jumla

  1. Ngongo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Jumla ya ya kura za uRais Kenya ni 100.01%

    Hongera sana wana Kenya kwa uchaguzi uliokuwa wa uwazi mkubwa. Katika Afrika bado sijaona uchaguzi ulioendeshwa vizuri kuliko huu wa Kenya. Ukweli mchungu Uchaguzi Tanzania ni sehemu ya kupotezeana muda tu. Nirejee kwenye mada kila nikipiga hesabu jumla ya matokeo yote ya uRais naishia kupata...
  2. The Boss

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jumla ya wachezaji kutoka nje wanaocheza Tanzania

    Kuna anaejua idadi ya wachezaji kutoka nje wanaocheza Tanzania kwa sasa hasa ligi kuu?.. Tunaweza weka list kujua ni nchi ngapi zina wachezaji ligi yetu.. Nigeria .. Ghana Ivory coast Senegal Kenya. Zimbabwe Zambia . Rwanda Burundi... Mali.. Anaeweza jua kila hizi nchi zina wachezaji wangapi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya jumla ya nondo sasa hivi maana sisi tunaoishi mbali mafundi wanatupiga sana

    Waungwana naomba kujua bei ya jumla ya nondo sasa hivi maana sisi tunaoishi mbali mafundi wanatupiga sana. Natanguliza shukrani. Ndugu zangu naomba msaada wa kujua bei za jumla za nondo Dar
  4. Raia mpya

    JamiiForums Tanzania Msaada wanapouza vitu vya jumla

    Natanguliza Salaam kwenu ndugu zangu mimi ni kijana mwenzenu nahitaji kujiajiri sasa changamoto ipo sehemu wanapouza bidhaa kwa jumla hasa hizi consuming product kama pipi, biskuti miswaki nk So kwa anaefahamu anaweza niambia ni wap semehu nzuri inauzwa hizo bidhaa kwa bei ya chini maana mi...
  5. MERCENARY2015

    JamiiForums Tanzania Wakala wa uuzaji wa Jumla Cement aina ya SIMBA Arusha

    Salamu Wakuu Kwa muda mrefu sasa nilikuwa na mpango wa kufungua biashara ya kuuza CEMENT kwa bei ya rejareja mkoani Arusha. Wakuu naomba kupata mawasiliano au kuunganishwa na wakala anayeuza CEMENT za Kampuni ya SIMBA kwa bei ya Jumla. Kwa sasa nipo mkoa wa Arusha, hasa ukizingatia pia...
  6. Kelela

    JamiiForums Tanzania Naomba Kujua Chimbo la Vyombo vya Nyumbani (JUMLA)

    Habari za leo wadau! Husika na kichwa cha nyuzi hapo juu. Naomba kujua kwa hapa Dar es Salaam - Kariakoo Ni Sehemu gani naweza kupata vyombo vya nyumbani kwa bei ya jumla ya chini. Nahitaji maelekezo yalipo maduka hayo. Natanguliza shukurani.
  7. ward41

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Ulinzi ya USA ni kubwa kuliko jumla ya bajeti ya Mataifa yote Duniani

    BUDGET ya ULINZI ya MAREKANI ni USD 778 billion. Anafuata mchina Kwenye 240 USD billion. Ukijulisha BADGET zote za ULINZI ulimwenguni hatufiki 778 billion USD. Anaebisha lete facts sio blah blah. USA yupo sana, Tena sana
  8. Mayova

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya umeme kwa bei ya jumla Dar kwa bei nafuu

    Wapendwa katika bwana … naombeni mwenye kujua sehemu ambapo wanauza vifaa vya umeme kwa bei ya jumla Dar es Salaam kwa bei nafuu
  9. S

    JamiiForums Tanzania Marekani yaripoti kuwa jumla ya wanajeshi/wapiganaji 8000 wa Ukraine wamekamatwa mateka na kushikiliwa na majeshi ya Urusi

    Habari ndiyo hiyo, Marekani inaripoti kuwa jumla ya wanajeshi/wapiganaji 8,000 wa Ukraine wanashikiliwa na majeshi ya Russia kama wafungwa wa kivita katika jamuhuri za watu wa Luhansk na Donetsk. Dah, yani pamoja na kupigwa tafu ya misaada ya silaha toka nchi za Marekani na shoga zake NATO/EU...
  10. Mc FR

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mitungi empty 20 jumla inauzwa sh. 350,000. Mikubwa 3, midogo 17

    MITUNGI EMPTY IPO 20 INAUZWA JUMLA 350,000/- MIKUBWA MITATU; Oryx 1, ogas 2 MIDOGO KUMI NA SABA; oryx 4, lake 4, ogas 3, taifa/mihan 5, Manji 1 Ipo Mikwambe, Kigamboni Siuzi mmoja, nauza yote jumla MAWASILIANO; +255658628441
  11. TAJIRI MSOMI

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Natamani kuanzisha bishara ya jumla

    HABARI WANA JAMVI Nahitaji Ushauri, natamani nianzishe biashara ya Jumla kuuza kitu cha aina moja,mbili au tatu tu,sasa ninajaribu kuangalia kati ya Cement, Mafuta ya kupikia au Sukari; etc; Sehem ya biashara ni DSM, nina godown na Frame tayari, ni sehemu ambayo haina watu wengi but ni jirani...
  12. Rangooo

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya kuuza sigara kwa rejareja na jumla

    Habari wana jamvi, Ndugu zangu naombeni ushauri kuhusu biashara ya kuuza sigara jumla na rejareja, pipi Kali, big G n.k. changamoto zake, mtaji upi ni mzuri, na kwa dar wapi naweza pata mzigo kwa uhakika na njia zipi ni bora za kupata wateja wa hivi vitu.
  13. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Wasiojulikana wazidi kuua, miili ya wawili yapatikana, idadi ya waliouawa wafikia 29

    Miili miwili kati ya mitatu ya watu iliyopatikana juzi Ijumaa ilikutwa ikielea katika Mto Yala Nchini Kenya. Mmoja ulikutwa umetobolewa macho huku ukiwa umekunjwa na kitambaa katika mdomo, mwingine ukiwa umezungushiwa nailoni juu ya kichwa na kufunika uso. OCPD Charles Chacha wa Yala...
  14. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Belo za pochi za mitumba ya kike kwa jumla zinapatikana wapi?

    Mwenye kujua tafadhali, nahitaji kujua chimbo hizo kwa hapa bongo zinapatikana wapi?
  15. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mafuta ya mawese kwa wanaouza jumla

    Wakuu kwema? Natafuta mafuta ya mawese kwa anayeuza mengi bei ya jumla Asanteni
  16. Procurer

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuhusu Biashara ya kuuza mchele jumla kutoa mikoani kuleta Dar

    Habari Ndugu zangu, Napatikana Dar es Salaam nahitaji kuanza biashara ya kununua mchele kutoa mikoani kuleta kuuza jumla DSM, hivyo naombeni msaada kwa mwenye uzoefu wowote na biashara hii ili nami kijana mwenzenu nipate kujiajiri katika biashara hii. Nina mtaji wa chini ya million 5...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Nani aniuzie simu kwa bei ya jumla

    Habari zenu wana jukwaa la Biashara. Nasafiri naenda Mbeya. Wilaya ninayokwenda hakuna maduka makubwa ya simu kama Kariakoo, ila watu wanapenda sana hizi smartphone. Sasa natafuta muuzaji wa simu ambae ataniuzia simu kwa bei nafuu (bei ya jumla). Nataka ninunue simu mbili tu kabla sijasafiri...
  18. Vugu-Vugu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apata msaada wa fedha jumla ya shilingi trilioni 1.15 toka EU

  19. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza viatu vya kike bei ya Jumla

    Habari ndugu. Jipatie viatu vya kike kwa bei ya jumla ya TZS18,000 tu kuanzia pieces 10 chini ya hapo tunauza kwa TZS20,000 tuu. Tunapatikana Ubungo Msewe - Dar es Salaam WhatsApp: Share on WhatsApp Simu: 0759891571 Karibuni sana.
  20. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Google Map Street View Africa na Tanzania kwa Jumla

    UKwa kutumia google Map unaweza kuona hali hali halisi ya sehemu mbalimbali za dunia na kuzifahamau hata bila kufika. Hii imekuwa pia inasaidia watalii kutembelea sehemu fulani za dunia kujihakikishia wanyaoona huko Google maps. Ukiangalia ramani ya dunia, utaona kuwa Amerika ya Kusini, Amerika...
Back
Top Bottom