Mheshimiwa Rais wetu tunakupenda sana, tunaumia unavyotukanwa, unavyobagazwa, unavyodunishwa, unavyokebehiwa, inatuumiza. We Rais ni mkuu wa nchi, ni mkuu wa serikali, ni amiri jeshi mkuu, ndio icon ya nchi yetu, ni nani anaweza kukudhihaki na kukutukana ndani ya nchi hii?
Gwajima ni tapeli...