President John Magufuli's pregnant schoolgirl ban angers Tanzanian women

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
51,724
2,000
President Magufuli warned schoolgirls at a rally on Monday that: "After getting pregnant, you are done."

A law passed in 2002 allows for the expulsion of pregnant schoolgirls.

The law says the girls can be expelled and excluded from school for "offences against morality" and "wedlock".

Women's rights groups have recently been urging the government to change the law.

President Magufuli, who was speaking at a public rally in Chalinze town, about 100km west of the main city Dar es Salaam, said that young mothers would be distracted if they were allowed back in school:

"After calculating some few mathematics, she'd be asking the teacher in the classroom: 'Let me go out and breastfeed my crying baby.'"

He said that men who impregnate the schoolgirls should be imprisoned for 30 years and "put the energy they used to impregnate the girl into farming while in jail".
 
mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
11,696
2,000
Hapa sasa ndio tunawekana sawa bila hivyo watu watabeba mimba hovyo hovyo. Akupata mimba kaa ukijua skonga hamna tena na mgegedaji wee kalime tuu huko magereza... Its fair kabisa yaani.
 
KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
17,076
2,000
Hivi nyie vipi..? Hapo nimeelewa neno pregnant na school na girl nimeunga dot nimepata kitu!! Mnafikiri hao watia mimba ni wanaojua kiingilishi ni sisi waswahili ndo watia mimba hebu tutafsirieni tujue kiundani kama kuna changamoto tutatue tujue tunatokaje.. hili li pele mmelipeleka pasipo leteni kwa kiswahili tulikune.
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
51,724
2,000
Hapa sasa ndio tunawekana sawa bila hivyo watu watabeba mimba hovyo hovyo. Akupata mimba kaa ukijua skonga hamna tena na mgegedaji wee kalime tuu huko magereza... Its fair kabisa yaani.
Waambieni ukweli World Bank kuwa hamsomeshi wenye watoto.
 
vexozanzhu

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
459
1,000
Hapana, hakumaanisha wanafunzi kutokujua hisabati. Alimaanisha kusema "baada ya (yeye) kufanya mahesabu" (after crunching numbers).
Atakuwa amejuaje kwamba wataomba ruhusa za kwenda kunyonyesha je wakisikiliza kipindi kizima? maan vipindi vingi vya hesabu ni asubuhi, kugeneralize mambo si kuzuri sana
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
4,498
2,000
President Magufuli warned schoolgirls at a rally on Monday that: "After getting pregnant, you are done."

A law passed in 2002 allows for the expulsion of pregnant schoolgirls.

The law says the girls can be expelled and excluded from school for "offences against morality" and "wedlock".

Women's rights groups have recently been urging the government to change the law.

President Magufuli, who was speaking at a public rally in Chalinze town, about 100km west of the main city Dar es Salaam, said that young mothers would be distracted if they were allowed back in school:

"After calculating some few mathematics, she'd be asking the teacher in the classroom: 'Let me go out and breastfeed my crying baby.'"

He said that men who impregnate the schoolgirls should be imprisoned for 30 years and "put the energy they used to impregnate the girl into farming while in jail".
Kwa kauli ya Raisi na sheria mbovu imetukosesha $500m za world bank kwenye sector ya elimu......lakini naomba Wb wawe considerate wasichukulie kauli za Raisi wetu very serious sana yeye haandikagi hotuba zake anapinga free style

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
5,396
2,000
Adhabu inapaswa iwe ya kufunza (reformative and not destructive). Kumfukuza mtoto shule siyo reformative kwasababu future yake ya kielimu imekatishiwa mbali. Kwanza huyo ni mtoto hivyo adhabu haipaswi kuwa kali kama vile tuna vinyongo na watoto. Of cause, watoto hawapaswi kujihusisha na mapenzi wakati wakiwa bado wanasoma, lakini si kwa adhabu hii, ifikiriwe adhabu nyingine itakayo wajenga watoto na kuwafanya waone bado wanathaminiwa na taifa lao.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom