jukwaa

Jukwaa, also known as Dwokwaa, is a town in the Central Region of Ghana. It is the traditional capital of the people of Denkyira and is located in the Twifo-Ati Mokwa District in the Central Region. The Jukwa Senior High School is found in this town.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    Jukwaa la Kutetea Wamasai Lapinga Ripoti za Tume za Rais Kuhusu Ngorongoro

    Jukwaa la kimataifa la kutetea haki za Wamasai, Maasai International Solidarity Alliance (MISA), limetangaza kupinga vikali ripoti mbili za tume za rais zilizowasilishwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan Machi 12, 2026 katika Ikulu ya Chamwino State House. Katika taarifa yake ya Machi 18, 2026, MISA...
  2. DodomaTZ

    Jukwaa la Uzalendo ladai kuna sintofahamu kuhusu Sh Bilioni 200 za Vijana

    Jukwaa la Uzalendo na Mabadiliko limetoa barua ya wazi kwa Waziri wa Maendeleo ya Vijana, Joel Arthur Nanauka, likielezea wasiwasi mkubwa juu ya utekelezaji wa mpango wa Shilingi Bilioni 200 zilizotolewa na serikali kwa ajili ya vijana nchini. Katika barua hiyo iliyotolewa hivi karibuni, jukwaa...
  3. Echolima1

    Israeli imelaani Jukwaa la Al Jazeera kama "mkutano wa kilele wa magaidi" huko Doha

    Israeli inalaani Jukwaa la Al Jazeera kama "mkutano wa kilele wa jihadi" huko Doha Wizara ya Mambo ya Nje ya Israeli ilitoa karipio kali kwa Jukwaa la 17 la Al Jazeera lililofunguliwa Doha wikendi hii, ikilielezea kama "mkusanyiko teule wa wanajihadi na wafanyakazi wao wa usaidizi." Jukwaa...
  4. Jack Daniel

    Marafiki, ndugu na wadau wote wa jukwaa hili

    Habari JamiiForums Siku zinakimbia, miaka inageuka, na umri unasogea. Nakumbuka ni kama juzi tu Mh. Lowasa alivyotikisa Tanzania kwenye kampeni za Urais 2015. Ni kama juzi tu tangu hayati Magufuli na itikadi zake, pamoja na misimamo mikali kwenye uongozi. Miaka inakimbia, watu waliozaliwa...
  5. R

    Serikali kuzindua jukwaa la vijana Januari 10, 2026

    Serikali kupitia Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, inatarajia kuzindua rasmi Jukwaa la Vijana (Youth Platform) tarehe Januari 10, 2025, katika Ukumbi wa JNICC, jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo utaongozwa na Waziri wa Maendeleo ya Vijana, Dkt. Joel Arthur Nanauka, ambapo jukwaa hilo litatoa...
  6. Damaso

    Wizara ya Afya: Kuna watu wenye nia ovu wanaotumia jina la Waziri Mchengerwa kutapeli kuwa anaozesha mwanae

    Kurasa rasmi za Serikali zimekuwa jukwaa la familia ya Samia? Kurasa rasmi za serikali na wizara zake katika mitandao ya kijamii kama Facebook, X (zamani Twitter) na Instagram ziliundwa kwa lengo moja kuu: kuwahudumia wananchi kwa kutoa taarifa za sera, huduma, tahadhari na maamuzi ya serikali...
  7. Parabolic

    Jukwaa la Kimataifa la Nasser lashiriki katika Kongamano la Vijana wa Afrika 2025

    Jukwaa la Kimataifa la Nasser limeshiriki kikamilifu katika Kongamano la Vijana wa Afrika (Pan-African Youth Forum 2025) uliofanyika nchini Djibouti kuanzia Novemba 4 hadi 6, 2025, chini ya uratibu wa Tume ya Umoja wa Afrika, ukiwa na kaulimbiu isemayo “Kutoka kwenye ndoto hadi vitendo: Vijana...
  8. Munch wa Annabelle

    Kweli watanzania wapo serious jukwaa la mapenzi na sports yamedoda hatari watu wapo jukwaa la siasa na hoja mchanganyiko 24/7

    Kama mtu wa kufanya research ndogondogo hii hali inatisha kwakwel sio kawaida ya watanzania kabsa toka nizaliwe watanzania wao ni mpira na ngono tu lakini hali kwasasa ni tofaut Kwenye mitandao yote sio jamii forum tu Kote hali tete, mada za kiwaki zote hazna wachangiaji kabsa Kweli watu...
  9. M

    PostGE2025 Jukwaa la Katiba Tanzania: Tunalaani vikali vya kuwapiga risasi wananchi wasio na hatia

    TAARIFA KWA UMMA JUKATA kwa majonzi makubwa inatoa pole za dhati kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki wote ambao wapendwa wao wameuawa, kujeruhiwa au kutoweka wakati wa maandamano yaliyozuka siku ya uchaguzi tarehe 29/10/2025. Tunalaani vikali vitendo vya kikatili vya kuwapiga risasi wananchi...
  10. M

    JWTZ watajifanya hawajamuona kisa kasimama kwenye Jukwaa la CCM

    Kuna huyu msanii anaitwa Magambo, akitumbuiza katika mkutano wa kampeni za CCM mbele ya Samia Suluhu, ameonekana akiwa kavaa suruali yenye muonekano kama ya Jeshi. Ni kosa kuvaa nguo zenye mfanano sawa na majeshi ya nchini na kuna kipindi fulani tulisumbuliwa sana, nikiwepo mimi chupuchupu...
  11. JamiiForums

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums kwa muda wa siku 90 na kuzuia upatikanaji wa jukwaa hilo, kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni TCRA imesema uamuzi huu umetokana na JamiiForums...
  12. Echolima1

    Viongozi wa Palestina wapiga marufuku kuingia Marekani

    BREAKING: Viongozi wa Palestina WAPIGWA MARUFUKU kuingia Marekani. Katibu wa Jimbo Rubio anazuia visa vyao kwa sababu ya uhusiano wao wa kigaidi na "kulipa-Fadhila kwa Magaidi" pesa za damu. Marekani HAITAWAPA thawabu wale wanaotukuza mauaji.
  13. Now and then

    Kwanini wanawake wakizeeka ndo wanakuja jukwaa hili kutafuta wenza?

    Inatia ukakasi MTU ameshazeeka yupo 30s anakuja kutafuta pension sehemu ambayo hakuwahi kufanya kazi. Utasikia Mara ohhh nataka awe mchaMungu , Mara awe mrefu mwenye kipato Are you insane?
  14. Z

    Matunda ya jukwaa hili

    Ndugu zangu wapendwa, Ninapenda kutoa shukrani za dhati kwenu kwa sapoti na msaada wenu mkubwa mlionipa hadi kufanikisha kupata tenda ya Tigo YAS ya kubandika mabango. Ingawa tenda hiyo imeisha, imenifungulia njia na kuniongezea imani kubwa katika kazi zetu. Naomba kuendelea kuwaombea...
  15. Z

    Matunda ya jukwaa hili

    Kama wiki mbili niliomba kazi humu na nikafanikiwa kupata tenda ya tigo yas ya kubandika mabango narudi kwenu tena kuomba Kazi au kibarua chochote kitakachokuwepo 🙏🙏
  16. Heritage123

    Faida 10 za Kutumia Canva — Jukwaa Rahisi kwa Kila Mtu Anayetaka Kutengeneza Miundo ya Kuvutia

    Katika dunia ya sasa ya kidigitali, miundo (designs) bora ni silaha ya kwanza ya ushindi katika biashara, ujasiriamali, elimu, au hata content creation ya mitandaoni. Lakini si kila mtu ana muda wala ujuzi wa kutumia programu tata kama Photoshop. Hapo ndipo Canva inapotokea kama mkombozi. Ikiwa...
  17. Roving Journalist

    SADC na Marekani kuanzisha jukwaa la majadiliano

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki kikao cha awali cha maafisa waandamizi cha Jukwaa la Majadiliano kati ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Serikali ya Marekani...
  18. J

    JF tenganisheni jukwaa la AJIRA na TENDA

    Admin JF please Jukwaa la sasa la ajira na tenda kwa kweli limejaa mambo ya ajira mengi sana kiasi kwamba kama unatafuta tenda uta scroll mpaka basi. Nashauri jukwaa la tenda liwe peke yake au lichanganywe na kazi za consultancy; Na jukwaa la ajira libaki peke yake ili watangaza ajira na...
  19. Minjingu Jingu

    Masters wa Kila Jukwaa tuwakumbuke/tuwatambue

    Tech, Gadgets and Science Forum Hapo utawakuta hawa wamba wamejitandaza wakitoa elimu bila hiyana na kwa utulivu mkubwa sana wapewe maua yao. Mwl.RCT Chief-Mkwawa Uliza mambo ya IT/ICT n.k kama wapo karibu watakupa darasa bure kabisa. Nimekuwa nikiwafuatilia sana. Tusiache kutambua michango...
  20. ELI COHEN

    Yule alisema ME wanaweweseka wakiwa karibu yake, huyu mwingine anasema vijana hawana pesa na hawanyoosh mashati, naona sasa jukwaa limekuwa leo tena

    Ladies kuna njia nyingi za kujipa promo humu zaidi ya "ku-belittle" wanaume ili muonekane matawi fulani hivi. Anyway sishangai sana maana hamna masikini humu, kila kidume humu anatembelea crown na kila mrembo humu ana 25yrs Maisha yaendelee🤣
Back
Top Bottom