kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni ipi sababu ya kuteguliwa Rafael Chegeni kabla ya kiapo cha Mkuu wa Mkoa?

    Anayejiita Dk ilihali u daktari wake ni wa mashaka bwana Rafael Chegeni mapema mwezi uliopita aliteuliwa awe RC Mara ajabu kabla ya masaa ya uapisho wake uteuzi wake ulitenguliwa pasina kusemwa sababu leteleza. Kwa wingi wa wajuvi humu jf pengine huenda wapo walio na ufahamu wa kipi hasa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kwamba yupo mwanamke wa kwanza kuumbwa kabla ya Hawa?

    Hello 👋👋, habari za mida. Leo nataka niwafahamishe kitu ambacho wengi hawakujui juu ya uumbaji. Bila shaka wengi wetu tunaelewa kuwa Binadamuu wa kwanza katika uumbaji wa mwenyezi MUNGU alikua ni ADAM akafatiwa HAWA kama msaidizi wake katika bustani ya Eden. Hyo yote n kwa sababu ya maandiko...
  3. JamiiForums Tanzania Jenga Mtazamo Sahihi Juu Ya Wanaume/Wanawake Kabla Hujaoa/Hujaolewa

    Tuingie moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, watu baadhi wameingia kwenye ndoa na watu sahihi ila mitazamo yao juu yao sio sahihi, wapo wameingia kwenye ndoa sio sahihi kwa sababu ya mitazamo yao isiyo sahihi, na wapo hawataki kuingia kwenye ndoa wamebaki kutangatanga na kila...
  4. JamiiForums Tanzania Ni suala la muda tu kabla CCM hawajatuletea 'Magufuli' mwingine

    CCM walilazimika kumpa madaraka Magufuli kutokana na mazingira ya wakati ule ila walidhani wangeweza kumdhibiti. Magufuli akawashangaza na kuwafumba midomo hata wale ambao walidhani wangekuwa na sauti juu yake. Mmoja wa watu pekee ambaye NADHANI bado alibaki na kauwezo fulani ka kumkemea alikuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa maswali haya sensa imefeli kabla haijafanyika!

    Kwanza maswali ni mengi bila sababu ya msingi halafu mengi ni ya kijinga na kipuuzi. Ingewezekana kabisa kuwa na dodoso lenye maswali machache na ya msingi. Baadhi ya maswali wangeachiwa watendaji wa mitaa/vijiji wakisaidiwa na wenyeviti wao kwani ni ya kifamilia zaidi na yanahitaji utulivu...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali ipambane na suala la afya ya akili kwa Watanzania kabla ya kufanya mambo mengine makubwa.

    Hamjambo humu ndani? Tatizo la upungufu wa akili miongoni mwa wanajamii ya Kitanzania limekuwa kubwa sana. Vijana kwa wazee. Serikali iboreshe lishe kwa jamii hali ngumu. Nguvu kazi hasa vijana wana ukosefu wa akili na wengine wana upungufu wa akili kichwani. Vijana wa nchi hii wasomi kwa...
  7. 4

    JamiiForums Tanzania Waziri wa afya Ummy Mwalimu jibu swali hili kabla ya kesho mimi kuhamia Burundi

    Husika na mada tajwa hapo juu, Kwako Waziri wa Afya UMMY MWALIMU, kwanza nikupe pole na majukumu yako ya kila siku japo ni wajibu wako kuyatekeleza, na pili nikupongeze kama Mbunge na Waziri kwa jinsi mnavyoendelea kuwalimbikia watanzania Tozo wakiwemo wananchi wako katika jimbo lako la Tanga...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 NAIROBI: Viongozi wa Dini wamuangukia Raila kabla hajalianzisha!

    Viongozi wa dini wamekutana na ndg Raila Odinga ili kujadiliana kwa suala la amani, katika kikao hicho ajenda kubwa ilikuwa suala la AMANI kuliko HAKI. Baadhi ya wanachama wa Azimio wamesema kuwa, wao hawapingani na Amani bali wanapinga Dhuruma, pia wameendelea kusema hawataki Amani ya...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini ng’ombe wasipigwe nusu kaputi kabla ya kuchinjwa?

    Hivi what if mtu ukifa unazaliwa tena kiumbe kingine, mfano unazaliwa ng’ombe? Incase ni hivyo, si ingependeza kama kabla ya kuchinjwa upigwe kwanza nusu kaputi, au nakosea?
  10. JamiiForums Tanzania SoC02 Linda Afya yako kabla ya kupata magonjwa

    Afya ni kitengo cha mtu kujisikia vizuri kimwili,kiakili ,kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na ugonjwa wowote. Mtu hasipokuwa na afya hawezi kufanya kazi vizuri na kufanya mwili wake kutofanya vizuri ndio mtu anaitwa mgonjwa. Chanzo cha afya ni vyakula mbalimbali na kutengeneza kinga za mwili...
  11. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vijana na tatizo la ajira

    NAOGOPA Kijana Elli akiamshwa na king’ora cha simu alichotega kabla ya kujilaza kitandani kwake huko Kimara Dar es Salaam, anakoishi kwa wazazi wake. Ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Anaamka na kujiandaa Kwenda kutafuta kitu chochote ili kuburudisha tumbo lake. Anarudi chumbani kwake na...
  12. JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea kwa Makalani wa Moshi vijijini siku 8 kabla ya zoezi la sensa kufanyia? Kamishina wa Sensa Taifa Anna Makinda uje fasta

    Sijui kinachosemwa ni kweli au la? Kwanza tangu zoezi lianze liligubikwa na malalamiko mengi sana Mfano Makalani waliokuwa wakifunzwa walilalamikia kupikiwa chakula kibichi uku wakikatwa shilingi elf 5000 Kila siku kwa ajili ya kununua chakula aliyekuwa anapika wanafunzi walipo lalamika...
  13. JamiiForums Tanzania Shaka aagiza DCs & DEDs wote wahakikishe mkandarasi analipa madeni yote kwa watoa huduma kabla ya kumtumbua

    Chama kinachotetea masilahi ya wanyonge wote bila kujali itikadi zao za kisiasa na kidini cha Mapinduzi kimewataka wakuu wote wa Mikoa, Wilaya na wakurugenzi wa Halmashauri kote nchini kuhakikisha wanalinda maslahi ya wananchi wanaofanyakazi na wakandarasi kama watoa huduma. Kauli hiyo...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Naweza kuvuna nyanya kabla hazijaiva?

    Kwema wakuu Je, ninaweza kuvuna nyanya kabla hazijaiva? Ili nipeleke sokoni zisiharibike, na zinachukua muda gani hadi kuiva zikiwa nje, ningependa kujua jinsi ya kuhifadhi.
  15. JamiiForums Tanzania Je, Unajua hapo kabla wananchi waliibia sana Serikali, kwa sasa Serikali inawaibia wananchi kwa kushirikiana na taasisi na mashirika ya fedha?

    Kwa miaka kadhaa iliyopita watumishi wengi wa serikali na mashirika yasiyo ya kiserikali, waliibia sana serikali. Hii ilitokana na kukosa udhibiti wa miaya ya rushwa, kukosa uadilifu na kuruhusu matumizi yasiyo ya lazima. Kiongozi wa nchi aliyetangulia kabla ya huyu aliyepo sasa, alijitahidi...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila Odinga agoma kushiriki hafla ya IEBC kutangaza matokeo ya Urais kabla hajayaona na kujiridhisha

    Raila Odinga kwa sasa ndiye anasubiriwa kwenye ukumbi wa IEBC yatakapotangazwa matokeo ya mshindi wa Urais kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Ikiwa Mgombea wa Kenya Kwanza Coalition, Willium Ruto ameshawasili zaidi ya saa moja iliyopita, hali ni tofauti kwa mpinzani wake mkuu Raila Odinga ambaye...
  17. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kalamu na karatasi ni nyenzo za msingi kabla ya kuanza mapambano

    Sisi Kama WATANZANIA au wanadamu Kila mmoja anashughuli ambayo anaifanya ili kumuingizia kipato Cha Kila siku ambacho kitamsaidia kukidhi mahitaji yake binafsi na familia yake kwa ujumla. Na Kama siyo hivyo basi ipo shughuli ambayo Kila mmoja wetu anaamini akishiriki kikamilifu katika shughuli...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada hatua za kufuata kabla sijaanzisha biashara

    Habari wanajukwaa hili la biashara! Nimekuja kwenu mnisaidie hatua za kufuata kabla sijafungua biashara nataka nifungue duka ambalo nitauza bidhaa zifuatazo Vipondozi aina zote, vitenge, madera, na kwa baadae nifumgue huduma zote za kifedha (M-pesa, Tigo pesa, Airtel money, Halopesa na wakaka...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy nashauri ukae na wataalamu wa afya kabla ya tamko la bei ya huduma za afya

    Nampongeza Waziri wa Afya kwa kupata updates mbalimbali za sekta unayoisimamia kwa wakati na hivyo kuwa responsive. Nikijikita katika mada, Mimi ni muumini wa sustainable health system financing yaani sekta ya afya inahitaji njia endelevu ya rasilimali fedha ili iweze kuleta tija. Mfumo wa...
  20. JamiiForums Tanzania kabla hujaicheka Yanga pitia hapa kwanza

    mnasahau mapema mnoo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…