanya.
  9. CHADEMA wanapaswa kwenda Butiama kwenye kaburi la Mwalimu Nyerere

    Kwa vile CHADEMA wapo Mara, ingefaa kama wangekwenda kulizuru kaburi la Mwalimu. Kwa sababu inafaa kama watu wanafanya shughuli za kisiasa Mara wapite kumsabahi Mwalimu. Inafaa watu wanaotaka kuongea na Watanzania,waende kwanza kumsabahi Mwalimu. Inafaa watu wanaotaka kuongea na Foreigners...
  10. Vijana wengi wa kikristo huchelewa kuoa ama hawaoi ni ushahidi tosha kwamba ndoa za kikristo ni gereza

    Ni kawaida sana kukuta vijana wa kikristo hasa huku mijini na kwenye majiji wanaoa hadi wafike 33. Wengine wanaishi na wanawake majumbani na wana watoto lakini hawana ndoa. Kwa vijana wengi wa kiislam ninkawaida kukuta ashaoa akiwa na 23 hadi 25. Huu ni usbhahidi tosha kwamba ndoa za kikristo...
  11. Mwanafunzi wa darasa la 4 ajinyonga, adaiwa kujichimbia Kaburi kabla ya tukio hilo

    Wakazi wa Kaunti ya Kirinyaga wameibua wasiwasi kuhusu visa vya watoto kujitoa uhai baada ya mtoto wa miaka 10 kujiua katika Kijiji cha Kibingoti Kaunti Ndogo ya Ndia. Mwanafunzi huyo wa darasa la 4 anasemekana kujinyonga ndani ya nyumba yao katika kijiji cha Kibingoti siku ya Jumanne. Kwa...
  12. Kaburi la Tewa Said Tewa Makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni

    KABURI LA TEWA SAID TEWA MAKABURI YA MWINYIMKUU MAGOMENI Tewa Said Tewa kwake nililokuwa mtoto wake mwanae kabisa. Mzee Tewa Said Tewa akijuana na baba yangu toka udogoni na ujana wao. Mzee Tewa akaniamini kama baba anavyomwamini mwanae. Mzee Tewa alipojua naandika kitabu cha historia ya...
  13. Kaburi lafukuliwa Mbeya, mwili wanyofolewa viungo

    Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawasaka watu waliohusika kufukua kaburi na kunyofoa baadhi ya viungo vya mwili wa Neema Enock (24) uliozikwa kwenye kaburi hilo wilayani Rungwe. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne Novemba 8, 2022 Kamanda wa Polis Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga amesema tukio...
  14. Malawi yabaini kaburi walipozikwa watu 25 ya raia wa Ethiopia

    Mamlaka za Malawi zimeeleza miili hiyo inakisiwa kuwa ni wahamiaji haramu kutoka Ethiopia ambao wamezikwa katika Kijiji cha Mzimba kilichopo kilometa 250 kutoka Mji Mkuu wa Lilongwe. Polisi wamesema inaaminika walikuwa wakisafirishwa kuelekea Afrika Kusini kupitia Malawi, waliofariki...
  15. Mnaomtetea Hayati Magufuli nionesheni kaburi la Ben Saanane, Azory Gwanda na CCTV footage ya shambulio la Lissu

    Mnaoimba uzuri wa Magufuli tusaidieni haya maswali ili nafsi zetu ziungane nanyie. Mnamsifu kwa kujenga miradi ya kimkakati sawa lakini itakuwa na faida gani kama anadaiwa kuua watu? J, kuna haja ya kumpongeza baba aliejengea watoto wake nyumba huku amewakata shingo mikono miguu na masikio...
  16. Mfanyabiashara kijana aandaa kaburi lake baada ya kukiuka masharti ya Mganga

    Mfanyabiashara Kijana wa Nakonde nchini Zambia mwenye umri wa miaka 29 ameanza kuandaa kaburi lake baada ya kuambiwa na Mganga wake wa Sumbawanga kuwa atakufa hivi karibuni kwa kukiuka masharti ya utajiri wake. Grigory Siame ambaye alikuwa maskini sana hadi alipoenda kuonana na mganga miaka 8...
  17. J

    SIMIYU: Waliouza kaburi la Bi Hapi Lupigila kwa TZS 30M wakubali TZS 500K

    HATIMAYE KABURI KATIKATI YA BARABARA BARIADI LAONDOLEWA.. FAMILIA YARIDHIA YAKUBALI YAISHE Zoezi la kuhamisha kaburi likiendelea === WIKI Moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu David Kafulila kuagiza kuondolowa kwa Kaburi lililokuwa katikati ya Barabara ya Nkindwabiye-Halawa, Familia ya Saguda...
  18. Simulizi: Mimi na Mwanangu Juu ya Kaburi la Mke Wangu

    Mtunzi: Iddi Makengo BABA JOAN; MIMI NA MWANANGU JUU YA KABURI LA MKE WANGU!—SEHEMU YA KWANZA “Baba kwani na Mimi ni mchawi kama Mama?” Joan aliniuliza tena, wakati huo tulikua tunaweka mchanga juu ya jeneza la mke wangu. “Hapana mwanangu, wewe si mchawi, hata Mama yako hakuwa mchawi.”...
  19. M

    Ukishindanisha Kaburi la Magufuli dhidi ya mwanasiasa yeyote nchini kwenye uchaguzi wa Rais bado watanzania watachagua kaburi

    Watanzania walio wengi walimkubali sana Magufuli. Magufuli aliwafungua macho watanzania, Wanasiasa walikuwa wanatudanganya kuwa nchi yetu ni maskini ili kuhalalisha wizi na ufisadi wao. Wengi wa wanaomchukia Magufuli ni mafisadi na familia zao. Ni wale ambao hawakupata kabisa fursa ya kuendelea...
  20. Simulizi ya kusisimua: Kaburi la Mwanamuziki

    Simulizi: Kaburi la Mwanamuziki Mtunzi: Robert Heriel WhatsApp 0693322300 Sehemu ya 1 “Kazi yangu bila shaka kila mmoja wenu atakuwa ameifanya vizuri, nilifurahishwa na Richard, yeye aliimaliza tangu jana akaniletea Daftari lake, amefanya vizuri sana. Richard! Tafadhali njoo uchukue Daftari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…