john

  1. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Taifa CHADEMA, John Mnyika ataongea live kupitia kituo cha ITV asubuhi

    Kijana mwenye akili nyingi,hekima, busara na upeo wa hali ya juu, John John Mnyika, Katibu mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kesho Jumatano tarehe 29.01.2020 saa tano asubuhi atakuwa hewani akitoa darasa la siasa, demokrasia na maendeleo. Madini ya Mnyika hayapaswi kupitwa na kila...
  2. JamiiForums Tanzania President John Magufuli's pregnant schoolgirl ban angers Tanzanian women

    President Magufuli warned schoolgirls at a rally on Monday that: "After getting pregnant, you are done." A law passed in 2002 allows for the expulsion of pregnant schoolgirls. The law says the girls can be expelled and excluded from school for "offences against morality" and "wedlock"...
  3. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika atema cheche kuhusu kauli ya Mwenyekiti wa CCM ya uchaguzi kuwa huru na haki

    Hapa ndio utaelewa kwanini Mh Mbowe ameamua John Mnyika awe Katibu Mkuu wa CHADEMA , yaani anatema madini matupu ! Mnyika amesema: "Sasa nifikishe ujumbe tu kwa Rais Magufuli, ambaye amesema yeye, akiwaambia mabalozi kwamba, uchaguzi wa mwaka 2020 utakuwa uchaguzi huru na haki ujumbe wangu kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Alichosema John Locke kuhusu sheria na haki

    Habari my comrades Kuna maneno mengi sana yanasemwa na mwanadamu kuhusu namna mbalimbali ndani ya jamii zetu, Lakini kuna sentensi zilizosemwa ambazo zitabaki na sisi wanadamu muda wote ambao tutakuwa wakazi kwenye hii sayari yetu ya tatu kutoka nyota jua. Mwanadamu kiumbe ambacho kazi yake...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

    Mwaka 1964 siku thelathini baada ya uhuru wa bandia wa Zanzibar, wanamapinduzi kumi na nne wakiongozwa na mpigania uhuru John Okello aliwaongoza kwenye mapinduzi ya Zanzibar yaliyokuwa na umwagaji mkubwa wa damu. Baada ya mapinduzi kufanikiwa John Okello [kiongozi wa mapinduzi] alichukua jukumu...
  6. JamiiForums Tanzania John Heche mubashara ndani ya star TV

    Karibuni tumsikilize John Heche mubashara ndani ya star Tv.
  7. JamiiForums Tanzania Mnyika apewa Uchifu Mwanza na kupewa jina la Chief Malonja, ataka marekebisho ya Katiba

    Wana MWANZA wamempokea Katibu Mkuu wa CHADEMA kwa shangwe na kuweka historia kwenye mkoa huo kwa kuamua kukabidhi hadhi ya Chifu wa Wasukuma. Hakika huu ni msimamo wa kujivunia sana kwa wana MWANZA na inaonyesha kuwa sasa wameanza kujua mchele ni upi na chuya ni zipi kati ya CCM na CHADEMA...
  8. JamiiForums Tanzania Dr Mashinji ambaye ni Katibu Mkuu mstaafu wa CHADEMA amkabidhi ofisi Katibu Mkuu mpya John Mnyika

    Huu ni utaratibu wa kawaida kwa chama cha siasa kikubwa na kilichokomaa kama Chadema Mungu ibariki Chadema
  9. M

    JamiiForums Tanzania John Mnyika ateuliwa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, Benson Kigaila-NKM Bara na Salum Mwalimu NKM Zanzibar

    WanaJF Salaam Ni siku nyingine muhimu kabisa katika historia ya chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA. Baraza Kuu jipya la Chadema linakutana leo maalum kuichagua sekretariati mpya ya chama hicho itakayokivusha katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Kwa mujibu wa Katiba ya chama hicho...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi: Mh Rais Magufuli, jina la John maana yake ni ‘Mtu aliyependelewa na Mungu na kupewa baraka zote’

    Waziri wa Mambo ya Nje Prof. Kabudi ametoa tafsiri ya jina la John kwa mujibu wa Biblia kuwa ni mtu aliyependelewa na Mungu wa mbinguni na kupewa baraka zote. Tafsiri hii imetolewa na Prof Kabudi mbele ya Rais Magufuli, nami Johnthebaptist nakubaliana na huyu mzee wangu wa Kanisa pale St Alban...
  11. JamiiForums Tanzania UCHAGUZI BAVICHA: John Pambalu aibuka kidedea Uenyekiti. Nusrat Shaaban Hanje ateuliwa kuwa Katibu Mkuu

    Baraza la vijana (Bavicha) la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) linaendelea na uchaguzi wake leo kwa ngazi ya kitaifa. Muda mfupi uliopita katika ukumbi wa Mlimani City limewapata viongozi wake wakuu ambapo Diwani wa Butimba jijini Mwanza, Bwana John Pambalu ameshinda Uenyekiti kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kufuata ili kuonana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mazungumzo binafsi

    Wadau nimeandaa safari ya kwenda kuonana na Rais JMT hata nahitaji nikaonane naye ana kwa ana nifanye naye mazungumzo kama raia wa kawaida kijana mpenda maendeleo. Watu wengi sana wamekuwa wakienda Ikulu lakini hao ni wale wenye channel. Je, kwa mimi nisiye na channel ama kujuana na yoyote...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Prince Katenga II: Ujio wa John Pombe Joseph Magufuli

    Dr. Prince Katega II: WAZUNGU WANAMWOGOPA SANA MAGUFULI December 2, 2019 Mwana diaspora Dr. Katega II anatuletea gumzo alilolisikia akiwa mtanzania mwenye makaazi ulaya ya Kaskazini juu ya mafanikio makubwa ya serikali ya awamu ya 5 katika utawala wake ndani ya miaka minne ya mwanzo toka kuanza...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli taarifa hii muhimu na ya ‘ Aibu ‘ kutokea Mkoani Kwako Geita unayo?

    Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa Imani za ‘ Kishirikina ‘ ambazo sasa zimeanza ‘ Kuzoeleka ‘ Mikoa ya Kanda ya Ziwa ( Ukiuondoa wa Mara / Musoma tu pekee ambao unaongoza kwa kuwa na Watu Wastaarabu Kanda ya Ziwa nzima kama si Tanzania na Duniani kwa ujumla ) hasa ile inayokaliwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Clinical care interns at John Snow Inc

    Title: Clinical Care Interns Regions: Dar (4); Morogoro (2); Mbeya (1); Dodoma (1); Tabora (1); Mwanza (1); Kagera (1); Shinyanga (1); Iringa (1); Songea (1); Mtwara (1) Background: The Strengthening High Impact Interventions for an AIDS-free Generation (AIDSFree) Project, funded by the U.S...
  16. JamiiForums Tanzania Malecela- Rais John Magufuli anafanya kazi kubwa mno

    WAZIRI Mkuu Mstaafu, John Malecela amesema kutojitokeza wagombea wa vyama vya siasa vya upinzani kugombea nafasi za wenyeviti za Serikali za Mitaa, Vitongoji na Kata katika Jimbo la Mtera kunaonesha namna Serikali ya Awamu ya Tano ilivyojikita katika kutatua changamoto mbalimbali za kimaendeleo...
  17. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini na utawala wa Dr John Magufuli

    Viongozi wa dini zote wanalojukumu kubwa la kujenga mioyo ya wanachi kwa kutekeleza yale Mungu anayoyataka na kuya acha yale Mungu anayokataza. Hili linathibitika katika dini ya Kiislamu tunapo ambiwa katika Quar-an takatifu kuwa litoke kundi miongoni mwenu litakalowaamrisha watu mema na...
  18. JamiiForums Tanzania Duh, kumbe uchaguzi ulio huru na wa haki ni hisani ya Dr. John Pombe Magufuli na si matakwa ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!

    Nikimnukuu kada wa CCM na Gwiji wa siku nyingi humu JamiiForums, Pascal Mayalla... "We have nothing to loose rais Magufuli akiruhusu demokrasia ikashamiri, akatoa haki sawa kwa vyama vyote kufanya siasa ikiwemo kuondoa zuio la mikutano ya siasa, bado rais Magufuli anaweza kuyaleta maendeleo...
  19. JamiiForums Tanzania Kauli mbili za kiroho kutoka kinywani mwa Rais John Pombe Magufuli

    Naenda moja kwa moja kwenye point. Hizi ni kauli 2 za kiroho kutoka kwa Rais wa awamu ya 5 wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, Mh. John Pombe Magufuli. 1. TANZANIA NI NCHI TAJIRI/ WE ARE A DONOR COUNTRY. This voice was coming from God himself. Magufuli was just used as a mouthpice of...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kheri ya Kuzaliwa kwako Mheshimiwa Rais John Magufuli.

    Leo Oktoba 29 Mheshimiwa Rais wa Tanzania Dr.John Pombe Magufuli amezaliwa. Mengi aliyoyafanya na anayozidi kuyafanya hakika anastahili Pongezi za kila namna. Wengi wanatamani kumapatia Zawadi lakini hawawezi ila zaidi ni kumtakia kila a kheri na kumuombea dua njema kwa Mungu ili aendelee...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…