GWAJIMA ANAMAANISHA KWELI KUPAMBANA NA UTEKAJI AU ANATAFUTA USHUJAA MITANDAONI?
Anaandika Spesho Kabwanga.
Askofu Gwajima kwenye speech yake ametaja Neno RAIS si chini ya mara 42, Neno USALAMA WA TAIFA si chini ya mara 35, POLISI si chini ya mara 18, JESHI LA WANANCHI si chini ya mara 14...
Nimepita kuangalia vichwa vya habari vya leo kuona kama kuna aliyeweka habari ya Gwajiboy Askofu Gwajima kujilipua jana, kama nilivyotarajia hakuna aliyefanya hivyo.
Magazeti yamejaa habari za Rais Samia kuchafuka na wavujisha siri, Fainali ya Simba na Berkene, na tuvitu vitu vingine.
Watu...
Jana nimeangalia video ya Askofu Josephat Gwajima kwenye YouTube, na haya ndiyo maoni yangu kuhusu kile alichokisema na alivyokisema.
Kwanza, ni wazi kuwa Gwajima yupo karibu na watu walio ndani ya system yaani watu walioko kwenye vyombo vya dola. Hawa ndio wanaompa taarifa “nyeti” kuhusu...
Hizi ndo sababu zangu kwamba this guy is patriotic (Mzalendo).
Kwa nafasi aliyonayo Gwajima kuanzia Kijamii, kisiasa, kiuchumi.
Sifikirii Kama anatafuta umaarufu , na sifikirii Kama anatufa political mileage au anatufa Personal interest.
Kwahiyo angeamua kukaa kimya asiongee chochote kuhusu...
Askofu Gwajima kaweka wazi kabisa
1. Kuna kikundi kidogo kinachotumwa na Rais kwa manufaa yake mwenyewe ya kisiasa , kinachopelekea watu kuteswa , kuumizwa vibaya sana au hata kuuawa na kupotezwa kabisa
2. Jeshi la polisi na usalama wa taifa kwa ujumla hawahusiki na utekaji , isipokuwa...
Wakuu habari zenu.....
Gwajima jana tar 24 ameitisha pree na kuongea mambo kadha wa kadha.
Katika mengi aliyoyaongea Gwajima jambo moja juu ni hili.
Gwajima amekuja kutuonyesha kwamba sisi WATANZANIA tunataka ukombozi lakini tunatumia njia ambayo siyo sahihi kuitafuta ukombozi huo.
Gwajima...
Wasalaam,
WEnye macho wataona vipofu watasikia ila zile za ndani kabisa think tank wa system wameona Kanda Ile yenye nguvu lazima apatikane mtu wao ili wachangamshe uchaguzi 2025....
Muda si mrefu na yule wa kwao kutoka Kanda Ile Ile yenye nguvu nae atasogezwa pembeni kuongeza nguvu upinzani...
Friends and our Enemies,
Gwajima kama mwanachama na mbunge wa CHAMA ana platforms za kusimama na kuongea ndani ya serikali, na ndani ya chama.
Sasa anaposimama na kusema kwamba huenda hao watu wanaoteka watu may be ni kikundi TU cha watu Fulani ambao wanatumwa na mtu Fulani na inapotokea...
Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya...
Askofu Josephat Gwajima ni mwanasiasa ambaye amekuwa kwa mara kadhaa akitoa matamko na misimamo ambayo inalenga kumtengenezea umaarufu yeye binafsi kwa maslahi yake mwenyewe.
Ikumbukwe mwaka 2019 ziliposambaa mtandaoni picha za ngono ambazo yeye mwenyewe baadae alijitokeza na kusema...
Hii inaitwa ikisimama Nchale, kukimbia Nchale! Mziki wa Gwajima mnaujua, Gwajima ni Lijabali likuuuuubwa sanaaaa. Hoja za Gwajima ni za Kweli na Haki.
Sasa watumeni Akina Steve Mangele, Mafufu, Sijui Akina kibajaji, Makonda, na wajinga wajinga wa aina hiyo wamjibu GWAJIMA. Uzuri kasema 'kuna...
Umuofia Kwenu wana JF,
Nimejaribu kupitia link karibu tatu zilizorusha Stream ya Askofu Gwajima ,Zote zimefutwa.
Pia soma: Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka
Kwa wenye akili tumemuelewa Gwajima.
Kwa maneno yake ukimsikiliza neno kwa neno utaelewa kuwa kwa sasa kuna kikundi kinachowajibika kwa Rais tu ambacho kinafanya vitendo vya Utekaji na Mauaji ya Watanzania wanaompinga Rais na CCM.
Ukimsikiliza vizuri Gwajima utaelewa kuwa imeonekana katika...
https://youtu.be/N56WUqh2ODg?si=A_rAwRxypLvDeseF
Mungu awe nanyi nyote..!!
Ni dhahiri shahiri kwamba yajayo nchi hii, yanafurahisha...
• Ni mwendelezo wa ujumbe wa Mungu juu ya utawala wa nchii toka kwa mtumishi wa Mungu Nabii Steven Jacob wa Huduma ya Kristo (The Christ's Ministry) iliyoko...
Hellow Tanganyika!!
Vita ya kiuchumi imepamba moto, hivi sasa unakula embe ,chungwa, papai linalochukua miezi chini ya SITA tu, linakuwa tayari Kwa chakula, Cha kushangaza hakuna mbegu ndani ya tunda Hilo.
Mahindi vile vile, tunaletewa mahindi ya mbegu ambayo huwezi kuyaotesha baada ya kuvuna...
Poleni na hongereni na kutafuta mkate wa kila siku! Leo roho wa Mungu amenisukuma niseme na mtumishi wa Mungu Akofu jophate Gwajima.
Upo ccm huna amani, huna furaha, huna uhuru wa kusema uovu unafanywa na na viongozi wa ccm ni kwa sababu upo CCM.
Na wewe ni msema kweli, kiasili ww hauwezi...
Ndugu yangu askofu Josephat Gwajima wewe ndiye baba askofu mkuu wa makanisa yote ya ufufuo na uzima Tanzania, wewe ni mbunge na ni kada wa chama Cha mapinduzi unakiona anachofanya mojawapo ya wachungaji wako pale Kibaha kwa Mathias ?
Askofu mwanamapinduzi amelibadili kanisa la Kibaha kuwa...
Salaam, Shalom!!
Askofu Gwajima ameendelea kusisitiza juu ya umuhimu wa KATIBA mpya kuwa mamlaka ya Rais ni muhimu yadhibitiwe, Rais aingiapo madarakani aikute dira na mipango na vipaumbele vya Taifa vya muda mrefu Ili ajikite hapo.
Amesisitiza kuwa, maono ya Taifa ya muda mrefu yakiwekwa...
JOSEPHAT GWAJIMA AKICHANGIA BUNGENI BAJETI YA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI MWAKA WA FEDHA 2023/2024
Mbunge wa Jimbo Kawe lililopo Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Askofu Dkt. Josephat Gwajima amechangia bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi iliyowasilishwa Bungeni na Waziri wa Mifugo...
Salam wakuu.
Niende kwenye mada. Katika kuzunguka huku na kule ndani ya nchi ktk kutimiza majukumu yangu, mwishoni mwa juma lililopita nilikuwa kusini mwa nchi. Mkoani Ruvuma, wilaya moja ya Nyasa ambayo makao yake makuu ni Mbamba Bay.
Sasa, kwa siku mbili mfululizo yaani Alhamisi na Ijumaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.