John Heche Anaweza: Kikwazo Chake ni Lissu

Katibu Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2025
Posts
487
Reaction score
116
Umofia wakuu...

Katika ulimwengu tangu kale,jamii zote hupitia vipindi tofauti mara zote,Msosholojia Auguste Comte aliwahi kuzitaja kuwa ni metaphysical,religious na positive science.

Hali hizo pia kwa wataalamu wa siasa na utawala tunakubaliana kuwa chadema imepitia vipindi hivyo tangu kuundwa kwake.Mzee Mtei alikiacha kwa Bob Makani,Makan akamuachia Mbowe,na Mbowe akamuachia Tundu Lissu.

Lissu amewekwa kizuizini lakini Heche anaendelea vema sana na kazi bila Lissu,na kiukweli uwezo wa Heche ni mara 3 ya Lissu. Katika siasa kunahitaji maamuzi magumu,Heche anapaswa kufanya maamuzi magumu sana ili kuipeleka Chadema Kushika dola kama ilivyo malengo yake.

Heche fanya mageuzi haraka, Lissu atatoka baadae na utaungana nae ila kwa sasa wewe unapaswa kuwa Mwenyekiti na Lema awe makamu wako jambo ambalo litawasaidia ka isa kufocus na harakat kuliko kushinda mahakamani.

Heche uamuzi ni wako,Upinzani kushika dola wewe ndio mwenye ufunguo,nakutakia kila lakheri.
Asalam aleykum kwa waamini wote.
 
Lissu amewekwa kizuizini lakini Heche anaendelea vema sana na kazi bila Lissu,na kiukweli uwezo wa Heche ni mara 3 ya Lissu.Katika siasa kunahitaji maamuzi magumu,Heche anapaswa kufanya maamuzi magumu sana ili kuipeleka chadema Kushika dola kama ilivyo malengo yake.Heche fanya mageuzi haraka,lissu atatoka baadae na utaungana nae ila kwa sasa wewe unapaswa kuwa Mwenyekiti na Lema awe makamu wako jambo ambalo litawasaidia ka isa kufocus na harakat kuliko kushinda mahakamani.
Heche uamuzi ni wako,Upinzani kushika dola wewe ndio mwenye ufunguo,nakutakia kila lakheri.
Asalam aleykum kwa waamini wote.
Kama umekwenda shule basi huko ulienda kusomea ujinga.
 
Umofia wakuu...

Katika ulimwengu tangu kale,jamii zote hupitia vipindi tofauti mara zote,Msosholojia Auguste Comte aliwahi kuzitaja kuwa ni metaphysical,religious na positive science.

Hali hizo pia kwa wataalamu wa siasa na utawala tunakubaliana kuwa chadema imepitia vipindi hivyo tangu kuundwa kwake.Mzee Mtei alikiacha kwa Bob Makani,Makan akamuachia Mbowe,na Mbowe akamuachia Tundu Lissu.

Lissu amewekwa kizuizini lakini Heche anaendelea vema sana na kazi bila Lissu,na kiukweli uwezo wa Heche ni mara 3 ya Lissu. Katika siasa kunahitaji maamuzi magumu,Heche anapaswa kufanya maamuzi magumu sana ili kuipeleka Chadema Kushika dola kama ilivyo malengo yake.

Heche fanya mageuzi haraka, Lissu atatoka baadae na utaungana nae ila kwa sasa wewe unapaswa kuwa Mwenyekiti na Lema awe makamu wako jambo ambalo litawasaidia ka isa kufocus na harakat kuliko kushinda mahakamani.

Heche uamuzi ni wako,Upinzani kushika dola wewe ndio mwenye ufunguo,nakutakia kila lakheri.
Asalam aleykum kwa waamini wote.
Jitambulishe vyemaa ni katibu mkuu wa chama uchochoroni ama chama kesi za uhaini?Baada ya utambulisho tuma salamu kwa waendesha kesi feki za uihaini kufumba mdomo wazalendo wa tasifa hili!
 
Wewe hauna uelewa,unaoneka umefika chuo kikuu,ila uelewa wako ni duni sana ndio maana unafanya kazi kwa mhindi
 
Back
Top Bottom