josephat gwajima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N'yadikwa

    Hoja kwa Gwajima: Barabara ya Tegeta Nyuki hadi Baobab Sekondari huisemei na utatudai kura 2025? Tukutane 2025 Mchungaji

    Mchungaji Gwajima hii barabara ni muhimu sana. Tumeshaisemea sana SISI WANANCHI WA jimbo la Kawe hasa tunaoishi huku Bunju. Asubuhi inakuwa kero sana kufika mjini ila sasa wizara ya Ujenzi imeleta bajeti yake hatukuoni ukiitetea ili tupate double lane muendelezo wa iliyoishia njiapanda ya...
  2. J

    Askofu Gwajima: Kamati ya Bunge imenifanya nionekane kama Jitu baya na Korofi, sasa hili ndio lililojiri kikaoni

    Askofu Gwajima yuko mubashara Rudisha Online tv anatoa ufsfanuzi na kujibu yale yaliyosemwa na kamati e maadili ya bunge. Updates; Niliitwa na kamati ya maadili ya bunge na kunihoji yale niliyohubiri Kanisani nami nikawaambia wao hawana mandate ya kuhoji kile kilichotokea Kanisani ambapo...
  3. The Palm Tree

    Askofu Gwajima: Rais alisema chanjo ni hiari. Mawaziri Mollel na Dorothy, wanasema 70% wasiotaka kuchanjwa ni wajinga

    Video imebeba ujumbe wote. Hapa chini akimjibu Spika na barua yake ya wito kumtaka atokee mbele ya kamati ya maadili, kinga na haki ya Bunge la JMT... Amesema, atakwenda Dodoma kesho J'3 tarehe 23/8/2021 kama barua inavyosema. Aidha kasema haogopi chochote, hayumbi ktk misimamo yake bila...
  4. Nyendo

    Waziri Gwajima: Askofu Gwajima ni shemeji yangu, alidai atamfufua Chifupa pia alikutwa na Mrembo akasema mkono wa Baunsa

    Waziri wa Afya, Dkt Gwajima leo ameelezea suala askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima kupinga chanjo ya Covid-19 na kudai pamoja na ushemeji walionao haungani na itikadi zake. Pia ameshangaa wanaomuamini akitolea mfano wa Askofu kudai atamfufua Amina Chifupa kitu ambacho...
  5. The Palm Tree

    Bishop Rev. Josephat Gwajima kusema neno tena kesho. Unakaribishwa katika ibada kanisa la Ufufuo na Uzima....!

  6. The Palm Tree

    Utata wa chanjo ya UVIKO-19: Askofu Gwajima kutoa msimamo mwingine juu msimamo tarehe 1/8/2021

    Mtazame na msikilize mwenyewe ktk video hii. Yeye kauita huu wa kesho kuwa ni "msimamo juu ya msimamo"... Hii ndiyo sauti ya "Jitu la Mbinguni" iliayo nyikani kusema itengenezeni njia ya Bwana maana ufalme wa Mwanakondoo upo duniani...! Video na sauti yake itafuata.
  7. Pascal Mayalla

    Visions & Trends Readings: Unaweza Usiamini Hili, "Namuona Baba Askofu Mpinga Chanjo, Ukichanjwa Chanjo ya Corona!"

    Wanabodi Hili ni bandiko la Visions na Trends Readings, Visions za Trends Reading sio utabiri, ni maono ya mielekeo. Ni tofauti na maono ya utabiri. Kwenye visions za trends readings zangu, zinanionyesha "Mbunge Wangu wa Kawe, Baba Askofu, Mheshimiwa sana, Dr. Josephat Gwajima" akichanjwa...
  8. The Palm Tree

    Askofu Gwajima ndiye kiongozi pekee aliyebaki na msimamo usioyumba kuhusu UVIKO 19 na chanjo zake

    Mimi hapa The Palm Tree nilikiri na kukubali hadharani kuwa, moja ya jambo lililosimamiwa kwa usahihi na mwendazake Rais John Pombe Magufuli ni hili la msimamo wake thabiti wa ishu ya COVID 19 na chanjo zake. Ni bahati mbaya kuwa viongozi wenzake wote waliokuwa pamoja naye wakati wa uhai wake...
  9. S

    CCM: Tunafuatilia mienendo ya viongozi wetu wanaopotosha umma, kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wetu

    Chama Cha Mapinduzi kinafutilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake ambao wamekuwa wakipotosha Umma na kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu na maadili ya Chama. CCM inawakikishia wanachama na watanzania kuwa hatua...
  10. Samia atosha tukutane2030

    Watu makini kama mbunge wa Kawe Josephat Gwajima wamekaa kimya juu ya uharamu unaotendwa na serikali kwa wananchi. Hii maana yake nini?

    Je, CCM huwaweka kitimoto wabunge wake mara tu wanapoapishwa? Wanakuwa watu makini lakini huwezi kuwaona wakiipinga serikali kwenye masuala muhimu kama haya ya kodi. Inatia ukakasi sana.
  11. Mmawia

    Mbunge Gwajima, wana Kawe bado tunaisubiria treni uliyotuahidi

    Wahenga wanasema kuwa ahadi ni deni na kwetu sisi waswahili tupo macho. Mh Gwajima ulituahidi kuwa tayari ulushapata treni ya kutuhudumia sisi wapiga kura wako. Tangu October 2020 hadi leo hii ni June 2021 ni miezi 8 imepita bado hatujaiona hiyo treni. Wewe ni mchungaji hutakiwi kuwa muongo...
Back
Top Bottom