john

  1. Mdogo wake Elton John, Jeoff Dwight

    Baba Yao ni mmoja lakini mama tofauti. Jeoff hana pesa kama kaka yake, ni mbangaizaji tu lakini haja left the group of men.
  2. "Bongo nyoso" na "katoa boko" vina uhusiano na Juma Nyoso na John Boco?

    Mtu akisema "bongo nyoso" inamaana bongo noma, au hatari, au ujanja ujanja mwingi. Mtu akisema umetoa boko ni kama umeharibu, hukufanya kama ilivyotarajiwa au ilivyozoeleka, sasa je? Kuna uhusiano wa na lile tukio la wachezaji au ni coincedence ?
  3. Akumbukwe John Okello, Baba wa Taifa la Zanzibar. Bila huyu leo Zanzibar wangekuwa bado Utumwani

    Huyu ni Mmoja wa Mashujaa wa miaka ile aliyeshiriki kuwaondoa Makoloni huko Zanzibar. Kama ambavyo Bara nao walikuwa wameondoa wao. Anasimulia mzee wangu ambaye alikuwa Mwalimu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam miaka hiyo Che Guavera alikuja Tanzania mwaka 1965. Anasema Che alijaribu kuulizia habari...
  4. John Mnyika na John Heche turufu ya CHADEMA kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Sitashangaa endapo mmoja kati ya hawa magwiji wa siasa za hoja wakipata nafasi ya kupeperusha bendera ya kugombea urais wa Tz kupitia CDM. Jamaa wana uelewa mpana kwa kugonga spana kwa hoja kali sana, Pili hawa jamaa hawana makando kando mengi kwa jamii hivyo wananchi wanaowafatilia kwa...
  5. J

    Tujikumbushe Mdahalo kati ya Ole Sabaya na John Pambalu

    Sikiliza hapa. Hii nchi imetoka mbali sana.
  6. John Heche: Walio Madarakani Wanatengeneza umasikini, Deni la taifa lafika Trilioni 94. Bandari ya Dar yazidiwa na Mombasa

    Chama Cha demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Nyasa kimefanya kongamano la kisiasa lenye lengo la kutoa elimu kwa wanachi juu ya haki zao. Mhe. Mchg. Peter Msigwa, mbunge Mstaafu wa Iringa Mjini, Joseph Mbilinyi, Mbunge Mstaafu wa Mbeya Mjini na Mbunge Mstaafu wa Tarime Mhe. Heche ni...
  7. Elton John adai kilichomtoa Twitter ni mabadiliko ya sera, Elon Musk amjibu

    Mwanamuziki huyo ameongeza ya mastaa waliojitoa katika mtandao huo tangu uanze kumilikiwa na Elon Musk, amedai kuwa mabadiliko hayo yatachangia taarifa potofu kusambaa kwa urahisi. Akijibu hoja hiyo, Musk amesema anaamini mwanamuki huyo atarejea Twitter. Aidha, mtangazaji maarufu wa Uingereza...
  8. R

    Anayejua Viwanda vilivyojengwa na Hayati Rais Dkt. John Magufuli anioneshe vilipo

    Habari ndugu zanguni. Kutokana na hali ngumu ya kimaisha ambayo Watanzania wanapitia kwa sasa( ofcourse tulitabiri hili) ni muda sasa vijana wa kitanzania wakawa Absorbed kwenye ajira za viwanda. Ni viwanda vile tulivyoimbiwa nyimbo na mapambio na wanaccm kwamba vinajenga na kila siku vilikuwa...
  9. N

    Alichokijenga Bashiru sasa kinambomoa

    Alichokijenga Dk Bashiru sasa kinambomoa Alhamisi, Novemba 24, 2022 Wana JF nimepakua hii habari ili kwa wale wasioingia kwenye magazeti muisome By Luqman Maloto Novemba 22, 1963 Rais wa 35 wa Marekani, John Kennedy “JFK”, alipigwa risasi na kuuawa. Mshituko ulikuwa mkubwa kuanzia eneo la...
  10. Kisa cha Rais John Pombeo na David Albert (sehemu ya pili)David Albert alivyomtapeli Rais John Pombeo

    Tunaendelea na simulizi ya kweli ya Rais John Pompeo na swahiba wake David Albeet Basheet Baada ya Rais Pompeo kuingia madarakani alitengeneza chamandani ya chama kwa kutoa wenye chama na kupachika watu wake,akatengeneza serikali kivuli isiyo rasmu ndani ya serikali yake. David Albeet Basheet...
  11. John Heche Muongo, eti Misri mvua hainyeshi miaka 20 lakini hakuna mgao wa maji

    Kasema Tanzania kuna Ziwa Nyasa, Tanganyika, Ziwa Victoria lakini tunadai kuna upungufu wa maji na kuna mgao Dar na Mwanza. Eti Jangwa la Kalahari huko Botswana maji yapo hakuna mgao. Anasema Tanzania hakuna Viongozi wenye maono sababu wananunua Magari ya Bil 500 wakati Dar Bil. 200 inamaliza...
  12. Tangu tumepata uhuru ni hayati Julius Nyerere na hayati John P. Magufuli waliujua kwa undani na umaskini wa watanzania wengi na kuwaonea huruma

    Julius alikuwa na huruma juu ya raia wa chini. Hakutaka wateseke na tozo, kodi, ada za shule na hata kuhangaika kupata chakula. Julius alipambana kila Mtanzania angalau asipate tabu sana ila mabeberu na vibaraka wa mabeberu walimkwamisha. Hayati John Pombe alipambana masikini wasihangaike...
  13. Happy Birthday Chuma, happy birthday John Pombe Magufuli

    Ni Oktoba 29, 1959 siku ambayo Mwenyezi Mungu alitupa Watanzania zawadi ya Mtoto John Pombe Magufuli ambaye Leo hii tunamkumbuka kama Mkombozi, Shujaa, Mtetezi, Mlezi, Mjenzi wa Watanzania,leo hii kwa Afrika ukilitaja jina la John Pombe Magufuli ni nembo ya uongozi wa mfano Afrika na Duniani...
  14. John Mnyika ndo mwanasiasa mwenye mvuto kwa sasa

    Great thinkers. Correct me if I'm wrong. Kiufupi John Mnyika ndo mtu pekee anaweza kusimama na kushawishi jambo Kwa Sasa. Zitto Kabwe pumzi imeisha mapame baada ya kulamba asali. Ila sitashangaa kutokea kwa usaliti wowote ule maana wanasiasa wetu wanajulikana. Ukiwa famous unarudi CCM...
  15. B

    Swali kwa wacheza draft: Hivi Omary John (oj) ni copy gani na kwanini inachezwa?

    Utasikia wacheza draft Mtandaoni wanaambiana sijui tucheze oj, oj inachezwaje? Na kwanini wasicheze Copy ya samba au pandu? Bali oj
  16. John Bocco huwa anaingizwa kufanya nini kwenye mechi za kimataifa?

    Bocco anayo rekodi nzuri pale Simba na hakika mchango wake ndani na nje ya uwanja hauwezi kusahaulika. Ila kwasasa ni vizuri uhalisia ukazingatiwa, John umri umemtupa mkono. Mechi za kimataifa zinataka kasi na umakini mkubwa. Leo amepoteza mipira mingi sana kwa dakika chache alizocheza...
  17. Elton John, Prince Harry waishtaki Daily Mail kwa kukingilia faragha zao

    Wawili hao ni miongoni mwa watu maarufu waliochukua hatua za kisheria dhidi ya Kampuni ya Daily Mail ya Uingereza wakidai kuna ukiukaji mkubwa wa faragha. Wanadai Dail Mail wametumia vifaa kusikiliza mazungumzo yao binafsi kwenye gari na nyumbani, pia wamewalipa watu wanaowafuatilia maisha yao...
  18. TANZIA Askofu John Ramadhani afariki dunia

    Habari zalizotufikia hivi punde ni kuwa askofu mstaafu wa kanisa Anglikana Dayosisi ya Zanzibar na askofu mkuu msataafu wa Kanisa Anglikana jimbo la Tanzania John Ramadhani amefairiki dunia. Bishop Ramadhani ni kaka wa marehemu jaji mkuu msataafu wa Tanzania Jaji Augustino Ramadhani. Bishop...
  19. TANZIA RIP Mwalimu John Lusungu Nusurupia Myavilwa wa Kwaya Kuu Habari Njema Arusha

    Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mwalimu Mstaafu wa Kwaya Kuu Habari Njema Arusha Mjini Kati Ndugu John Lusungu Nusurupia Myavilwa. Atakumbukwa kwa kazi ya kutunga na kufundisha nyimbo za Injili Kwaya mbalimbali nchini ikiwemo Kwaya ya Vijana Makorora Tanga miaka ya 1970+...
  20. John Mnyika is our next Man 2025

    Habari Wakuu! Ijapokuwa 2020 nilimpigia kura Tundu Lissu ila moyoni sikuwahi kuamini watu wa misimamo mikali like him wanaweza kumake as good President. Tundu Lissu mbali na CV ya uadilifu iliyotukuka, misimamo yake juu ya demokrasia pamoja na uzalendo wake usioweza kutiliwa shaka; ila bado...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…