john

  1. Nimemwandikia Rais barua kuomba stendi ya Nyamongolo Mwanza ipewe jina la John Mnyika

    Sijui Nani ana mamlaka ya kutoa hata majina lakini bila shaka Rais ana ushawishi. Nimemuomba mama Samia afikirie kuipa stendi mpya jijini Mwanza jina la Katibu wangu John Mnyika. Nimependekeza jina la Mnyika sababu ya uwezo wake mkubwa wa kiongozi hapa makao makuu, busara, elimu, ushawishi...
  2. Kenya2022 Uchaguzi Kenya unatukumbusha mtanange wa Hayati John Magufuli vs Edward Lowassa

    Odinga atapata kura sio zaidi ya milioni 8. William Ruto kura si zaidi ya milioni 6 Ndivyo itakavyotokea. Hata kwa akina Magufuli vs Lowassa ilitokea hivi. Lets wait and see!
  3. S

    Mawaziri kulipwa au kutokulipwa perdiem, nani tumuamini kati ya John Heche na Kitila Mkumbo aliyekanusha madai ya Heche?

    Habari Wakuu! Siku chache zilizopita, niliweka uzi hapa Jukwaani nikihoji uhalali wa mawaziri kulipwa perdiem wawapo Bungeni. Mada ile ilitokana na tweet ya John Heche aliedai Waziri Mkuu analipwa perdiem awapo Bungeni. Hata hivyo, Siku ya leo Mhe. Kitila Mkumbo amejitokeza kuchangia mada...
  4. Jackline Sakilu amrithi John Akhwari

    Mkimbiaji wa marathon kwa wanawake Jackline Sakilu jana alifanya kilichofanyika na mwanariadha Mtanzania mwingine John Stephen Akhwari katika mashindano ya marathon katika Michezo ya Olimpiki mwaka 1968 huko Mexico City. Sakilu, akiwa na Mtanzania Mwenzake Failuna Matanga (huyu alimaliza wa...
  5. M

    KWELI Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli alifariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Joseph Magufuli amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 61 Taarifa rasmi iliyotolewa kwa umma na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan kupitia Televisheni ya Taifa (TBC) leo usiku Machi 17, 2021 saa 5 usiku imeeleza kuwa Rais Magufuli amefariki...
  6. Rais Samia amteua Jacob John Mkunda kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF)

    Rais Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Meja Jenerali Jacob John Mkunda kuwa Jenerali, na amemteua kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF). Kabla ya uteuzi huo alikuwa Mkuu wa Tawi la Operesheni na Mafunzo katika Makao Makuu ya Jeshi. ==== RAIS, Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Meja...
  7. L

    John Mduma, mlinzi pekee wa Rais alieaminiwa na serikali zote 6, Muuza samaki Feri MAGOGONI

    John Mduma, mlinzi pekee wa Rais alieaminiwa na serikali zote 6, Muuza samaki Feri. Huyu ndio jasusi pekee aliwahi kufanya kazi Rasmi akiwa na miaka 8, mpaka Leo akiwa na miaka 35 akiwa ndio mpanga ratiba mkuu wa ziara za Mtukufu ndani ya nchi. Amezaliwa Kijiji Cha nkololo bariadi, historia...
  8. Riwaya na hadithi za John Wisse zote mpya utazipata hapa

    UZI HUU NI MAALUM KWA AJIRI YA KUSOMA NA KUPATA RIWAYA ZA JOHN WISSE. UKIHITAJI KITABU CHOCHOTE UTAKIPATA KWA KUULIZA HAPA NAWE UTAJIBIWA HARAKA NA KUPATA KILE UNAKIHITAJI.
  9. Harusi ya Jackie Bouvier na John Kennedy 1953

    Wametumia American measures wanasema shela yake ilikua ya urefu wa yadi 50. Mkononi bibi harusi alivaa bracelet ya almasi iliyokuwa zawadi kutoka kwa John Kennedy
  10. Zoezi la 'Beacons' Loliondo lamuibua Mkuu wa Mkoa John Mongella

  11. Safari ya Maisha ya Kiroho ya Hayati Dkt. John Magufuli

    Safari ya Maisha ya Kiroho ya Dr. John P. Magufuli wa Tanzania Askofu mkuu Protase Rugambwa, ameongoza Ibada ya Misa Takatifu kwa ajili ya kumwombea Hayati Dr. John Pombe Magufuli wa Tanzania. Baada ya Ibada ya Misa, ilifuatia dua iliyoongozwa na Bwana Abdul Hamid Ahmed na mwishoni, Balozi...
  12. Mzee wa upako: Haina maana Samia Suluhu anafurahia kifo cha Magufuli, ni ramani ya Mungu. Adai Magufuli alimwambia 'alideep' Urais

    Mzee wa upako akiwa kwenye kongamano la viongozi wa dini la kumuombea na kumpongeza Rais Samia ameongelea kuhusu uongozi na ameongelea jinsi viongozi wa Tanzania walivyopatikana ikiwemo Samia, Magufuli na mwl Nyerere. Mzee wa Upako(Anthony Lusekelo): Wakati Jakaya anamaliza uenyekiti wa chama...
  13. P

    Tuzo aliyopewa Rais Samia na shukrani zake kwa mtangulizi Hayati John Magufuli

    Unaweza ukamkejeli kadri unavyojisikia kwamba alikuwa mtesaji, alikuwa mkabila alikuwa mkatili. Unaweza ukamsimanga kadri ya uwezo wa akili yako utakavyokuwezesha, hataweza kukujibu amelala usingizi wa milele na hataweza kuamka. Amepumzika nyumbani kwake Chato, na siku alipokuwa njiani kuelekea...
  14. Q

    John Mnyika: Mambo CHADEMA tuliyozungumza na wenzetu wa CCM

    Mkutano ule wa Mei 20,2022 ,ni mwanzo wa mazungumzo ya timu mbili. Upande wetu CHADEMA tuliwasilisha ajenda mbili ya kwanza ni kurejeshwa kwa mchakato wa katiba ya nchi yetu na ya pili ni kujadili madhara ya miaka sita iliyogubikwa na ukiukwaji wa haki Itakumbukwa Aprili 07, 2021 Mwenyekiti...
  15. Huenda Joanfaith John Kataraia is best DED of the history, anajituma sana huyu binti

    Nawasalimu kwa jina la JMT, Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni,Huyu Mkurugenzi deserves better tuache unafiki, Wakati Rais Samia Suluhu Hassan anamteua binti huyu mdogo mrembo minong'ono ilikuwa mingi hasa humu mitandaoni,nikiwamo na Mimi, Majuzi nilifanikiwa kufika Wilaya ya Malinyi...
  16. Rais Samia kuwa mwangalifu, hawa wanaomsema Hayati Magufuli ndio watakusema ukiondoka madarakani

    Rejea kichwa cha habari Siku ukiondoka madarakani utasemwa sana, na katika mwaka wako wa uongozi umeonesha udhaifu tayari hasa katika suala zima la ROYAL TOUR, inasemekana watu wamepiga pesa na kukuachia msala maana hatimiliki iko chini ya Peter Greenberg na Tanzania haijanufaika na chochote...
  17. L

    John Demujacor: Demokrasia ni muhimu, lakini uongozi wa chama ni muhimu zaidi

    Bw. John Demuyakor, mwanahabari wa Ghana anayesoma shahada ya uzamivu katika Chuo Kikuu cha Mawasiliano cha China hivi karibuni alisema, "demokrasia ni muhimu, lakini uongozi wa chama ni muhimu zaidi, na mafanikio ya Chama cha Kikomunisti cha China CPC katika suala hili yanapaswa kuigwa na vyama...
  18. John Heche vs Dkt. Slaa: Je, ni kweli utekaji, kupotea kwa watu na kupigwa risasi Tundu Lissu Septemba, 2017 ni 'INSIDE JOB' ya CHADEMA wenyewe?

    Ni malumbano makali kati ya John Heche [M/Kiti - CHADEMA - kanda ya Serengeti] na Dr W. P. Slaa [Former GS wa CHADEMA] huko club house moja usiku wa kuamkia leo Alhamisi trh 28/4/2022.. Msingi wa malumbano hayo ni hoja ya Dr Slaa aliyowahi kuiibua na kuripotiwa hapa hapa JF kuhusu UTEKAJI...
  19. Yuko Wapi John Stephen Akhwari

    Mimi si mfuatiliaji sana wa sports na riadha Ila ningependa kufahamu alipo huyu LEGEND aitwaye John Stephen Akhwari
  20. Umoja Party waelezea sababu ya kutumia picha ya John Magufuli

    Mwanzilishi wa Chama cha Umoja Party, Seif Maalim ametoa sababu za kwanini chama hicho kinatumia picha ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika fulana zao. Maalim amesema chama hakina nia mbaya kutumia picha hiyo kwa kuwa ni moja ya njia ya kujitangaza kwa wananchi. "Unajua sera zetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…