Aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA, Julius Mwita, amewapongeza Tundu Lissu na John Heche kwa ujasiri wao, akisema ni viongozi wanaoweza kuleta hamasa kubwa wakati wa uchaguzi. Akizungumza kupitia Clouds FM, Mwita amesema wawili hao ni kama simba, na kwamba wakiamua kuhamasisha wananchi...
Katika siku ambazo Farhia Middle wa ITV hatazisahau ni leo wakati akifanya mahojiano na Makamu Mwenyekiti wa Chadema katika kipindi cha dakika 45!
Farhia ameshiba majibu ya maswali yote aliyouliza hadi akashindwa kuuliza maswali ya nyongeza!
Hakika kwa viongozi hawa wa Chadema wakiongozwa na...
Mheshimiwa Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, kamwe, kamwe usiyumbishwe na hawa jamaa wanaojiita G.55.
Nikuombe usihangaike nao. Hapa ni kwamba, No reforms No election imeshaanza kubisha hodi kwa mahasimu wetu. Hapa pana kitu nyuma ya pazia. Hii ni mbinu ya kujaribu kukutoa kwenye reli...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Heche amekosoa namna ambavyo serikali imekuwa ikitoa tenda mbalimbali kwa Raia wa nje ya nchi na kuwaacha watanzania bila ajira, akikosoa pia usafirishaji mkubwa wa malighafi kilimo ikiwemo Korosho zinazosafirishwa kwenda nje ya...
" Miaka kumi na mbili iliyopita Lindi hii na Mtwara waliambiwa mnaletewa utajiri wa gesi, Miaka kumi na mbili iliyopita walichukuliwa Masheikh hapa, Viongozi wa dini na Maaskofu, wakati ule mimi nilikuwa sijaenda Bungeni.
Wakapelekwa Norway, wakapelekwa Malaysia, wakapelekwa na nchi nyingine...
"Tumeenda Ikulu baada ya uchaguzi wa mwaka 2019 na 2020, kwa kauli ya Rais mwenyewe amesema yaliyojitokeza 2019 na 2020 hayatajirudia tena. Tumeshiriki kikao, Mwenyekiti Mbowe anatuongoza, tulikuwa na Mnyika na Kinana alikuwa anaongoza timu ya CCM na nyaraka tunazo, wakasema yaliyojitokeza...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amewataka wale wote wanaotaka kugombea ubunge kupitia chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kuchukua fomu za maoni na kwenda nazo majimboni kwa ajili ya kukusanya saini za Watanzania.
Kupata matukio na...
Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa No reforms No election ni ya Watanzania wote ndiyo maana hadi viongozi wa dini wanaiongelea. Kama wewe huungi mkono mabadiliko maana yake unaiunga mkono CCM.
Ikumbukwe kuwa kuna kundi huko CHADEMA limesema wao hawaungi mkono Ajenda hii na...
Makamu Mwenyekiti CHADEMA Bara, John Heche ameelezea safari yake ya kuusaka ubunge Tarime ambapo ameeleza kuwa hata sasa akiwa mzima anashinda ubunge Tarime, aameeleza pia kuwa na yeye ni mtia nia.
Aidha ameelezea mchango wake kwa baadhi ya vijana wengine ikiwemo kwa David Silinde na yeye ndiye...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema Siku CHADEMA ikifa haki ya Mungu mtapigwa mnada, hiki ni chama Chenu kiwekeni moyoni mwenu”
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, ameendelea kushambulia vikali kauli ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla, kuhusu betting, akidai kuwa CCM inawaelekeza vijana kwenye michezo ya kubahatisha badala ya...
Bila kupepesa macho, nakiri mbele yenu kwamba nimeukubali kikamilifu muziki wa Tundu Lissu na John Heche.
Yaani, wamepiga kanda moja tu ya Nyasa lakini wale MABEDULI wameshaanza kunena kwa lugha.
Saa hizi wameanza kuwarubuni baadhi ya viongozi wa Dini hasa wale wabovu wabovu ili wawe wanatoa...
Ndiyo shida kubwa ya Lisu, hajui kabisa kuzungumzia shida za wananchi masikini wa kijijini,
Huwezi kumsikia Lisu akizungumzia uchumi, ajira, barabara, maji yeye ni kuzungumzia mambo yanayomhusu yeye tu yani uchaguzi.
John Heche anaeleweka haraka kwa wananchi kwa sababu anazungumza namna...
Nimesikitishwa na taarifa hii ya Chama ,pamoja na kutolewa kwa kuchelewa sana ,masikitio yangu yanatokana na mambo yafuatayo;
1. Chama hakikuona haja ya kulaani tukio la kiongozi wa wanawake taifa kupigwa na kuumizwa ,kipigo kilichotolewa na Mwanaume,bali kinasema ni taarifa zinazosambazwa...
chadema
chama
heche
itifaki
johnjohnhechejohn mrema
kiongozi
kuhusu
kupigwa
mambo
mambo ya nje
masikitiko
mawasiliano
mkurugenzi
mlinzi
mrema
nje
taarifa
taifa
Hello!
Magu na uzalendo na upendo wake kwa wananchi maskini alishindwa kupiga marufuku kamari ambayo kwa jicho la haraka ni Kodi kidogo inaingia serikalini, lakini inaleta hasara kubwa kwa kuwafanya vijana wengi kutofanya kazi wakiamini betting ni mojawapo ya kazi. Pesa nyingi inaenda nje...
Nimekuwa nikimfuatilia sana John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Ni wazi uzalendo wa John Heche kwa hii nchi ni zaidi ya Rais wa Burkinafaso Ibrahim Traoré.
Kwa Maoni yangu John Heche ndio anafaa kuwa Raisi wa hii nchi.
Namtabiria Makubwa sana John Heche
Wakuu,
Mambo yanazidi kuchangamka huko, ni bandika bandua!
=====
katibu wa NEC Itikadi Mafunzo na Uenezi Taifa Amos Makalla amemjibu Heche kuhusu kukomesha kubeti wakiingia madarakani. Ameuliza CHADEMA watakomeshaje wakati hawashiriki uchaguzi? Je, hilo lipo kwenye ilani yao? Kama ipo...
Naomba na kuipigia magoti serekali yetu juu ya wanasiasa kutamka mambo ya uongo hadharani yenye nia ya kudanganya umma basi sheria kali zichukuwe mkondo wake mara moja Bila huruma yoyote,
Nimesikitishwa sana na matamshi ya HECHE, kuusiana na uwanja wa ndege wa kilimanjaro ya kuwa umechukuliwa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara John Heche amewataka vijana na Watanzania kwa ujumla kuiunga mkono CHADEMA katika mchakato na dhamira yake ya kuiletea nchi maendeleo ya mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.
Heche ameyasema hayo hivi karibuni katika Jimbo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.