kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mfahamu Mtu Kabla ha Kumwamini ( Snake ni wengi)

    Tuendelee Na Mtiririko wa Makala zetu. Kwenye Ulingo wa Siasa za Chama Tawala na Vyama Marafiki( Tanzania Tunaviita Upinzani) Ukimsikia Mtu anajiita Mwanaharakati tena yupo nje ya Mipaka ya Tanzania uwe nae makini sana. Wengi wao Utumika pande zote Mbili ( Double A) Basi ukiwa upo Kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Mteja akikuwekea hela kwenye account yako halafu akaihitaji kabla hujampa huduma, unatakiwa ufanyeje?

    Hello business professionals, mteja amelipia huduma kiasi cha Tsh milioni 1 ili afanyiwe kazi na akabidhiwe kazi yake Jumanne Tarehe 28/7/2026 Ghafla tu anapiga simu anaihitaji hio hela amepata dharura Nifanyeje kuweka sawa hili swala? Process za kazi yake zinaanza saa 11 jioni leo.
  3. JamiiForums Tanzania Anusuriwe kabla kesi haijawa ngumu, mapenzi shikamoo!

    Habari na poleni na uwajibikaji! Kuna jirani yangu (Mtanzania) ndoa ya miaka 3 mpaka sasa, na alimuoa huyo mwanamke (raia wa Zambia) tayari mke akiwa na mtoto aliyezalishwa akiwa nyumbani kwa wazazi na mwanaume mwingine. Wakiwa wameoana mtoto aliachwa kwa wazazi wa mwanamke, kufikia mwanzoni...
  4. JamiiForums Tanzania Unatamani kuanza biashara ya viatu lakini hujui pa kuanzia? Huu ndio mwongozo muhimu unaohitaji kabla ya kuwekeza fedha zako

    Biashara ya viatu kwa rejareja ni miongoni mwa biashara zenye soko kubwa kwa sababu viatu ni hitaji la kila siku. Watu hununua viatu kwa ajili ya kazi, shule, michezo, sherehe, safari na matumizi ya kawaida. Hata hivyo, mafanikio hayategemei kuwa na viatu vingi pekee. Unahitaji kuelewa wateja...
  5. JamiiForums Tanzania Nyie wanawake wa siku hizi mnaojitafuta kwanza kabla ya ndoa nani atawaoa?

    Naona saiv hili suala la wanawake kujitafuta kiuchumi kabla ya kuolewa lmekua common sasa. Zamani tulizoea mwanaume ndo anajitafuta kwanza kisha aoe lkn saiv meza imepinduka, kila mwanamke unaekutana nae kwenye mahusiano anakwambia anajitafuta kwanza ndo aolewe, anataka anunue kiwanja ajenge...
  6. JamiiForums Tanzania TIB RASILIMALI: Hisa (Shares) na Hatifungani (Bonds) Zinafanyaje Kazi? Mwongozo kwa Wawekezaji Wapya.

    Habari wakuu, Kumekuwa na mwamko mkubwa wa uwekezaji nchini, ambapo watu wengi wameanza kuwekeza kwenye Hisa (Shares) na Hatifungani (Bonds). Hata hivyo, bado kuna maswali mengi kuhusu tofauti zake, faida, hatari zinazoweza kujitokeza, na namna ya kufanya maamuzi sahihi ya uwekezaji. Kupitia...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Hivi watu waliendaje mbinguni miaka ya nyuma kabla ya ujio wa yesu ambaye ndiyo njia ya kwenda mbinguni?

    Tujitafakari!!
  8. B

    JamiiForums Tanzania Sudan Kusini yamkaribisha Mwakilishi Mkuu wa AU, Jakaya Kikwete kabla ya uchaguzi wa kihistoria wa 2026

    Sudan Kusini Yamkaribisha Mwakilishi Mkuu wa AU Jakaya Kikwete kusaidia kuweka mambo sawa Kabla ya Uchaguzi wa Kihistoria wa 2026 June 2026 Juba South Sudan Rais wa zamani wa Tanzania na mjumbe wa AU Jakaya Kikwete anaanza mashauriano ya ngazi ya juu mjini Juba huku Sudan Kusini ikiendelea na...
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Maelekezo toka juu: Fungeni account za CHADEMA siku chache kabla ya mkutano mkuu, wape kesi ya utakatishaji

    Habari za mtu wa ndani kabisa wa vyombo vya usalama amenambia kwamba wakeshapewa maelekezo kufunga account za chadema wakitimiza 200M+ Na imepenyezwa propaganda kuwa zifungwe zote za benk na Mpesa kisa zimepokea pesa nyingi toka nje, Britanicca
  10. JamiiForums Tanzania Othman Masoud ulipaswa kukutana na Warioba kabla ya Maridhiano yenu na CCM, unachokifanya ni kujikosha tu, hutaaminika tena

    Ushafunga mkataba wa kiduwanzi na Shetani eti leo ndio unakuja kuona Wazee Tushakustukia.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume mnaokataa ndoa, fanyeni mapema Kuoa kabla hamjakutana na hiki ninachopitia

    Leo najisikia kuandika TU na kuwashauri vijana , ipo hivi mimi ni mwalimu na mfanyabiashara mzuri TU ( Mimi sio fala kwenye nchi hii) umri wangu ni 38, ni baba wa watoto watatu nawahudumia kwa kila kitu pamoja na hayo ni bachelor wa mda mrefu. Miaka kama kumi na mbili nyuma niliapa sitaoa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ai ina mapungufu na haiwezi kuchukua nafasi ya kila mtaalamu, lakini tayari imeanza kuwakosesha pesa Graphic designers, waandishi, programmers. n.k

    Hapo zamani msani akimaliz kurekod wimbo na akahitaji kava au akiwa na show akahitaji poster, jambo la kwanza lilikuwa kumpigia Graphics Designer. Kaz hizi zilikuwa zinawapa hata 20k hadi 50k. Watu wenye picha zilizofifia waliwatafuta graphics designers kuongeza ubora, waliohitaji picha zao...
  13. JamiiForums Tanzania Huenda Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa akamtembelea Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA taifa kabla ya mkutano wa baraza kuu taifa, September 15

    Duru zinaeleze kua kwasasa mwenyekiti huyo mstaafu ana ratiba ngumu binafsi ya ng'ambo ya nchi, na mara atakapo kua mazingira ya nyumbani, basi ziara hiyo maalumu ya makamu mwenyekiti wa chadema taifa itafanyika kadiri ilivyopangwa. Je, ikiwa atafanya hivyo, unadhani agenda kuu ya makamu...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO OTP kutoka HESLB inasubiriwa kwa Saa 72 kabla ya kuomba nyingine, kama haijafika kwa mdhamini

    Kipengele Cha Mdhamini kwenye mfumo wa kufanya application kwa mikopo wanafunzi wa Vyuo. Kuna utaratbu wa kutumiwa OTP kwa namba ya simu ya mdhamini kisha ijazwe kwenye mfumo wa maombi ya mkopo. OTP haifiki kwa kwa mdhamini na wanaonkupa MASAA 72 Ili kuomba OTP nyingne. Hii inakwamisha zoezi...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Joseph Selasini ni kirusi ndani ya vyama vya siasa, afutiwe uanachama haraka kabla hajaleta madhara.

    Joseph Selasini alikuwa ni miongoni mwa Wanamageuzi 15 waliounda Kamati ya Kitaifa ya Mabadiliko ya Kikatiba, The National Convention for Construction and Reform (NCCR) mwaka 1991, wakiongozwa na Mzee Fundikira, Mtikila, Marando, Lwamwai na wengine. Kwenye kamati hiyo akiwa na Mabere Marando...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kujenga nyumba ndogo kabla ya nyumba kubwa

    Wakuu habari, ninaishi kwenye upangaji kwa sasa hivyo naendelea kupambana na adha za baba mwenye nyumba lakini kwa bahati nzuri nimeweza kununua kiwanja na sasa najipanga na ujenzi lakini wakati huo mawazo ni mengi kichwani mwangu nikiwaza kujenga nyumba ya ndoto yangu ambayo itanichukua muda...
  17. JamiiForums Tanzania Ushauri usisake mke Mtandaoni, pitia hapa kabla hujapotea yaan hata huyo demu uko naye kama yuko mtandaoni IMEKULWA SANA

    Unatafta Mke JF au mtandao mwingine ? Mkuu umepotea Kwanza Mpaka mke aje kupatikana mtandaoni ni ama we una shida au na anayepatikana mitandaoni ana shida kulingana na wanaomjua live life , Kama unataka mke wa kukaa naye miaka nenda rudi angalia huko mtaani kwako ! Hawa wa mtandaoni ukikagua...
  18. JamiiForums Tanzania Enyi Makanisa ya kilokole mwanamke akipata mimba kabla ya ndoa msimtenge mnachochea abortion acheni wazae nyinyi siyo Mungu

    Wachungaji wa Makanisa ya kilokole punguzeni mashariti acheni kuwatenga mwanamke wanaopata mimba kabla ya ndoa, hii inapelekea ongezeko la utoaji wa mimba. Na ninyi wanawake mchungaji siyo Mungu ni binadamu kama binadamu wengine acheni kujieleza Kila kitu kwa wachungaji au mnalogwa? ...ongeeni...
  19. JamiiForums Tanzania Hawajui hata hayo maridhiano ni kitu gani

    Serikali iliyojiweka madarakani baada ya vyombo vya ulinzi na usalama kuratibu wizi wa kura, kuua raia na kumuapisha ndani ya kambi ya jeshi.... wamekuja na drama kabambe iitwayo TUNATAKA MARIDHIANO Yaani, wao wamechezea katiba na mifumo yote ya haki, wameibaka demokrasia mchana kweupe na kuipa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kijana ulieajiriwa bila mkataba wa uhakika, hakikisha una ofisi kabla ya 35, mabosi wanawakwepa 35+, usisubiri kujifunza kwa uchungu life starts at 40

    Tanzania, kwenye sekta nyingi nje ya Serikali na makampuni machache makubwa, ajira mara nyingi hazina uhakika wa muda mrefu. Ukiongeza na tabia ya baadhi ya waajiri kupendelea waombaji wa umri mdogo ambao hawajavuka 30 za mwanzoni, ni risky kubwa sana kuendelea kuweka matumaini yako hapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…