john heche

John Heche is a Tanzanian politician. He serves as a member of the Parliament of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Mawaziri kulipwa au kutokulipwa perdiem, nani tumuamini kati ya John Heche na Kitila Mkumbo aliyekanusha madai ya Heche?

    Habari Wakuu! Siku chache zilizopita, niliweka uzi hapa Jukwaani nikihoji uhalali wa mawaziri kulipwa perdiem wawapo Bungeni. Mada ile ilitokana na tweet ya John Heche aliedai Waziri Mkuu analipwa perdiem awapo Bungeni. Hata hivyo, Siku ya leo Mhe. Kitila Mkumbo amejitokeza kuchangia mada...
  2. Tunahitaji Katiba Mpya au upinzani mpya?

    Hii tabia ya wana siasa kusema uongo mfululizo ikiachwa iote mizizi bila kukemewa inaweza kuja kuleta maafa makubwa sana kwa taifa kwa kupandikiza chuki ndani ya jamii na kujikuta watanzania wazalendo wanawekwa pembeni na mafisadi ndiyo yanashika usukani wa kuongoza nchi yetu. Kwa kuzingatia...
  3. John Heche vs Dkt. Slaa: Je, ni kweli utekaji, kupotea kwa watu na kupigwa risasi Tundu Lissu Septemba, 2017 ni 'INSIDE JOB' ya CHADEMA wenyewe?

    Ni malumbano makali kati ya John Heche [M/Kiti - CHADEMA - kanda ya Serengeti] na Dr W. P. Slaa [Former GS wa CHADEMA] huko club house moja usiku wa kuamkia leo Alhamisi trh 28/4/2022.. Msingi wa malumbano hayo ni hoja ya Dr Slaa aliyowahi kuiibua na kuripotiwa hapa hapa JF kuhusu UTEKAJI...
  4. John Heche: Haji Duni na wenzake wanatumika na CCM kuua demokrasia. Mbowe hawezi kuomba msamaha kwa kosa la kubumba

    Akiongea leo, John Heche amesema kuwa "Akina Duni Haji ambao wamekuwa na historia nzuri lakini sasa wanatumika na CCM kuharibu ujenzi wa demokrasia, Freeman Mbowe hawezi kuomba msamaha kwa kesi hii ya kutengeneza"
  5. John Heche aongoza Usajili wa CHADEMA Digital Bulyankhulu

    Ndio kama tulivyosema toka awali kwamba hakuna kijiji kitakachoachwa, sisi na Wananchi wao na Polisi.
  6. John Heche: Kuweni Makini Polisi wanapokuja Nyumbani kwenu

  7. John Heche anafaa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, John Mnyika ni dhaifu sana

    Kikwetu tuna msemo tunasema: What goes around comes around. Kijijini kwetu tunatumia sana huo msemo mara kwa mara. JJ Mnyika aliwahi kumwambia JK kuwa ni Rais dhaifu. Hahahahaha. Lakini sasa kajamaa ni SG wa CHADEMA naona ndio dhaifu kuliko maelezo. Ni dhahiri CHADEMA haina vetting nzuri...
  8. Viongozi CHADEMA wasimulia walivyokamatwa na Polisi

    Mwanza. Baadhi ya viongozi wa Chadema waliokamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza kuhusiana na kongamano la Katiba Mpya lililozuiwa, wamesimulia jinsi walivyokamatwa usiku wa kuamkia Julai 21. Pamoja na simulizi hizo, viongozi hao wakiongozwa na mjumbe wa Kamati Kuu, John Heche walisisitiza...
  9. John Heche: Chokochoko siyo neno la kistaarabu

    Wasalaam, Tuendako hakuna nuru na dalili ya mvua ni mawingu.
  10. K

    Tuache kumuita Rais Samia Suluhu Hassan 'Mama'

    Tumempata Rais mpya, anaitwa Samia Suluhu Hassan. Sidhani kama ni sahihi kumtambulisha kama Mama Samia Suluhu Hassan maana hata Magufuli alikuwa ni Baba kwa maana ya mzazi lakini kamwe hatukuwahi kuwaita Baba Jakaya, Baba Mkapa nk. Kisaikolojia kutanguliza neno "mama" ni kutweza cheo Cha Amiri...
  11. John Heche: Mawakili waliogopa kututetea isipokuwa wachache wakiongozwa na Kibatala

    "Watu wengi hawajui kwamba kwenye hii kesi tulipewa masharti mengi magumu bila sababu ikiwemo kuripoti central police Dar kila ijumaa. Yaani popote utakapokua hakikisha ijumaa uko Dar pia mawakili waliogopa kututetea isipokuwa wachache wakiongozwa na Kibatala." John Heche Suguta
  12. John Heche: Wabunge 19 Viti Maalum wajitokeze kuomba msamaha badala ya kuwatumia Watu

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche amewataka wabunge 19 wa viti maalum waliokuwa wanachama wa chama hicho waliopo bungeni, kujitokeza hadharani kuomba radhi badala ya kuwatumia watu kuwaombea msamaha. Heche ametoa kauli hiyo leo Mei 31, 2021...
  13. K

    John Heche kujiunga CCM?

    Moja ya vijana mahiri wa Chadema wanaowindwa na chama Cha mapinduz ni John HECHE. Kuwindwa kwake ni katika harakati za kupunguza nguvu ya upinzani kanda ya ziwa na kulainisha miyoyo ya Wananchi. Je, ataweza kuvumilia safari ya siasa za upinzani akiwa ndani ya walezi wake Chadema? Kwanini CCM...
  14. S

    Kwa jinsi John Heche alivyoshambuliwa Twitter, ni wazi wafuasi wa upinzani sasa wanataka action na si kusikia viongozi wao wanalalamika

    Leo hii John Heche ameandika Twitter kulalamika mawakala wake kuvamiwa majumbani mwao na kupelekwa Polisi. Kilichonishangaza ni jinsi Heche alivyoshambuliwa huku wahusika wakionenekana kuchukizwa na hali ya kuendelea kulalamika bila kuchukua hatua na zaidi kwa kutozingatia onyo alilotoa kigogo...
  15. D

    GE2020 John Mnyika: Watu wawili wameuawa Tarime kwa kupigwa risasi na Kada wa CCM

    Mnyika anasema Wananchi wawili wameuwawa muda mchache uliopita Kata ya Matongo baada ya Mwenyekiti wa kijiji cha Nyabichume (CCM) Mogaya Ryoba Kisire kushambulia kwa risasi mkutano uliokuwa uhutubiwe na @HecheJohn eneo la Nyamongo.
  16. S

    GE2020 John Heche: Mgombea wetu wa ubunge Serengeti, Catherine Ruge na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya, ndugu Garatwa, wamepigwa na polisi na kuchaniwa nguo

    Heche ameandika ujumbe huu katika akaunti yake ya twitter: Nimepokea taarifa kutoka Serengeti mgombea wetu mh. Catherine Ruge, Mwenyekiti wetu wa wilaya mh Francis Garatwa, na watu wengine waliokua ofisi ya Mkurugenzi kudai mabadiliko ya ratiba, wamevamiwa na polisi wamepigwa na kuchaniwa nguo...
  17. GE2020 Lissu shughulika na kuhubiri Sera zinazoenda kuondoa kero za watu, malumbano yatakutoa kwenye reli

    Ukiwa kiongozi jitahidi Sana kutoongozwa na hisia au chuki. Watu wa Mpira wanajua jinsi ya kumfanya mpinzani awe na hasira ili akose utulivu mchezoni. Unamkumbuka beki kisiki Juma Nyoso au Forward Mkolofi Diego Costa. Sio lazma ujibu au ulumbane kila kitu muda NI machache Sana. Ukipita sehemu...
  18. GE2020 John Heche aimalizia CCM kata ya Nyamongo

    Hii ndio kampeni iliyopigwa jioni ya leo .
  19. GE2020 Video: John Heche akishangiliwa na wananchi wa kata ya Nyanshicha kijiji cha Nyantira kwenye kampeni, CCM kwaherini

    Mbinu pekee ya CCM kushinda Uchaguzi huu ni miujiza tu, hali yao si tu ni mbaya bali ni dhooofuli hali. Jionee mwenyewe.
  20. GE2020 John Heche aifuta CCM Tarime, hakuna namna Waitara anaweza kuwa Mbunge wa Tarime Vijijini, atavuna alichopanda

    Hii hapa ndio hali halisi kwenye mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Tarafa, Sirari
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…